Tatizo ni nini kampuni za mwasiliano ya simu kutuma ujumbe wa kifurushi kwisha wakati bado

HOPEfull

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
1,709
2,047
Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo.

Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao.

Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe pia bado unaniambia una mb 100.
Yaani wewe unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe huyo huyo unaniambia una mb 100 mfukoni.What this amazing.

Kama mahakamani hapo mbona kesi inaisha kiubua kabisa.Kama kuna kauwezekano wa kutafuta kakipengele ka sheria ya usumbufu kwa wananchi basi tuwashitaki.

Najua wao wana pesa wanaweza wakaweka mawakili wakubwa kama kina kibatala na wengine lkn mbona ushahidi wa wazi upo kwa nini tusikomae tupige pesa hii ya usumbufu.

Kama haiwezekani kuwashitaki basi tuwaombe jf wakawasaidie kuset hizo program zao.

Kazi kwetu wapendwa.
 
Back
Top Bottom