Manispaa ya Kinondoni hamtendi haki katika Ujenzi wa Stendi ya Mwenge, mnabomoa miundombinu mali ya Kanisa

Kayugumis

Member
Jun 6, 2022
85
63
Katika Hali isiyo ya kawaida Manispaa ya Kinondoni imeonesha ubaguzi wa Hali ya juu, hii imetokea katika Mradi wa ujenzi wa Stand Mpya inayojengwa eneo la Mwenge Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo taasisi Mbili za kiislam na kikristo zinamiliki maeneo ya Ibada.

Picha na video ni matukio ya leo tarehe 30 mwezi wa kumi na moja mwaka 2022

Taasisi hizi zinakaa kwa Umoja na Amani kwa Muda Mrefu lakini hawa Manispaa ndio wanataka kutengeneza chokochoko.

Zote zimetakiwa kupisha ujenzi wa Stand ya Kisasa na zote zimekubali kufanya hivyo kwa makubaliano ya kupata fidia kutoka serikalini.

Taasisi ya kikristo imevunjiwa ukuta na Iko mbioni kuvunjiwa choo ambacho hutumika katika ibada na kisima cha ubatizo bila fidia, wakati huo Manispaa inaendelea na ujenzi wa taasisi ya upande wa pili wa imani kama fidia

1.jpg

2.jpg

Wakristo na Nyie mnalalamika kwani!! Mzee Mchonga kawabeba Sana ,Mzee wa radar kawabeba Sana na Mzee jiwe pia Hadi karibia atafune vipaza sauti St Peter Church....

Kulia kupokezana...
 
Usichaanganye Dini na Maendeleo ya pamoja.

Dini za Magharibi zimefundisha ubaguzi na unyonyaji ndio MAANA Yesu ni Mmoja ,Mungu ni Mmoja ,Roho Mtakatifu ni mmoja na Malaika ni wale wale lakini Kila Siku kuna Mafundisho yanayopingana na Madhahebu zaidi ya Elfu Tano Sasa.

Eti Mpaka MASANJA Naye ana dhehebu lake.

Yesu AKIRUDI Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutoka Kwa Wakristo.
Musa akija Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutokea Kwa Wakristo,
Yohana Mbatizaji akija Leo hawezi kubatiza Mkristo Hata Mmoja.
Nabii Eliya AKIRUDI Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutoka Kwa Wakristo .
Petro Akija Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutokea Kwa Wakristo .
Hakuna nabii Wala Mtume aliyeishi au kuwa na hulka inayoendana na hulka waliyonayo Wakristo Wa Leo .

Ukristo umerudi Katika zama za giza. Giza limerudi Duniani. Angalau Uislam umesimama Katika Toraurati na manabii Wa Kale.

Ufalme umetekwa na kupewa Taifa lingine lenye nguvu.
Uislam unaenea Kwa Kasi na Kwa nguvu KUBWA kulika Ukristo. Na pia Kwa Sasa mafundisho ya kiislama Yana hekima na mvuto MKUBWA kuliko Yale ya Manabii wanaoudhalilisha Ukristo kama Geo Devi.

Watu wanakaa Kanisani Masaa KUMI Lakini ukiangalia Kwa umakini utagundua kuwa watu hawajaenda kumwabudu Mungu zaidi ya kumsikiliza mmiliki Wa kanisa akichamba watu ,akifanya matendo ya kushirikiana , akijisifu, akitukana madhehebu mengine n.k.

Kama Ulaya Ukristo umepotea basi Afrika ndio umekuja Ukristo Wa ajabu zaidi mana ni Ukristo Wa MTU Mmoja mmoja na unaolenga maslahi Binafsi.

Tuache Serikali ufanye KAZI yake. Haya mambo ya kusitishia serikali kutokana na maslahi ya Dini yamepitwa na Wakati. Wakristo walikuwa wameshika madaraka na KUFANYA KAZI kwenye Idara nyingi muhimu Kwa Muda mrefu wakashindwa kuweka Msingi Bora Wa Taifa hili baada ya Uhuru.
Wakristo walishika Idara nyingi kama mipango miji, ujenzi,NHC, mabenki, Elimu ,afya n.k. Lakini walijawa na ubinafsi ,wizi, Matumizi mabaya ya Madaraka,ulevi,uzinzi n.k BILA kujua kuwa madhara yake yatawakuta Wajukuu ZAO . Miji imejengwa Hovyo Haina mpangilio Lakini ukifuatilia utagundua palikua na Wakristo wapo kwenye Idara husika . Ninyi ni Nuru ya Ulimwengu.
Nuru inapofifia au taa kuzimika basi Kila jambo linakwenda Hovyo gizani.
 
