Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepora mamlaka yasiyowausu ili kuzitawala ndoa

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
962
3,017
Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote.

Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepoka mamlaka ya wazazi. Ni wazazi na ndugu wa pande mbili pekee wanaoamua aidha kuwe na ndoa ama laaa.

Ndugu na wazazi wa upande mmoja wakikataa hata huko kanisani wachungaji hawawezi kulazimisha hio ndoa sababu wazazi / walezi na ndugu ndio wanaachia baraka kwa wanandoa na sio mchungaji au padre.

Pia kwenye kutengana kanisa linaingia vipi kuwa kama mshauri wakati jambo hilo linapaswa lihusishwe na wazazi na ndugu wa koo pande mbili?

wakifungishwa ndoa kanisani mahaba yao wanayahamishia kwenye dini husika. Hii ni mbinu kali sana ya kanisa kujipatia waumini wa kudumu.

Hakuna mahala popote kwenye biblia ambapo mchungaji alifungisha ndoa.
 
StudentTeacher

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
2,987
2,635
Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote.

Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepoka mamlaka ya wazazi. Ni wazazi na ndugu wa pande mbili pekee wanaoamua aidha kuwe na ndoa ama laaa.

Ndugu na wazazi wa upande mmoja wakikataa hata huko kanisani wachungaji hawawezi kulazimisha hio ndoa sababu wazazi / walezi na ndugu ndio wanaachia baraka kwa wanandoa na sio mchungaji au padre.

Pia kwenye kutengana kanisa linaingia vipi kuwa kama mshauri wakati jambo hilo linapaswa lihusishwe na wazazi na ndugu wa koo pande mbili?

Hakuna mahala popote kwenye biblia ambapo mchungaji alifungisha ndoa.
Umeandika kilichopo kichwani mwangu. Wenye dini wanawachezea watu akili zao bila wao kujijua. Watu wakifungishwa ndoa kanisani/msikitini mahaba yao wanayahamishia kwenye dini husika. Hii ni mbinu kali sana ya kujipatia waumini wa kudumu.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
StudentTeacher

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
2,987
2,635
Hii mada usiusishe na uislam maana ni pande mbili zenye taratibu tofauti
Huko ndio kabisa. Naishi na mashehe wengi tu huku. Huwa wanatamani nislimu lakini huwa nawaambia kwenye dini yenu kuna ukakasi mwingi tu kama ilivyo kwenye dini nyingine. Mkiweza kunijibu hoja zangu kadhaa kuhusu dini yenu to the point mkaweza kunitoa kwenye ukakasi basi ruksa kunislimisha. Hadi leo wameshindwa kujibu hoja zangu. Baadhi Yao huwa wakiniona wanaishia kucheka tu maana hawakutegemea kukutana na hoja za namna ile kutoka Kwa mtu wa kawaida kama Mimi.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
snap

Member
Jan 4, 2016
55
47

Uliwauliza nini wakashindwa kukujibu. Sio kila muislam unayekutana nae kavaa kanzu na kofia basi ukaisi ni shekh
 
StudentTeacher

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
2,987
2,635
Uliwauliza nini wakashindwa kukujibu. Sio kila muislam unayekutana nae kavaa kanzu na kofia basi ukaisi ni shekh
Naona huwaamini wenzako. Yamkini wewe unajiamini kwamba unaweza kuzijibu hoja zangu tata kuhusu uislamu lakini nakuhakikishia hata aliyeuleta uislamu angepata ganzi kunijibu. Ingawa sijaamua kuziweka hadharani hoja hizo hapa JF.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Accumen Mo

JF-Expert Member
May 15, 2022
5,087
10,392
Huko ndio kabisa. Naishi na mashehe wengi tu huku. Huwa wanatamani nislimu lakini huwa nawaambia kwenye dini yenu kuna ukakasi mwingi tu kama ilivyo kwenye dini nyingine. Mkiweza kunijibu hoja zangu kadhaa kuhusu dini yenu to the point mkaweza kunitoa kwenye ukakasi basi ruksa kunislimisha. Hadi leo wameshindwa kujibu hoja zangu. Baadhi Yao huwa wakiniona wanaishia kucheka tu maana hawakutegemea kukutana na hoja za namna ile kutoka Kwa mtu wa kawaida kama Mimi.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Huna hoja gani za msingi? Tulia hapo hapo hauja lazimishwa huku hakuna shaka mambo ni salama kabisa.
 
