Hoja za Tundu Lissu kuhusu wafanyakazi Kama NI kweli NI kiberiti karibu na karibu na pipa la petrol akipita mwehu karibu zinaweza kulipua taifa.

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Hivi Tundu lissu NI mkweli kweli!?

Kama wafanyakazi tena wa serikali wakibinywa wanashindwa kujitetea Basi hakuna kundi lolote kwenye jamii linalowezaweza kufurukuta kujitetea linapokandamizwa au Kuonewa. Kuonewa wafanyakazi NI hatua ya juu kabisa ya uonevu katika utawala. Usitegemee wafanyabiashara au mkulima atafurukuta iwapo watakumbana na mbinyo wowote iwapo mfanyakazi kashindwa kufurukuta. Uzuri NI kuwa wananchi wengi hawaoni Hilo kwa Tanzania nakumbuka Jk alitoa hoja ya kuwazodoa wafanyakazi na umma ukawaacha peke yao. Lakini haya anayotoa lissu NI ya kisheria sijui Kama Yana ukweli. Na Kama NI kweli Basi mkulima akikosa haki asisubutu ata kunyanyua pua.

Dunia nzima tawala zenye nguvu ata madikteta wakubwa waliweza kunyongea mbali kila kundi katika jamii lkn kamwe hakuna aliyesubutu kuwagusa wafanyakazi. Vyama vya wafanyakazi vipo mda mwingi tu. Sijasikia vikiongea lolote kuhusu wafanyakazi. Hivyo sitaki kumwamini Tundu lissu kabisa. Na kiistoria vyama vya ukombozi vyote vilianza Kama vyama vya wakulima na wafanyakazi. Pia ata nembo ya CCM huwakilisha makundi hayo. Ndio maana sitaki kuamini CCM imesahau malengo ya kuanzishwa kwake.

Idd Amin Dada baada ya kupindua uganda Alianza kushugulikia maslahi ya watumishi. Alijiweka karibu na watumishi sana. Ndie aliyeamuru mishahara itoke tarehe 23 ya kila mwezi kwa Mara ya kwanza Afika. Na aliowaongeza mishahara kila uchwao. Pamoja na kasoro zote alizokuwa nazo lkn iliitajika nguvu kutoka nje ya Uganda kumtoa sababu Alianza kuwasikiliza wafanyakazi.

Wafanyakazi wa umma ndio maafisa UCHAGUZI. Ndio walinzi wa Kura. Ndio walinzi wa Amani na wazuia maandamano, ndio walinzi wa nchi pia. Wanasiasa wote duniani na watawala wakijua nguvu yao vizuri na kutaadharisha umma juu ya ishara za kukosekana haki kwa kiwango Cha juu iwapo Hadi wao wakionewa huchukua taifa. Kunamaandamano nakumbuka afrika Magharibi, Malawi, Sudani na Madagascar. Waandamaji walipoandamana kumtoa Raisi watumishi wa umma wa chini waliwaacha wengine waliingia mpaka ikulu.

Tanzania Majeshi hupata advantage nyingi Sana ikiwa namna Bora ya kuwafanya wawe watiifu kwa utawala. Wana mshahara, malipo ya katikati ya mwezi na misamaha ya Kodi wanapoingiza bidhaa zao. Sio kwaajili ya upendeleo hapana NI kwa manufaa ya Amani ya nchi. Walimiliki Magari, nyumba kwa nunua bidhaa bila kodi. Na nchi nyingi watumishi wengi hupata ofa hizo. So kwa upendeleo Bali utulivu wa nchi.

Kama Lissu anadanganya kuhusu wafanyakazi Basi adhibitiwe.
Ila uzuri NI kuwa lissu anashindwa kubakiza mtu moja tu wa kushindana bae katika UCHAGUZI. Anataka apambane na CCM yote. Akiweza kutoa ahadi nzuri Hadi kwa wanaccm wote UCHAGUZI utakuwa wa Moto.
 
Sasa nikwambie kitu
Watumishi wa umma katika usimamizi wa uchaguzi mwaka huu wamechaguliwa kwa usiri mkubwa sana kwa kufuata maagizo waliopewa watendaji.

Miaka ya nyuma watu walikuwa wanaomba tu hiyo kazi maalum ili wajipatie senti ya usimamizi.
Mwaka huu unaangaliwa Kama una chembechembe za upinzani hupewi.
Ukiandikwa na kuombwa check number yako kwa zoezi hilo unaambiwa usitangaze. Watumishi wanaogopwa kama mwiba.
 