Hicho kimsikiti uchwara huku ambako zamani kulikuwa na magereji na madarasa ya tuisheni ni wavamizi wa ardhi. Pia hicho kikanisa koko ni wavamizi.

Makanisa ya Mwenge kijijini yaliyo rasmi ni KKKT, RC, ANGLICAN, Sabato lililopo ubavuni mwa uwanja wa KMC na MORAVIAN. Ndio wana maeneo rasmi. Pia hapa jirani na uwanjani njia ukitokea Nakiete kuna mama mmoja kanunua nyumba na kuifanya kanisa.

Usitete uvunjifu wa sheria.
Msikiti rasmi wa Mwenge unajulikana, na sasa uko kwenye ujenzi
 
Usichaanganye Dini na Maendeleo ya pamoja.

Dini za Magharibi zimefundisha ubaguzi na unyonyaji ndio MAANA Yesu ni Mmoja ,Mungu ni Mmoja ,Roho Mtakatifu ni mmoja na Malaika ni wale wale lakini Kila Siku kuna Mafundisho yanayopingana na Madhahebu zaidi ya Elfu Tano Sasa.

Eti Mpaka MASANJA Naye ana dhehebu lake.

Yesu AKIRUDI Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutoka Kwa Wakristo.
Musa akija Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutokea Kwa Wakristo,
Yohana Mbatizaji akija Leo hawezi kubatiza Mkristo Hata Mmoja.
Nabii Eliya AKIRUDI Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutoka Kwa Wakristo .
Petro Akija Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutokea Kwa Wakristo .
Hakuna nabii Wala Mtume aliyeishi au kuwa na hulka inayoendana na hulka waliyonayo Wakristo Wa Leo .

Ukristo umerudi Katika zama za giza. Giza limerudi Duniani. Angalau Uislam umesimama Katika Toraurati na manabii Wa Kale.

Ufalme umetekwa na kupewa Taifa lingine lenye nguvu.
Uislam unaenea Kwa Kasi na Kwa nguvu KUBWA kulika Ukristo. Na pia Kwa Sasa mafundisho ya kiislama Yana hekima na mvuto MKUBWA kuliko Yale ya Manabii wanaoudhalilisha Ukristo kama Geo Devi.

Watu wanakaa Kanisani Masaa KUMI Lakini ukiangalia Kwa umakini utagundua kuwa watu hawajaenda kumwabudu Mungu zaidi ya kumsikiliza mmiliki Wa kanisa akichamba watu ,akifanya matendo ya kushirikiana , akijisifu, akitukana madhehebu mengine n.k.

Kama Ulaya Ukristo umepotea basi Afrika ndio umekuja Ukristo Wa ajabu zaidi mana ni Ukristo Wa MTU Mmoja mmoja na unaolenga maslahi Binafsi.

Tuache Serikali ufanye KAZI yake. Haya mambo ya kusitishia serikali kutokana na maslahi ya Dini yamepitwa na Wakati. Wakristo walikuwa wameshika madaraka na KUFANYA KAZI kwenye Idara nyingi muhimu Kwa Muda mrefu wakashindwa kuweka Msingi Bora Wa Taifa hili baada ya Uhuru.
Wakristo walishika Idara nyingi kama mipango miji, ujenzi,NHC, mabenki, Elimu ,afya n.k. Lakini walijawa na ubinafsi ,wizi, Matumizi mabaya ya Madaraka,ulevi,uzinzi n.k BILA kujua kuwa madhara yake yatawakuta Wajukuu ZAO . Miji imejengwa Hovyo Haina mpangilio Lakini ukifuatilia utagundua palikua na Wakristo wapo kwenye Idara husika . Ninyi ni Nuru ya Ulimwengu.
Nuru inapofifia au taa kuzimika basi Kila jambo linakwenda Hovyo gizani.
Pole sana kwa kuteseka..madhehebu ya kiongezeka jua na waumini wapya wanaongezeka kila siku.

Kamwe na haitoweza kutokea kushindana na nguvu ya kanisa.

Ukristo ni dini yenye nguvu sana kwakuliona hilo na kuhofia kuanguka nchi nyingi za kiarabu zimeamua kupiga marufuku ukristo nchini mwao..hii yote ni hofu ya dini yao kukosa waumini.

