kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Mtume Paul aliweza kuwatangazia watu wa mataifa na kuwabatiza kuwa Wakristu bila tohara kanisa liruhusu ndoa za wake wawili kuepusha michepuko

    Sikuhizi kuwa na mchepuko ni kitu cha kawaida sana. Hasa kwa wenye ndoa za mke mmoja. Mchepuko anapata mahitaji yote lakini hajulikani kwenye ukiona. Si jambo la kushangaza unakuta mama anamuona mwanaume J3 mpaka Ijumaa akitoka kazini lakini saa tatu lazima awahi kwa mke wake. Mchepuko...
  2. Christopher Cyrilo

    JamiiForums Tanzania Chonde Kanisa Katoliki, historia inatuhukumu

    CHONDE VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI - HISTORIA INAWASUTA. "Viongozi wa dini kuhamasisha watu kupiga kura wakati huu, ni sawa na kuchochea chuki" Hali ya maisha katika nchi za mashariki ya kati ndio mfano halisi wa mambo makuu matatu yanayoweza kumfanya binadamu aamue kwa hiari yake kuondoa...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki lijitafakari

    Kama kweli kanisa halijawa compromised lijitafakari Ni Mara nyingi kanisa limeteleza haijaanza Leo. Kanisa likishawahi kuuwa wanasasansi nadhani alikuwa Galileo au Corpenicus sikumbuki vema kisa aliamini kinyume na kanisa kwamba dunia ilikuwa duara. Kanisa katoliki Tanzania kama kweli dhamira...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki vatican yaanza uchuguzi baada ya 'sisters' wawili kupata ujauzito baada ya kuitembelea Africa.

    Kanisa katoliki limeanza uchunguzi kubaini chanzo na sababu za masista wake wawili kupata ujauzito baada ya kutembelea Africa ambap walikuja kwa kazi ya kimisionari.
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki kuwachunguza Watawa wawili ambao wamepata Ujauzito ghafla wakati wakiwa ziarani bara la Afrika

    Uchunguzi rasmi umeanza kwa Watawa wawili wa Kanisa Katoliki ili kuweza kujua ni kivipi wameweza kupata Ujauzito wakati walipokuwa katika Ziara ya Kikanisa katika bara la Afrika. Na Kanisa hilo Katoliki linashangaa pia kwamba kumetokea nini wakati hao Watawa walishafanya Ziara kadhaa katika...
Back
Top Bottom