kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. May Day

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kwa haya matukio. Kanisa Mjitathmini.

    Kiukweli inatamausha sana kusikia haya matukio ya mara kwa mara yakijirudia ya unyanyaswaji Watoto na Watu ambao ilitarajiwa kuaminiwa na Jamii. Hainiingii akilini ni kwa vipi Taasisi yenye Wasomi kushindwa kuweka mifumo ya kudhibitiana wao kwa wao...hivi mnashindwa vipi kutambua Mwenendo wa...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

    UPDATES: Sostenes Bahati Soka, Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro amesomewa mashtaka matatu katika Mahakama mbili tofauti. Padri huyo mwenye miaka 41, amesomeshwa mashataka hayo leo Jumatatu, Septemba 26, 2022 kwa nyakati...
  3. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi awaasa wanaoenda ukrane wasiogope kufa.

    Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi,mwandani na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa nchini humo amewaambia makuruta watize wajibu wao na wasiogope kufa kwani hata wakifa wataenda kupumzika mbinguni. My take: Kiongozi huyu anajua hawatarudi urusi,ndio basi tena himars zinaenda kuwafyeka.Putin...
  4. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Vijana waleta fuji kutaka aliyetengwa na kanisa azikwe kwa taratibu rasmi za kanisa

    Ujumbe uko kwenye video hapa chini kwa vijana wa Arusha
  5. T

    JamiiForums Tanzania Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8

    Huko Chato mkoa wa Geita katekista wa kanisa katoliki amekamatwa akibaka mtoto wa 8. ===== Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka nane mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Oparesheni uhalifu yanasa silaha 997

    JUMLA ya silaha 997 zimekamatwa kutokana na oparesheni mbalimbali za kuzuia na kutanzua uhalifu mkoani Morogoro kuanzia Januari mwaka 2019 hadi Juni mwaka huu. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu alisema hayo juzi katika taarifa yake kwa mkuu wa mkoa huo, Fatma Mwasa...
  7. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa Angliakana Dayosisi ya Mpwapwa afariki siku 6 baada ya kuwekwa wakfu

    Katika hali ya majonzi na maskitiko askofu mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania Mahimbo Mndolwa ametangaza kifo cha Askofu mpya wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa George Chiteto leo tarehe 3.9.2022 ikiwani nitakribani siku sita tangu askofu huyo alipowekwa wakfu wa kuwa askofu mkuu wa dayosisi...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania kila kata hatuwezi fanya harambee za kuboresha shule zetu?

    Habari wadau. Kwanini tusifanye harambee kuboresha shule zetu ili vizazi vyetu vipate elimu bora na kupata taifa la wenye akili. Kuna uzi humu kanisani kijitonyama milioni 300 ya kununua nyumba ya mchungaji ilichangwa nusu saa tu. Nikawaza watoto wanaosali hapo kanisani je wote wanapata elimu...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mo Salah atoa Pounds 3,000,000 za Misri ($156,664) kujenga upya Kanisa lililoungua Giza

    Jamaa kafanya jambo kubwa sana huko kwao. --- Egyptian Liverpool forward Mohamed Salah has donated three million Egyptian pounds ($156,664) to help rebuild a church in Giza where a fire on Sunday killed 41 people and left several others injured. Social media channels in Egypt were full of...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kanisa la EAGT rudisheni makanisa yenu yote mlikotokea TAG. Mnaichosha Serikali na migogoro yenu isoyoisha

    Katika kanisa linaloongoza sasa hivi kwa migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ni EAGT. Inaonyesha kabisa hawawezi kujisimamia kutwa kusumbua Serikali na msajili. Hilo kanisa la EAGT walitokea Kanisa la TAG .Kule TAG kuna utulivu mkubwa na hakuna migogoro Kanisa la EAGT rudisheni makanisa yenu yote...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kama msikiti upo kwenye jezi why not kanisa jamani?

    Dah hizi dharau sasa, msikiti wa Idrissa umewekwa kwenye jezi lakini hata kanisa la azania limeshindikana kweli bwana Ngowi, au ni maelekezo maalumu toka salamander maana hata wao umewaweka kwenye jezi kama utatengeneza za FA usisahau basi kanisa au hata mwamposa umuweke ndugu yangu na...
  12. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Jijini Mbeya uzinduzi wa Dayosisi ya Nyanda za Juu Kusini ya Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki

    Ikiwa ni Mwisho wa mgogoro kati ya pande mbili zinazohitalifiana. Leo Jijini Mbeya wafuasi wa Askofu Mwaikali wanafurahia kujiunga na mwamvuli wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki wakitokea K.K.K.T. Ni huzuni kubwa kujitenga na kanisa hilo kongwe lililoasisiwa mwaka 1963 baada ya kuunganisha...
  13. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa ni mchungaji wa kanisa gani?

    Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake. Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 siku hiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Kanisa ndo limepelekea mauaji ya Waziri Mkuu mstaafu Shinzo Abe

    Huko Japan, kuna jamaa anaitwa Sun Myung Moon huyu mtu ndiye mwanzilishi wa Kanisa liitwalo Unification Church, al-maarufu kama Moonies church. Huyu jamaa na kanisa lake ndiye chanzo cha mauaji ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan, Shinzo Abe. Kwa mujibu wa Tetsuya Yamagani, ambaye ndiye aliyemuaa...
  15. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Makubwa! Kanisa lawapima ubikira wanawake, lawapa vyeti

    Kanisa moja la Afrika Kusini linafanya vipimo vya ubikira kwa waumini wa kike wa kanisa hilo wenye umri wa miaka 18 na kuendelea. Inaripotiwa kwamba Kanisa la Nazareth Baptist mjini Durban, Afrika Kusini lilianza mazoezi hayo ili kuwahimiza wanawake wachanga kanisani kutunza ubikira wao...
  16. J

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro kwa kushirikiana na wadau ajenga Kanisa kijijini kwao

    ..habari nzima ipo hapa
  17. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Kanisa

    KWA KANISA LILIKO TANZANIA ANDIKA: Nayajua matendo Yako ya kuwa umeacha kuhubiri kweli ya Kristo yenye uzima na badala yake unahubiri injili ya vitu viharibikavyo, Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na nyumba nzuri? Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na gari zuri? Je, Kristo alisulubiwa...
  18. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

    Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua option ya "Delete" badala ya "Delete for All". Waumini wamenishambulia, nimeona nileft. Sijui...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Dkt. Mwaikali akabidhi mali za Kanisa la KKKT

    Hatimaye aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde Usharika wa Ruanda, Dk Edward Mwaikali amekabidhi ofisi na mali, yakiwamo magari 10 kwa askofu mpya, Geofrey Mwakihaba. Makabidhiano hayo yalifanyika juzi katika usharika wa Ruanda, chini ya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Aliyevuliwa UASKOFU Kanisa la KKKT, Dkt. Mwaikali akubali kurejesha mali za Kanisa

    Wakati mgogoro ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Dayosisi ya Konde ukifikia kwenye hatua ya kugombea mali, imefahamika kuwa hatimaye upande wa uongozi uliondolewa madakani umekubali kurejesha mali za kanisa hilo. Mgogoro uliibuka baada ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Geofrey...
Back
Top Bottom