kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Yesu alipoliangalia hili Kanisa la leo, linatia huruma

    "Maneno mengi Yesu aliongea Juu ya Kanisa. Zaidi sana juu ya siku za mwisho. Na kulionya Kanisa juu ya wakati wake wa Mwisho. Ya kwamba utakuwa wakati wa Hatari. Kanisa lisije kujisahau. Liendelee kama lilivyopatana na Yesu. Lifanye vivyo hivyo mpaka atakaporudi. Yesu alisema. " Kanisa...
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Dar: Serikali yalifunga Kanisa la Nabii Suguye

    Hellow Serikali imeingilia kati huduma za kiroho zitolewazo kanisa la WRM kivule maarufu kwa nabii Suguye mpaka sasa hawajatoa sababu maalumu ya kuzuia huduma hizo kusitishwa kwenye kanisa hilo. Kwa upande wangu kama walivyo chunguza hilo kanisa na kugundua mapungufu yaliyopo basi wafanye...
  3. Zee Korofi

    JamiiForums Tanzania Kanisa la sasa ni masikini kuliko la zamani

    Hivi kwanini kanisa hili la sasa ni masikini kwa kuangalia maishaya waumini wake wengi, tofauti na la zamani? Leo hii walalahoi wengi ndiyo wenye dini, utawakuta huko Wakristo kwa wingi wao na Waislamu kwa wingi wao. Ipi shida? Je, ni kweli ufalme wa mbinguni unatekwa na wenye nguvu, na akina...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askofu Kanisa la Anglikana akutwa amekufa baada ya kutoweka siku tatu

    Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN), Boniphace Kwangu amekutwa amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha. Marehemu alitoweka tangu Novemba 28 na mwili wake kukutwa ukielea katika Ziwa Victoria eneo la Bukumbi Wilayani Misungwi. Akizungumza na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni hamtendi haki katika Ujenzi wa Stendi ya Mwenge, mnabomoa miundombinu mali ya Kanisa

    Katika Hali isiyo ya kawaida Manispaa ya Kinondoni imeonesha ubaguzi wa Hali ya juu, hii imetokea katika Mradi wa ujenzi wa Stand Mpya inayojengwa eneo la Mwenge Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo taasisi Mbili za kiislam na kikristo zinamiliki maeneo ya Ibada. Picha na video ni matukio ya...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua kanisa 'la Mchongo' la kilokole na upige pesa Kwa Muda mrefu

    1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo. 2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Suala la Mitihani na Usaili kufanyika siku ya Jumamosi tutalitazama

    Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Miaka 50 ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato leo Tarehe 19 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma SAMIA SULUHU HASSAN - RAIS Kwanini hajawahi kuhudhuria...
  8. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepora mamlaka yasiyowausu ili kuzitawala ndoa

    Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote. Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani...
  9. Shemasi Jimmy

    JamiiForums Tanzania Kama Biblia ingeendelea kuandikwa; je, wewe na mimi tungeandikwa kwa sifa gani ndani ya Kanisa?

    KAMA BIBLIA INGEENDELEA KUANDIKWA, JE WEWE NA MIMI TUNGEANDIKWA KWA SIFA GANI NDANI YA KANISA? Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Hallelluya watoto wa Mungu, tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wema na ukuu wake katika maisha yetu. Pamoja na uovu wote tunaomtenda lakini amezidi kutupa nafasi ya...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

    - Kila siku hujisomea somo la wiki, ikifika jumamosi wanakusanyika kwa masaa takribani mawili kwenye vikundi vidogo kufundishana waliyojifunza na baada ya hapo ndio huingia wote kanisani kwenye ibada, hii ni nzuri kuzidi kukaa wiki nzima hujajifunza chochote kwenye biblia unasubiri tu ifike...
  11. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Tanzania linapitia kipindi kigumu sana. Mungu alinusuru