CCM inajitengenezea anguko lake kwa kulipuuza na kulidharau kundi hili, kwa mwaka huu wanaweza kupita japo kwa mbinde lakini 2025 ikawa maziko kabisa ya CCM.

Hakuna kipindi wafanyakazi wa umma waneteseka kama kipindi hichi cha awamu ya Tano. Mie Kuna mzazi wa jamaa yangu amestaafu mwaka 2018 na hadi leo hajapata mafao yake. Wanasema psssf hawana hela.

Kuna ufedhuli mkubwa sana unafanywa na serikali ya Awamu ya tano dhidi ya wafanyakazi na sioni namna wafanyakazi wampe tena kura JPM mwaka huu!! Kuna watu hadi wamekufa kwa mashinikizo ya damu kwa sababu ya kutopewa fedha zao za pension. Ni hatari sana kwa kweli!!
 
Hivi Tundu lissu NI mkweli kweli!?

Kama wafanyakazi tena wa serikali wakibinywa wanashindwa kujitetea Basi hakuna kundi lolote kwenye jamii linalowezaweza kufurukuta kujitetea linapokandamizwa au Kuonewa. Kuonewa wafanyakazi NI hatua ya juu kabisa ya uonevu katika utawala. Usitegemee wafanyabiashara au mkulima atafurukuta iwapo watakumbana na mbinyo wowote iwapo mfanyakazi kashindwa kufurukuta. Uzuri NI kuwa wananchi wengi hawaoni Hilo kwa Tanzania nakumbuka Jk alitoa hoja ya kuwazodoa wafanyakazi na umma ukawaacha peke yao. Lakini haya anayotoa lissu NI ya kisheria sijui Kama Yana ukweli. Na Kama NI kweli Basi mkulima akikosa haki asisubutu ata kunyanyua pua.

Dunia nzima tawala zenye nguvu ata madikteta wakubwa waliweza kunyongea mbali kila kundi katika jamii lkn kamwe hakuna aliyesubutu kuwagusa wafanyakazi. Vyama vya wafanyakazi vipo mda mwingi tu. Sijasikia vikiongea lolote kuhusu wafanyakazi. Hivyo sitaki kumwamini Tundu lissu kabisa. Na kiistoria vyama vya ukombozi vyote vilianza Kama vyama vya wakulima na wafanyakazi. Pia ata nembo ya CCM huwakilisha makundi hayo. Ndio maana sitaki kuamini CCM imesahau malengo ya kuanzishwa kwake.

Idd Amin Dada baada ya kupindua uganda Alianza kushugulikia maslahi ya watumishi. Alijiweka karibu na watumishi sana. Ndie aliyeamuru mishahara itoke tarehe 23 ya kila mwezi kwa Mara ya kwanza Afika. Na aliowaongeza mishahara kila uchwao. Pamoja na kasoro zote alizokuwa nazo lkn iliitajika nguvu kutoka nje ya Uganda kumtoa sababu Alianza kuwasikiliza wafanyakazi.

Wafanyakazi wa umma ndio maafisa UCHAGUZI. Ndio walinzi wa Kura. Ndio walinzi wa Amani na wazuia maandamano, ndio walinzi wa nchi pia. Wanasiasa wote duniani na watawala wakijua nguvu yao vizuri na kutaadharisha umma juu ya ishara za kukosekana haki kwa kiwango Cha juu iwapo Hadi wao wakionewa huchukua taifa. Kunamaandamano nakumbuka afrika Magharibi, Malawi, Sudani na Madagascar. Waandamaji walipoandamana kumtoa Raisi watumishi wa umma wa chini waliwaacha wengine waliingia mpaka ikulu.

Tanzania Majeshi hupata advantage nyingi Sana ikiwa namna Bora ya kuwafanya wawe watiifu kwa utawala. Wana mshahara, malipo ya katikati ya mwezi na misamaha ya Kodi wanapoingiza bidhaa zao. Sio kwaajili ya upendeleo hapana NI kwa manufaa ya Amani ya nchi. Walimiliki Magari, nyumba kwa nunua bidhaa bila kodi. Na nchi nyingi watumishi wengi hupata ofa hizo. So kwa upendeleo Bali utulivu wa nchi.

Kama Lissu anadanganya kuhusu wafanyakazi Basi adhibitiwe.
Ila uzuri NI kuwa lissu anashindwa kubakiza mtu moja tu wa kushindana bae katika UCHAGUZI. Anataka apambane na CCM yote. Akiweza kutoa ahadi nzuri Hadi kwa wanaccm wote UCHAGUZI utakuwa wa Moto.
Utawala wa magu ni njia nyeupe kwa kaburi la ccm
 
Back
Top Bottom