Kuhusu huo ujenzi ni makubaliano tu..ila na kuhakikishia kanisa litapata stahiki yake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bro unajidanganya sana
Mm mkristo ila uislamu unakuwa kwa kasi mfano nchi kama uingereza
Waislamu wanaingia wanapewa uraia sera yao ya kuoa wake wengi nankuzaa bila kikomo wamezaliana mpaka inahofiwa 2050 uingereza 70% ya watu watakuwa waislamu
Sie sera za kuzaa watoto wawili mke mmoja inatuponza
Pia sherianza kidiplomasia za kimataifa hazijakataza nchi yoyote uhuru wa kuabudu nikiwa zangu dubai huwa nasali Christ Church Jebel Ali
Hapa nipo zangu qatar nasali zangu Church of the Epiphany
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Manispaa ya Kinondoni imeonesha ubaguzi wa Hali ya juu, hii imetokea katika Mradi wa ujenzi wa Stand Mpya inayojengwa eneo la Mwenge Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo taasisi Mbili za kiislam na kikristo zinamiliki maeneo ya Ibada.

Picha na video ni matukio ya leo tarehe 30 mwezi wa kumi na moja mwaka 2022

Taasisi hizi zinakaa kwa Umoja na Amani kwa Muda Mrefu lakini hawa Manispaa ndio wanataka kutengeneza chokochoko.

Zote zimetakiwa kupisha ujenzi wa Stand ya Kisasa na zote zimekubali kufanya hivyo kwa makubaliano ya kupata fidia kutoka serikalini.

Taasisi ya kikristo imevunjiwa ukuta na Iko mbioni kuvunjiwa choo ambacho hutumika katika ibada na kisima cha ubatizo bila fidia, wakati huo Manispaa inaendelea na ujenzi wa taasisi ya upande wa pili wa imani kama fidia

View attachment 2431811
View attachment 2431812

View attachment 2431814
Mkuu hilo kanisa ni la dhehebu gani? RC, KKKT EFATHA au?
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Manispaa ya Kinondoni imeonesha ubaguzi wa Hali ya juu, hii imetokea katika Mradi wa ujenzi wa Stand Mpya inayojengwa eneo la Mwenge Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo taasisi Mbili za kiislam na kikristo zinamiliki maeneo ya Ibada.

Picha na video ni matukio ya leo tarehe 30 mwezi wa kumi na moja mwaka 2022

Taasisi hizi zinakaa kwa Umoja na Amani kwa Muda Mrefu lakini hawa Manispaa ndio wanataka kutengeneza chokochoko.

Zote zimetakiwa kupisha ujenzi wa Stand ya Kisasa na zote zimekubali kufanya hivyo kwa makubaliano ya kupata fidia kutoka serikalini.

Taasisi ya kikristo imevunjiwa ukuta na Iko mbioni kuvunjiwa choo ambacho hutumika katika ibada na kisima cha ubatizo bila fidia, wakati huo Manispaa inaendelea na ujenzi wa taasisi ya upande wa pili wa imani kama fidia

View attachment 2431811
View attachment 2431812

View attachment 2431814
Mkuu hilo kanisa ni la dhehebu gani? RC, KKKT EFATHA au?
 
Wakristo na Nyie mnalalamika kwani!! Mzee Mchonga kawabeba Sana ,Mzee wa radar kawabeba Sana na Mzee jiwe pia Hadi karibia atafune vipaza sauti St Peter Church....

Kulia kupokezana...
wewe mbona unatoka nje ya mada?swala hapa ni udini bali ni maendeleo.iwe kwa mkristo au mwislam.swala la kubebwa linatoka wapi hapo?kama watalipwa fidia hamna shida,viwanja viko vingi watanunua kwingine.swala la miundo mbinu ya stendi pia ni muhimu.
 
Usichaanganye Dini na Maendeleo ya pamoja.

Dini za Magharibi zimefundisha ubaguzi na unyonyaji ndio MAANA Yesu ni Mmoja ,Mungu ni Mmoja ,Roho Mtakatifu ni mmoja na Malaika ni wale wale lakini Kila Siku kuna Mafundisho yanayopingana na Madhahebu zaidi ya Elfu Tano Sasa.

Eti Mpaka MASANJA Naye ana dhehebu lake.

Yesu AKIRUDI Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutoka Kwa Wakristo.
Musa akija Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutokea Kwa Wakristo,
Yohana Mbatizaji akija Leo hawezi kubatiza Mkristo Hata Mmoja.
Nabii Eliya AKIRUDI Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutoka Kwa Wakristo .
Petro Akija Leo hawezi kupata Muumini Hata Mmoja kutokea Kwa Wakristo .
Hakuna nabii Wala Mtume aliyeishi au kuwa na hulka inayoendana na hulka waliyonayo Wakristo Wa Leo .

Ukristo umerudi Katika zama za giza. Giza limerudi Duniani. Angalau Uislam umesimama Katika Toraurati na manabii Wa Kale.

