Yesu alipoliangalia hili Kanisa la leo, linatia huruma

Guru Master

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
594
"Maneno mengi Yesu aliongea Juu ya Kanisa. Zaidi sana juu ya siku za mwisho. Na kulionya Kanisa juu ya wakati wake wa Mwisho. Ya kwamba utakuwa wakati wa Hatari. Kanisa lisije kujisahau. Liendelee kama lilivyopatana na Yesu. Lifanye vivyo hivyo mpaka atakaporudi.

Yesu alisema. " Kanisa, Jihadhari sana. Kwa sababu zitakuwepo nyakati nyingi za hatari.Watu imani za wengi zitapoa. Watu watapenda pesa kuliko Kumpenda Mungu. Watachukia wa kwao. Watu wasiotaka suluhu wa siku za mwisho.

Wenye kujipenda wenyewe. Kanisa ujihadhari. Kanisa Jihadhari. Juu ya hali hiyo itakusumbua Kanisa, lakini KUMBUKA JUU YA MAPATANO YAKO NA YESU. USIJISAHAU KANISA LA LEO.USIJISAHAU KANISA LA LEO.

Kanisa la leo, Kanisa la leo, usisahau, usijisahau. Kanisa la leo Kanisa, la leo limelemewa na mambo mengi. Kanisa la leo, Kanisa la leo. Usisahau, usijisahau. Kanisa la leo , Kanisa la leo limelemewa na mambo mengi, shughuli za Dunia zaliandama Kanisa la leo, Roho za Uongo zaliandama Kanisa la leo usijisahau. Nazo pesa zaliandama Kanisa la leo Usijisahau.

Ulimwengu, Ulimwengu, utapotea utatoweka. Ulimwengu utapotea na mambo yake, Utapotea Ulimwengu. Uzuri wake, utatoweka Ulimwengu. Utapotea Ulimwengu."

Mambo hayo yamewasonga watu wengi, wamesahau, usijisahau. Hayo yote, yatapita, yatakwisha, lakini Yesu ni wa Milele.

D.M.
 
Maneno mengi Yesu aliongea Juu ya Kanisa. Zaidi sana juu ya siku za mwisho. Na kulionya Kanisa juu ya wakati wake wa Mwisho. Ya kwamba utakuwa wakati wa Hatari. Kanisa lisije kujisahau. Liendelee kama lilivyopatana na Yesu. Lifanye vivyo hivyo mpaka atakaporudi.

Yesu alisema. " Kanisa, Jihadhari sana. Kwa sababu zitakuwepo nyakati nyingi za hatari.Watu imani za wengi zitapoa. Watu watapenda pesa kuliko Kumpenda Mungu. Watachukia wa kwao. Watu wasiotaka suluhu wa siku za mwisho.

Wenye kujipenda wenyewe. Kanisa ujihadhari. Kanisa Jihadhari. Juu ya hali hiyo itakusumbua Kanisa, lakini KUMBUKA JUU YA MAPATANO YAKO NA YESU. USIJISAHAU KANISA LA LEO.USIJISAHAU KANISA LA LEO.

D.M.
Asante mtumishi kwa kutukumbusha. Bwana Atusaidie!

Yesu ni Bwana
 
"Maneno mengi Yesu aliongea Juu ya Kanisa. Zaidi sana juu ya siku za mwisho. Na kulionya Kanisa juu ya wakati wake wa Mwisho. Ya kwamba utakuwa wakati wa Hatari. Kanisa lisije kujisahau. Liendelee kama lilivyopatana na Yesu. Lifanye vivyo hivyo mpaka atakaporudi.

Yesu alisema. " Kanisa, Jihadhari sana. Kwa sababu zitakuwepo nyakati nyingi za hatari.Watu imani za wengi zitapoa. Watu watapenda pesa kuliko Kumpenda Mungu. Watachukia wa kwao. Watu wasiotaka suluhu wa siku za mwisho.