Accumen Mo

JF-Expert Member
May 15, 2022
5,087
10,392
Sawa

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Jamaa kasema uislamu usiingizwe wwe unaonyesha chuki za wazi kwamba huko ndo kabisa wakati wanaongia kweny uislamu ni wengi kitakwimu haswa watu maarufu duniani wanaachana na dini nyingine...kama huko dini fulani tulia huko wala hujalazimishwa.

Swala la hoja inategemea je unataka kueleweshwa au kubishana kama wale wa midahalo wale wanabishana hawataki kuelewa..

Hata mm nimesoma seminar nikiwa mdogo ila nimesoma mafundisho ya ukristo kwa umri ule ningekuwa tayar nishakuwa mkristo ila ni muislamu mpaka leo najua wapi Pana uongo kama ningetaka kubadili dini kwa umri huu ningebadili ila naona uislamu ni haki kule ni dram na story za kutunga.
 
snap

Member
Jan 4, 2016
55
47
Naona huwaamini wenzako. Yamkini wewe unajiamini kwamba unaweza kuzijibu hoja zangu tata kuhusu uislamu lakini nakuhakikishia hata aliyeuleta uislamu angepata ganzi kunijibu. Ingawa sijaamua kuziweka hadharani hoja hizo hapa JF.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Elimu katika dini ya uislam ni pana Sana unaweza kutenga mda na maisha yako yote na bado usifikie kikomo cha elimu. unaweza kumuuliza kitu Mtu na asiwe na majibu kwa vile jambo hilo Hana elimu nalo hivyo haina maana kwamba hoja hiyo haijibiki. Nakuhakikishia hakuna hoja katika uislam ambayo haijibiki.
 
StudentTeacher

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
2,987
2,635
Jamaa kasema uislamu usiingizwe wwe unaonyesha chuki za wazi kwamba huko ndo kabisa wakati wanaongia kweny uislamu ni wengi kitakwimu haswa watu maarufu duniani wanaachana na dini nyingine...kama huko dini fulani tulia huko wala hujalazimishwa.

Swala la hoja inategemea je unataka kueleweshwa au kubishana kama wale wa midahalo wale wanabishana hawataki kuelewa..

Hata mm nimesoma seminar nikiwa mdogo ila nimesoma mafundisho ya ukristo kwa umri ule ningekuwa tayar nishakuwa mkristo ila ni muislamu mpaka leo najua wapi Pana uongo kama ningetaka kubadili dini kwa umri huu ningebadili ila naona uislamu ni haki kule ni dram na story za kutunga.
Sina chuki na watu. Ninachukia uongo!. Huku mtaani watu wote wangu. Wenye dini na wasio na dini. Ila kuchezewa akili kwangu ni BIG NO!.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
StudentTeacher

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
2,987
2,635
Elimu katika dini ya uislam ni pana Sana unaweza kutenga mda na maisha yako yote na bado usifikie kikomo cha elimu. unaweza kumuuliza kitu Mtu na asiwe na majibu kwa vile jambo hilo Hana elimu nalo hivyo haina maana kwamba hoja hiyo haijibiki. Nakuhakikishia hakuna hoja katika uislam ambayo haijibiki.
Basi niunganishe na aliyeuleta uislamu nimuulize yeye ili kukata mzizi wa fitna maana kwa utetezi wako huu kila mtu utaona anapwaya. Hafit kujibu hoja zangu. Kila kiongozi wa dini utakuwa unasema hatoshi labda aulizwe mwenye upeo zaidi.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Accumen Mo

JF-Expert Member
May 15, 2022
5,087
10,392
Sina chuki na watu. Ninachukia uongo!. Huku mtaani watu wote wangu. Wenye dini na wasio na dini. Ila kuchezewa akili kwangu ni BIG NO!.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Basi kifupi kama unataka kujua ukweli usisite kuwa na nia ya kutaka kujua then uliza hata kwa kuleta Uzi watu wenye elimu wapo utasaidiwa ....sio kwamba watu tuna elimu kubwa ila kweny wengi Kuna mengi dini haswa Uislam ni elimu pan mno Kuna watu wa tarekh ,Sunnah na Hadith na Kuna qur an baba lao so ni mambo ya kujua kila kona.

Ninweza nisiwe vizuri sehemu fulani ila mwingine akakuhelp ...ukiwa tayar unaweza kuleta Uzi ukapata msaada wa elimu .
 
7 Reactions
Reply
Top Bottom