kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Askofu KKKT, Dkt. Edward Mwaikali ahamia Kanisa la KKAM, ugomvi wa mali waibuka

    Wiki moja baada ya kuvuliwa madaraka, aliyekuwa askofu wa Dayosisi ya Konde ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Edward Mwaikali na baadhi ya wachungaji na waumini wamejitenga na kanisa hilo. Uamuzi huo ulitangazwa Juni 12, 2022, katika Kanisa Kuu la Ruanda Jijini Mbeya na Dkt...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kuna nini nyuma ya kuuawa kwa Makasisi wa Kanisa Katoliki?

    Ndani ya mwaka mmoja Makasisi wawili wa Kanisa Katoliki wameuawa kikatili mmoja huko Dar es Salaam na mwingine huko Mbeya. Vifo vya Makasisi tena kwa kulengwa na kuteswa hakika si jambo la kupuuzwa hata kidogo! Kanisa Katoliki yalipasa kwanza like likemee tabia hiyo na pili lichunguze lenyewe...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wa Kanisa atekwa Nchini Nigeria

    Mkuu wa Kanisa la Methodist Nchini Nigeria, Samuel Kanu pamoja na mapadri wawili wametekwa wakati walipokuwa wakirejea kutoka kwa shughuli za la kanisa. Tukio limetokea Mei 29, 2022 katika Jimbo la Abia ambapo haijajulikana watekaji lakini Polisi wanaendelea na msako wa kumtafuta. Utekaji...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongera Askofu Mstaafu Mkude wa Jimbo Kuu la Morogoro Kanisa la Mt. Patrick ( Patrice ) kwa Ukristo huu wa Kizalendo wa Leo

    Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga. Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada. Ni kwamba mara...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuwauzia kanisa na msikiti eneo moja

    Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada. Ni wakati sahihi wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Putin usisikilize wanafiki, kanyaga twende

    Wazungu wana msemo wanasema they don't give a damn or (don't give a f.uck) kwa maana kwamba they don't care about anything or anyone. Hali hii imejitokeza kwa Rais Putin dhidi ya Papa wa Kanisa katoliki. Papa anasema alimtuma mwanadiplomasia mkuu wa Kanisa aombe mkutano wa Papa na Putin lakini...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa. Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT limekuwa na migogoro mingi chini ya uongozi wa Askofu Shoo, Maaskofu waazimie kumuondoa

    Kama kuna heshima iliyobaki ya kanisa hili, basi imeshikwa na yule mchungaji wa kijitonyama, pamoja na kwaya ya kanisa Hilo, kwingine kote ni aibu. Uongozi wa Askofu Shoo umezalisha migogoro Kila mahala, vurugu Kila mahala, nahisi kiatu Cha ukuu wa kanisa hakimtoshi. Nashauri kikao Cha dharura...
  9. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Siri: Kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde

    SIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita. Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Polisi yawakamata watu 11 kwa kuwatapeli masista wa Kanisa la Katoliki Sh milioni 100

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam limewakamata matapeli sugu wa viwanja kwa tuhuma za kujipatia Tsh. milioni 100 kwa njia ya udanganyifu, wakijifanya wanamiliki na kuuza viwanja vya makazi ambavyo siyo vyao. Matukio waliyoyafanya yametokea kati ya mwezi Januari na Februari 2022...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

    Siku chache tangu kuripotiwa kwa taarifa za kuvunjwa kwa Kanisa la T.A.G lililopo Sebleni, Unguja ripoti kamili ya kilichotokea imetolewa kutoka upande wa kanisa pamoja na upande wa Serikali ya Zanzibar. Mchungaji wa kanisa hilo linaloelezwa kuwa limevunjwa, David Victor Suna amefunguka...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

    Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo wakishinikiza kuwa hawataki Kanisa katika eneo lao. Hii ni kunyume kabisa na sheria za nchi zinazoruhusu Uhuru wa Kuabudu. Kama jambo halitafanyika basi ni wazi kuna kiongozi mbaguzi...
  13. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Kanisa Katoliki kukosa uwakilishi Mkutano wa Rais Samia na Viongozi wa dini?

    Tarehe 2 Machi 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alikutana na Viongozi Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya Dini, Uwakilishi wa Kanisa Katoliki haukuwa wa hadhi ya Kikao cha Mkuu wa Nchi. Mufti wa BAKWATA alikuwepo, Askofu Dkt Shoo wa KKKT alikuwepo. Kulikoni...
  14. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

    Argentine court starts trial of Catholic bishop accused of sexual abuse By Agustin Geist BUENOS AIRES, Feb 21 (Reuters) - The trial of a Roman Catholic bishop accused of sexually abusing young men in northern Argentina will start on Monday, in the latest court case to highlight allegations of...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Afrika na Asia zaliokoa kanisa Katoliki duniani na janga la uhaba wa wito wa upadri

    According to Vatican statistics released this month, there were 410,219 Catholic priests in the world in 2020, down 4,117 from the previous year, the last available data. The steep drops in North America and Europe were offset by increases of new priests in Africa and Asia. --- ROME (AP) — The...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa kifo cha Katibu wa Kanisa wafikishwa Mahakamani, ni Katekista na mwenzake

    Watuhumiwa wa mauaji ya mtumishi wa kanisa katoliki Makambako Nickson Myamba (46) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe. Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Njombe, Matilda Kayombo akitaja shauri namba 5 la mwaka 2022 linalowakabili Daniel Mwilango (42) na Nickson Nyamideko (23) kuwa...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Mkunazini Zanzibar

    Kanisa hili lilijengwa na wamissionari wa kanisa la Anglikana katika barabara ya Mkunazini mwaka 1903. Uwanja uliojengewa kanisa ndipo shughuli nyingi za uuzaji wa watumwa zilipofanyika. Kujengwa kwa kanisa hili ilikua ni ishara au alama ya kukomeshwa kwa biashara ya utumwa. Since the end of...
  18. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Huyu Askofu Mwamakula ni mfuasi wa vyama vya upinzani tu.? Kanisa lake liko wapi hapa Dar.?

    Hivi huu Mwamba Mwamakula kanisa lake kwa hapa Dar lipogo wapi na ibada ni saa ngapi?Maana anaonekana zaidi kwenye matukio na mihadhara ya siasa ya vyama upinzani kuliko Kanisani. Yaani kuna watu Mwamakula wakimuona tu,kinachowajia kichwani ni Siasa za upinzani,wala si neno la Mungu. Kwa mfano...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili afungua Kanisa

    Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH. Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na...
  20. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli Kanisa la RC limebadili utaratibu wa mafunzo ya ndoa?

    Juzi nimekutana na kijana ambaye ametoa mahari (anataka kufunga ndoa) siku si nyingi akiniambia ametoka kwenye mafunzo ya ndoa katika kanisa la rc. Cha kushangaza kijana huyu kaniambia kanisa limebadili utaratibu wa mafunzo ya ndoa kuwa kwa sasa ni Mwaka mmoja yaani kila mwezi mnaenda mara...
Back
Top Bottom