    Hizi ndio changamoto za kanisa la Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu. 1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa. 2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mtoto akiri Mahakamani kubakwa na baba yake ambaye ni Mchungaji wa Kanisa

    Nurdin Abdallah Shahidi namba moja ambaye ni mtoto wa miaka 6 anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi Mchungaji Nurdin Abdallah (54) na Muinjilisti wa kanisa la waadventista wasabato Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, amekiri mbele ya Mahakama kufanyiwa kitendo hicho kwa nyakati tofauti na baba...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Taasisi za makanisa karibuni mtumie mfumo wa kidigitali kusimamia taarifa za kanisa

    Habarini! Tunazikaribisha taasisi za makanisa kutumia mfumo wa kidigitali wa ChurchMIS kusimamia taarifa za kila siku za kanisa kama vile Kuhifadhi taarifa za waumini Kuhifadhi na kufuatilia taarifa za fedha Kuhifadhi taarifa za miradi ya kanisa Kuhifadhi na kusimamia taarifa za idara...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

    Kama mnavyoona na na kusikia. Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi. By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo. Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

    Nitaeleza kifupi kwa mtindo wa maswali! Kwa hali ya kawaida chimbuko la mapenzi hayo yanayosemwa kama yalikuwepo basi yatakuwa yameanza hivi! Kuna uwezekano mke wa dogo alitafunwa, ndipo mama mchuu naye akaona ya nini kujibana akaona akamtunuku dogo! (Yamkini) Kuna uwezekano mama mchuu aliona...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha hoteli ya Treetops na Zulia la Blue kwenye kanisa la Mt. PHILLIP Kenya 🇰🇪

    Katikati ya mbuga ya wanyama ya Arbedare iliyopo nchini Kenya, kuna hoteli inayoitwa Treetops. (Pichani). Humo ndimo Eliza alitwaa kiti cha Umalkia wa Uingereza na kupata hadhi ya kuitwa Malkia Elizabeth II mnamo mwaka 1952 punde tu baada ya kupokea taarifa za kifo cha baba yake, King George...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kanisa la friiichachi limemtoa kafara Katibu wake ili Sasa lianze kujaa waumini?

    Kuna tetesi kwamba Kuna mtu kafa, na alikuwa Katibu wa kanisa Hilo,habari zinasema alikuwa anakula vya madhabahuni, palepale katika lango la kanisa anapopitia mchungaji. Habari zinasema ni makafara makubwa yanayotokana na masharti ya waganga wa naijeria na afrika magharibi ili kanisa like na...
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lamtenga Padri Soka, lamuondoa kwenye nyumba za Mapadri

    Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limemuamuru Padri Sosthenes Bahati Soka (41) anayekabiliwa na mashtaka ya kubaka watoto watatu wa kike kuondoka katika nyumba za kanisa hilo. Badala yake, barua ya Askofu wa Jimbo hilo, Ludovick Minde ya Septemba 26, mwaka huu ambayo gazeti hili limeona...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Moshi: Kanisa Katoliki lamsimamisha Padri anayetuhumiwa kubaka Watoto

    Siku mbili baada ya Padri Sostenes Bahati Soka wa Jimbo la Moshi, mkoani Kilimanjaro, kushtakiwa kwa ubakaji wa watoto watatu, Kanisa Katoliki nchini limesema limemsimamisha kutoa huduma za kiroho hadi tuhuma zinazomkabili zitakapomalizika. Padri huyo aliyekuwa paroko wa Parokia Teule ya...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kanisa latoa msimamo tuhuma za padri

    Siku mbili baada ya Padri Sostenes Bahati Soka wa Jimbo la Moshi, mkoani Kilimanjaro, kushtakiwa kwa ubakaji wa watoto watatu, Kanisa Katoliki nchini limesema limemsimamisha kutoa huduma za kiroho hadi tuhuma zinazomkabili zitakapomalizika. Padri huyo aliyekuwa paroko wa Parokia Teule ya...
Back
Top Bottom