Ufalme umetekwa na kupewa Taifa lingine lenye nguvu.
Uislam unaenea Kwa Kasi na Kwa nguvu KUBWA kulika Ukristo. Na pia Kwa Sasa mafundisho ya kiislama Yana hekima na mvuto MKUBWA kuliko Yale ya Manabii wanaoudhalilisha Ukristo kama Geo Devi.

Watu wanakaa Kanisani Masaa KUMI Lakini ukiangalia Kwa umakini utagundua kuwa watu hawajaenda kumwabudu Mungu zaidi ya kumsikiliza mmiliki Wa kanisa akichamba watu ,akifanya matendo ya kushirikiana , akijisifu, akitukana madhehebu mengine n.k.

Kama Ulaya Ukristo umepotea basi Afrika ndio umekuja Ukristo Wa ajabu zaidi mana ni Ukristo Wa MTU Mmoja mmoja na unaolenga maslahi Binafsi.

Tuache Serikali ufanye KAZI yake. Haya mambo ya kusitishia serikali kutokana na maslahi ya Dini yamepitwa na Wakati. Wakristo walikuwa wameshika madaraka na KUFANYA KAZI kwenye Idara nyingi muhimu Kwa Muda mrefu wakashindwa kuweka Msingi Bora Wa Taifa hili baada ya Uhuru.
Wakristo walishika Idara nyingi kama mipango miji, ujenzi,NHC, mabenki, Elimu ,afya n.k. Lakini walijawa na ubinafsi ,wizi, Matumizi mabaya ya Madaraka,ulevi,uzinzi n.k BILA kujua kuwa madhara yake yatawakuta Wajukuu ZAO . Miji imejengwa Hovyo Haina mpangilio Lakini ukifuatilia utagundua palikua na Wakristo wapo kwenye Idara husika . Ninyi ni Nuru ya Ulimwengu.
Nuru inapofifia au taa kuzimika basi Kila jambo linakwenda Hovyo gizani.
Kama kawaida ya waitetea dini ya kiislam, mazuri yao mabaya ya kikristo.

Ulaya wanasema dini ya kiislam inaenea kwa kasi sana, ila matendo mabaya wayafanyayo watu wa ulaya wanasema ni ya wakristo ila watu wengi wa huko ni waislam!! Inafikirisha hii.
Enezeni dini yenu pasi na kutuhumu watu wengine.
Ukiingia kwenye hii vita ya kukashifu imani ya wengine hata wewe pepo utaiskia tu coz utakua unakwaza watu.
 
Mimi ni Mkristo .
Nimeondokana na tabia za kudhani kuwa Imani ni ya jumuiya.
Imani ni ile iliyoko NDANI ya Biblia BILA kuongeza mambo ya kibinadamu .

Wazungu wanataka Mila ZAO zienee ndio MAANA wanabadili Kila kitu kionekane ni Kizuri Hata kama ni kibaya.
Mwamini Mungu Kwa kuzingatia Biblia.

Hakuna Dini inayokashfiwa kama inazingatia Biblia.
Hiví Wasabato uzawakashfu Kwa lipi Kwa Mfano mana Wanasimama na Biblia.

Hiví Geo Devi na Waislam Nani anaukashfu Ukristo Kwa Matendo yake.

Ukristo ni umasihi.
Ni kiwango Cha juu sana cha Imani na matando kama ya Kristo. Sasa kama huna kiwango hicho wewe SIO Mkristo Wa Kweli ni Makristo ya Uongo. Wazushi na wakengeufu. Wana Wa kuasi.

Hapo Wakristo SIO kwamba wanaambiwa wawe Waislam lahasha Bali warejee kwenye mafundisho ya Kweli ya Biblia. Wamepotoka sana. Matendo ya dhulma na ulaghai Mwingi haukupaswa ufanywe na Wana Wa MUNGU.
Wakristo ni Wana Wa Mungu . Je, Wana sifa hiyo au wanamhuzunisha Kristo na kimerudisha Msalabani Kila Siku.
Biblia Yale matendo mema hawataki kuyasimamia WAMEBAKI na Connection na mafanikio ya kimwili Kwa NJIA ya ujanja ujanja na dhulma Huo ndio Ukristo.

Yohana angeja leo na mitandio ya ngamia na manywele yake akasema ametumwa na Mungu kuna Mkristo angamsikiliza ? Yaani Yohana Upande ule na Upande Mwingine vinatolewa vitambaa na mafuta ya upako , ni Wakristo wangapi wangekimbilia Kwa MTU asiyekua na suti Kali na gari Kali la kutembelea?
Leo hii Kwa Wakristo Imani inapimwa kwa mwonekano Wa Nje. Mavazi , majumba , Magari ,mavipaza sauti na mbwembwe nyingi badala ya ujumbe Wa kweli Wa Neno la Mungu juu ya kutubu na kumsubiri Kristo akija Mawinguni.
 
