Mwamposa unachokifanya sasa ni Uchokozi wa Makusudi kwa Kanisa Katoliki Kawe na huu Mkesha wako leo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Unajua fika kuwa leo hata Kanisa Katoliki Kawe nao wana Mkesha wao halafu Wewe kwa Makusudi umepanga Viti vyako na Spika zako Kubwa zenye Kelele jirani kabisa na Kanisa Katoliki Kawe.

Mwamposa huyo Kiongozi wa Serikalini anayekupa hiki Kiburi chote na hizi Jeuri zote atakuponza na labda hujajua au hujui Nguvu ya Kanisa Katoliki ndani ya Taifa hili la Tanzania.

Ulichokifanya hasa kwa Kuweka Spika zako Kubwa mpaka Jirani na ilipo Hospitali ya Masista Kawe ambako hapo hapo kwa sasa Kanisa Katoliki lina Ukumbi wake na hata Maombi ya Mkesha wa Kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 unafanyika.

Mfano kwa Spika Kubwa uliyoziweka na Sauti Kubwa inayosikika sasa Waumini wa Kanisa Katoliki Kawe hawatoweza Kusikilizana au hata Ibada kuwa ya Masikilizano.

Lakini pia hata Wakazi wa Kawe nao kwa Usiku huu utawapa Kero ( Noise Pollution ) kwa Spika Kubwa uliyoziweka na Sauti Kubwa iliyopo sasa na tunajua hujali kwakuwa Unalindwa na pia Unakula na Wakubwa wanaokupa hii Jeuri uliyonayo.

Namalizia kwa Kukuonya Mwamposa kuwa Cheza na Wote ila siyo Kanisa Katoliki nchini Tanzania na usiwaone wako Kimya kwa huu Uchokozi wako wa Kimakusudi Kwao ambao hukuuanza leo ila jua ya kwamba Ukimya wao una Kishindo Kikubwa kitakachokuwa na Madhara makubwa kwa hii Huduma yako.
 
Uzuri watoto wa baba mmoja mtaelewana TU kikubwa mnasoma kitabu kimoja ila kurasa tofauti basi hamnashida
 
Nguvu gani hizo ambazo kanisa katoliki linazo kiasi cha kuziwia wengine wasiabudu mungu wao wanavyotaka? Kama wanazo hizo nguvu kwa nini wavumilie tu wanavyoona nao wanavurugiwa ibada yao na mwamposa? Wewe jamaa mwamposa kakukosea nini unachomuandama kila uchao na huduma yake hiyo? Kwanza nchi hii kila mtu ana uhuru wa kuambudu mungu anayemuamini bila kubughudhiwa na yeyote
 
Unajua fika kuwa leo hata Kanisa Katoliki Kawe nao wana Mkesha wao halafu Wewe kwa Makusudi umepanga Viti vyako na Spika zako Kubwa zenye Kelele jirani kabisa na Kanisa Katoliki Kawe.

Mwamposa huyo Kiongozi wa Serikalini anayekupa hiki Kiburi chote na hizi Jeuri zote atakuponza na labda hujajua au hujui Nguvu ya Kanisa Katoliki ndani ya Taifa hili la Tanzania.

Ulichokifanya hasa kwa Kuweka Spika zako Kubwa mpaka Jirani na ilipo Hospitali ya Masista Kawe ambako hapo hapo kwa sasa Kanisa Katoliki lina Ukumbi wake na hata Maombi ya Mkesha wa Kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 unafanyika.

Mfano kwa Spika Kubwa uliyoziweka na Sauti Kubwa inayosikika sasa Waumini wa Kanisa Katoliki Kawe hawatoweza Kusikilizana au hata Ibada kuwa ya Masikilizano.

Lakini pia hata Wakazi wa Kawe nao kwa Usiku huu utawapa Kero ( Noise Pollution ) kwa Spika Kubwa uliyoziweka na Sauti Kubwa iliyopo sasa na tunajua hujali kwakuwa Unalindwa na pia Unakula na Wakubwa wanaokupa hii Jeuri uliyonayo.

Namalizia kwa Kukuonya Mwamposa kuwa Cheza na Wote ila siyo Kanisa Katoliki nchini Tanzania na usiwaone wako Kimya kwa huu Uchokozi wako wa Kimakusudi Kwao ambao hukuuanza leo ila jua ya kwamba Ukimya wao una Kishindo Kikubwa kitakachokuwa na Madhara makubwa kwa hii Huduma yako.
Unakumbuka ulituambia Mwamposa amefukuzwa Tanganyika Packers anahamia Mbezi Beach?
 
Hospital ndio kigezo cha kumuanza au vipi! Kuna watu wachawi sana from origin
 
Unajuaje kama Mtu kapigwa ban?

Kwako Kalpana

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Daaah! Ni kweli kapigwa BANN! Sina shaka ni kutokana na UNOKO wa baadhi yetu, kwani kuna WAKUU hapa JF, baada ya "BWANA YULE" kupigwa bann, walisema kuwa ana ID nyingi ambazo zinaeleweka kuwa ni zake, lakini wahusika wanaziachia, hivyo BWANA YULE ha-athiriki na hizo BANN!
 
Nafikiri hii umeandika binafsi sio msimamo wa hiyo Parokia maana wanajua wafanye nini kama kuna kuingiliana au kuvurugana. Kanisa Katoliki haliwezi kwenda that low kupambana na mtu!

Yumkini ulivyoona tamko la maparoko kule Iringa ukafikiri ni kupambana na Mwamposa! Ile ilikuwa ni barua ya kichungaji tu. Ni vizuri ukiandika jambo uliseme kama maoni binafsi kuliko kulisema kana kwamba ndio uelekeo wa Kanisa. Kama kuna shida Paroko anajua la kufanya.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hawezi kujibu! Kishakula bann!
 
Back
Top Bottom