Wenye kujipenda wenyewe. Kanisa ujihadhari. Kanisa Jihadhari. Juu ya hali hiyo itakusumbua Kanisa, lakini KUMBUKA JUU YA MAPATANO YAKO NA YESU. USIJISAHAU KANISA LA LEO.USIJISAHAU KANISA LA LEO.

Kanisa la leo, Kanisa la leo, usisahau, usijisahau. Kanisa la leo Kanisa, la leo limelemewa na mambo mengi. Kanisa la leo, Kanisa la leo. Usisahau, usijisahau. Kanisa la leo , Kanisa la leo limelemewa na mambo mengi, shughuli za Dunia zaliandama Kanisa la leo, Roho za Uongo zaliandama Kanisa la leo usijisahau. Nazo pesa zaliandama Kanisa la leo Usijisahau.

Ulimwengu, Ulimwengu, utapotea utatoweka. Ulimwengu utapotea na mambo yake, Utapotea Ulimwengu. Uzuri wake, utatoweka Ulimwengu. Utapotea Ulimwengu."

Mambo hayo yamewasonga watu wengi, wamesahau, usijisahau. Hayo yote, yatapita, yatakwisha, lakini Yesu ni wa Milele.

D.M.
Bro Mungu ana watu wake maalumu wa kuwafundisha na kuwafunulia watu kumuhusu yeye.

Biblia sio kitabu rahisi kukisoma na ukakielewa pasipo muongozo maana kina lugha ya ngumu. Mfano, Mwanzo 1:1, Hutakaa uelewe mpaka upate neema ya kujua kupitia watu maalumu.
 
Sema hivi bila uongozi wa Roho Mtakatifu huwezi kulelewa
Maana biblia inasema,Roho Mtakatifu ndiye afumbuae Siri na mafumbo ya Mungu.Na ndo maana tuna matapeli kibao km kina Paul Makenzie
 
"Maneno mengi Yesu aliongea Juu ya Kanisa. Zaidi sana juu ya siku za mwisho. Na kulionya Kanisa juu ya wakati wake wa Mwisho. Ya kwamba utakuwa wakati wa Hatari. Kanisa lisije kujisahau. Liendelee kama lilivyopatana na Yesu. Lifanye vivyo hivyo mpaka atakaporudi.

Yesu alisema. " Kanisa, Jihadhari sana. Kwa sababu zitakuwepo nyakati nyingi za hatari.Watu imani za wengi zitapoa. Watu watapenda pesa kuliko Kumpenda Mungu. Watachukia wa kwao. Watu wasiotaka suluhu wa siku za mwisho.

Wenye kujipenda wenyewe. Kanisa ujihadhari. Kanisa Jihadhari. Juu ya hali hiyo itakusumbua Kanisa, lakini KUMBUKA JUU YA MAPATANO YAKO NA YESU. USIJISAHAU KANISA LA LEO.USIJISAHAU KANISA LA LEO.

Kanisa la leo, Kanisa la leo, usisahau, usijisahau. Kanisa la leo Kanisa, la leo limelemewa na mambo mengi. Kanisa la leo, Kanisa la leo. Usisahau, usijisahau. Kanisa la leo , Kanisa la leo limelemewa na mambo mengi, shughuli za Dunia zaliandama Kanisa la leo, Roho za Uongo zaliandama Kanisa la leo usijisahau. Nazo pesa zaliandama Kanisa la leo Usijisahau.

Ulimwengu, Ulimwengu, utapotea utatoweka. Ulimwengu utapotea na mambo yake, Utapotea Ulimwengu. Uzuri wake, utatoweka Ulimwengu. Utapotea Ulimwengu."

Mambo hayo yamewasonga watu wengi, wamesahau, usijisahau. Hayo yote, yatapita, yatakwisha, lakini Yesu ni wa Milele.

D.M.
Kama unawimbo huu wa pastor mwasumbi nitumie please
 
Back
Top Bottom