Pole sana kwa kuteseka..madhehebu ya kiongezeka jua na waumini wapya wanaongezeka kila siku.

Kamwe na haitoweza kutokea kushindana na nguvu ya kanisa.

Ukristo ni dini yenye nguvu sana kwakuliona hilo na kuhofia kuanguka nchi nyingi za kiarabu zimeamua kupiga marufuku ukristo nchini mwao..hii yote ni hofu ya dini yao kukosa waumini.

Kuhusu huo ujenzi ni makubaliano tu..ila na kuhakikishia kanisa litapata stahiki yake.

#MaendeleoHayanaChama
Madhehebu yanapoongezeka waumini wanajigawa na si kuongezeka. Lini umesikia jopo la waislamu au la wakristo wamebadili dini kisa dhehebu la dini fulani limewavitia?
Na kuhisu nchi za mashariki ya kati kukataa ukristo na hata za magharibi zinafanya hivyo. Kama saudia hawataki kusikia mkristo kadhalika vatcan napo ndivyo hivyohivyo kwa kifupi hizi dini mbili kuna mahali zinafika ni kama zinalinda wigo wake binafsi(zinaogopana)
 
Mimi ni Mkristo .
Nimeondokana na tabia za kudhani kuwa Imani ni ya jumuiya.
Imani ni ile iliyoko NDANI ya Biblia BILA kuongeza mambo ya kibinadamu .

Wazungu wanataka Mila ZAO zienee ndio MAANA wanabadili Kila kitu kionekane ni Kizuri Hata kama ni kibaya.
Mwamini Mungu Kwa kuzingatia Biblia.

Hakuna Dini inayokashfiwa kama inazingatia Biblia.
Hiví Wasabato uzawakashfu Kwa lipi Kwa Mfano mana Wanasimama na Biblia.

Hiví Geo Devi na Waislam Nani anaukashfu Ukristo Kwa Matendo yake.

Ukristo ni umasihi.
Ni kiwango Cha juu sana cha Imani na matando kama ya Kristo. Sasa kama huna kiwango hicho wewe SIO Mkristo Wa Kweli ni Makristo ya Uongo. Wazushi na wakengeufu. Wana Wa kuasi.

Hapo Wakristo SIO kwamba wanaambiwa wawe Waislam lahasha Bali warejee kwenye mafundisho ya Kweli ya Biblia. Wamepotoka sana. Matendo ya dhulma na ulaghai Mwingi haukupaswa ufanywe na Wana Wa MUNGU.
Wakristo ni Wana Wa Mungu . Je, Wana sifa hiyo au wanamhuzunisha Kristo na kimerudisha Msalabani Kila Siku.
Biblia Yale matendo mema hawataki kuyasimamia WAMEBAKI na Connection na mafanikio ya kimwili Kwa NJIA ya ujanja ujanja na dhulma Huo ndio Ukristo.

Yohana angeja leo na mitandio ya ngamia na manywele yake akasema ametumwa na Mungu kuna Mkristo angamsikiliza ? Yaani Yohana Upande ule na Upande Mwingine vinatolewa vitambaa na mafuta ya upako , ni Wakristo wangapi wangekimbilia Kwa MTU asiyekua na suti Kali na gari Kali la kutembelea?
Leo hii Kwa Wakristo Imani inapimwa kwa mwonekano Wa Nje. Mavazi , majumba , Magari ,mavipaza sauti na mbwembwe nyingi badala ya ujumbe Wa kweli Wa Neno la Mungu juu ya kutubu na kumsubiri Kristo akija Mawinguni.
Uliyoandika ni kweli tupu mkuu lakini jinsi nyuzi na replies zinavyoanzishwa ni kama zinaushambulia ukristo na sio kukomboa watu.
Watu wanaandika mabaya kwa kusimanga bila kutoa suluhisho ama walau kuweka vifungu vya biblia ili kufungua watu.
Matokeo yake huleta ubishani ambao wale wanaojua vyema vifungu vya biblia wanashindwa kuchangia badala yake nao wataendeshwa na mihemko tu.

Ikitokea mtu akaandika kwa hekima na staha, watu kadhaa watabadilika. Ila sasa uandishi wa kashfa, matusi, dharau nk haikomboi watu badala yake huleta hasira tu.
 
Back
Top Bottom