DOKEZO Kampuni ya simu inadhulumu wanakijiji

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,770
10,650
Wakuu amani,
Nimefanya mawasiliano na ndugu yangu aliye kijijini mkoa wa Dodoma, mojawapo ya makampuni yetu ya simu (local) liliingia mkataba na kijiji miaka zaidi ya mitano iliyopita kwa ajili ya kuweka mnara wa mawasiliano kijijini hapo.

Tatizo ni kuwa kampuni hilo halitekelezi sehemu yake ya mkataba kwani mpaka sasa hawajalipa pesa yoyote kijijini. Kijiji wanadai zaidi ya shilingi milioni mia mbili na kila wakifuatilia wanaahidiwa tu kupewa malipo yao.

Kama yuko mwenye kufahamu haya masuala tunaweza wasiliana kwa details zaidi na ikiwezekana kuwabana hawa matapeli watekeleze wajibu wao.

Shukrani.
 
Back
Top Bottom