kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

    Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA. Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
  2. Logikos

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla

    Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Serikali ichunguzeni kampuni ya Mysol, inatesa wananchi

    Wana Jamii Forums nawasalimu nyote Mimi ni mkazi wa wilaya ya Kibondo hapa mkoani Kigoma. Ninaomba msaada wa kisheria kutokana na ugomvi nilionao na kampuni ya KITAPELI ya sola inayoitwa MYSOL maana tunakoenda naweza kuja kukata kichwa cha mfanyakazi wao nikapata kesi ya mauaji. Hii kampuni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini kampuni za mwasiliano ya simu kutuma ujumbe wa kifurushi kwisha wakati bado

    Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo. Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao. Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe...
  5. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Hatua za kusajili kampuni ya kigeni (procedures for the registration of a foreign company in Tanzania)

    Habari, leo nakuletea makala kuhusu hatua na utaratibu wa kusajili makampuni ya kigeni nchini Tanzania. Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate Candidate, zakariamaseke@gmail.com (0754575246 WhatsApp). Kiujumla, hatua za kusajili kampuni ya kigeni zinafanana na hatua za...
  6. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuagiza bidhaa kutoka Marekani kwa kutumia kampuni ya Myus

    Habari wakuu. Poleni na majukumu. Ni mara ya tatu Naagiza bidhaa mbalimbali kutoka ebay kupitia kampuni ya myus. Mara mbili nimepokea bidhaa nilizoagiza bila changamoto yeyote. Mara hii ya tatu bidhaa inaonekana imefika dar es salaam na inaleta meseji ya Clearance delay- import. Clearance...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme

    East Africa News Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme ======= Summary The BLQ scam leaves behind hundreds of Ugandans who had recently become millionaires. The supposed wealth vanished in a matter of hours as they looked on helplessly. The last message BLQ Football Club...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Huawei kuunganisha watu na kusaidia mamlaka kukabiliana na changamoto kwa Tehama

    Na Gianna Amani Pengine wengi wanaijua Huawei kama kampuni ya kutengeneza simu kutokana na chapa yake kuwepo katika soko kwa miongo kadhaa, lakini Huawei ni zaidi ya kampuni ya kutengeneza simu. Huawei ni kampuni kubwa ya teknolojia na mawasiliano nchini China na inazidi kuota mizizi katika...
  9. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni ya simu inadhulumu wanakijiji

    Wakuu amani, Nimefanya mawasiliano na ndugu yangu aliye kijijini mkoa wa Dodoma, mojawapo ya makampuni yetu ya simu (local) liliingia mkataba na kijiji miaka zaidi ya mitano iliyopita kwa ajili ya kuweka mnara wa mawasiliano kijijini hapo. Tatizo ni kuwa kampuni hilo halitekelezi sehemu yake ya...
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ni Muhimu kwa Kila Kampuni na Shirika Kuwa na Mkakati wa Kustahimili Changamoto za Teknolojia ya Digitali

    Tunaishi katika ulimwengu wa kidigitali unaozidi kukua kwa kasi, lakini makampuni na mashirika mengi bado hayafahamu ni kwa kiwango gani yanategemea teknolojia ya digitali na changamoto ambazo wanaweza kukumbana nazo. Tunapoelekea katika siku zijazo ambazo tunazidi kuwa tegemezi kwa teknolojia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Kitapeli Tanzania (Scam companies)

    Kuna maswali mengi fikirishi juu ya uchipukaji huu wa kampuni za kitapeli (Scam companies) hapa Tanzania. Kampuni hizi ni pyramid/ponzi schemes na zimekuwa zikiwaumiza Watanzania sana, na pesa inayopatikana baada ya kukusanya kwa raia huenda kwenye mzunguko wa pesa nchini isivyo kihalali. Kwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanajamvi nahitaji jagi la umeme kuchemshia maji ya lita na nusu

    Nashindwa kujua ni kampuni ipi naweza kupata jagi konki (original), naomba msaada wa mawazo tafadhali. Liwe automatic (maji yakichemka ufikia centigrade mia linajikata lenyewe), ila lisiwe lakukaliza kwenye kitako nataka liwe limeunganika.
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yasema Bomba la Mafuta (EACOP) litajengwa kwa namna yoyote ile

    CNOOC International, kampuni ya Mafuta na Gesi ya China ambayo inamiliki hisa za uchimbaji Mafuta nchini Uganda, imesema mradi huo utatekelezwa kama ulivyopangwa, licha ya mvutano wa Tanzania, Uganda na Bunge la EU. Makamu wa Rais wa CNOOC, Dan Shao amesema walichokuwa wanahitaji ni msimamo wa...
  14. Bexb

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji kufungua kampuni ya ulinzi? Basi jifunze hapa!

    Habari ya usiku wakuu, nawiwa kushare machache kuhusu mada tajwa hapo juu. Watu wengi wamekua wakitamani ama kuwa na mpango wa kufungua kampuni inayotoa huduma za ulinzi katika maeneo mbali mbali. Ni rahisi sana kwani mtu huweza kufanya shughuli hii akiwa binafsi ama kupitia kampuni na mahitaji...
  15. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Kwanini kampuni au biashara yako lazima inahitaji uwe na website(Tovuti)?

    Karne hii kumekuwa na watu wengi wanao shauri kuwa na tovuti/website kwa ajili ya kampuni au biashara. Sa nyingine wamekuwa wakitangaza ivo, kwa ajili ya manufaa yao binafsi. Ikiwemo kujipatia kipato kwa kupitia kutengeneza website. Lakini wanao pokea izo kazi za website wamebaki na swali...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Faini bilioni 5/- kampuni ikivujisha taarifa binafsi

    Kibano dhidi ya kampuni au shirika linalofanya makosa ya ufichuaji wa taarifa binafsi, ikiwamo kuuza taarifa sasa kinanukia baada ya serikali kupendekeza bungeni kutungwa sheria itakayokuwa na adhabu ya faini isiyopungua Sh. milioni moja na isiyozidi Sh. bilioni tano. Ikiwa ni mtu binafsi...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Australia: Kampuni kubwa ya mawasiliano ya Optus yadukuliwa

    Kampuni ya Pili kwa ukubwa ya Mawasiliano nchini humo, #Optus, imeripoti shambulio la mtandao ambalo limefichua Taarifa Binafsi za Wateja kama Majina,Terehe za Kuzaliwa, Nambari za Simu na Anuani za Barua Pepe Kampuni hiyo yenye Wateja zaidi ya Milioni 10 inasema imefanikiwa kuzima shambulio...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu kwa wateja

    Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali. Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kampuni za kubeti kwa maendeleo ya taifa

    Tasnia ya michezo ya bahati nasibu inakua kwa Kasi ya ajabu kutokana na kuongezeka kwa watumiaji wengi wa intaneti, na kukua kwa miamala ya kifedha. Kwa miaka ya hivi karibuni Tanzania imezidi kuwa Soko pendwa katika biashara hii inayotajwa kushika nafasi za juu kuwa na mkwanja mrefu. Je...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye namba za simu kampuni ya PanAfrica

    Habari za majukumu. Tafadhalini natafuta namba za simu za kampuni ya PanAfrica ni watengenezaji wa bidhaa za plastiki { Galons } , naomba msaada kwa hilo tafadhalini. Wasalaam
Back
Top Bottom