kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

    Wakuu nawasalimia kwa salamu ya ukombozi , leo tena yule mgombea anayeongoza kwenye kura za maoni Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano yake ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi , ambapo leo atakuwepo Geita , huu ndio Mkoa aliouawa kinyama kamanda Alphonce Mawazo, RIP, mchana wa jua kali huku...
  2. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Tanzania: Badala ya Mgombea kuulizwa maswali, yeye ndiye anawauliza maswali Wananchi

    Ni bahati mbaya mikutano ya CHADEMA na ACT wanaoulizwa maswali ni Wananchi waliokuja kuwasikiliza badala ya wananchi kuwauliza wao maswali. Kwa kuwa siku bado ningefurahi kama kuna atakayewauliza wagombea wakuu wa CHADEMA na ACT haya maswali yangu. Au tufanye mdahalo nao? Maswali yangu ni haya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli akiwa Nsimbo, Kidahwe akielekea Kazuramimba, Kigoma kwa ajili ya mkutano wa kampeni

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe...
  4. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM si tulisema Magu hahitaji kampeni 2020? Chopa ya nini?

    CCM tulimpamba mzee sana kuanzia bungeni na nje ya bunge, tukaenda mbali na kusema kuwa hahitaji kampeni 2020 bora hata uchaguzi usifanyike ili apite bila kupingwa, hizi kauli za kinafki ni za kumhujumu mgombea wetu kuanzia leo iwe mwisho. Kama kweli hatukuhitaji kampeni wala uchaguzi huo CHOPA...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kwanini 'Ajira' za kuwa Mshauri Mkuu wa Rais/Kampeni Meneja wa Mgombea Urais nchini Tanzania huwa hazitangazwi wengine tuziombe?

    "Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee kwenye kampeni za CCM watu walivyofurika, hongereni sana." - Dkt. Magufuli, Igalula. Kwa haya...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabobezi/Manguli wa 'Political Science', aina hii ya kampeni ya 'Kutegeana' kwa 'wapinzani' wawili mnaiitaje?

    Kuna Mtu Mmoja naanza kuona anatuonyesha pia Watanzania jinsi gani pamoja na 'Usomi' wake mkubwa ila kuna uwezekano alipokuwa Shuleni na Chuoni (Chuo Kikuu) pia alikuwa ni Mpiga 'Chabo' wa 'Kutukuka' kabisa kwa jinsi ambavyo sasa katika Kipindi hiki cha 'Kampeni' anaacha Kusema yake aliyoyapanga...
  7. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM tuwe wakweli, mpaka mwisho wa kampeni tunaweza tukashindwa vibaya sana

    Kitu ambacho narudia mara ya pili kikisisitiza, ni kwanini Mzee baba anafanya kazi ya kujibu hoja za Tundu ambaye ana akili nyingi sana na sasa ameshamjuia anacheza na milio ya midundo yake. Mimi nilisema mzee ajikite zaidi kuelezea anayotaka kuyafanya badala ya kuhangaika kumjibu Tundu, hii...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi CCM wamepanga kutumia Tsh. ngapi hadi kampeni ziishe?

    Chama hiki kinajinasibu kama ni cha uwazi na uzalendo nadhani watakuwa wameweka wazi hilo sehemu flani. Maana kila nikipita mitaani naona wao tu ndio wanaendelea na harakati za kuweka mabango. Nimepita mnazi mmoja kuna diwani anamabango makubwa kuliko hata ya mgombea urais. Nimepita Mtaa flani...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndio kampeni za kushindanisha sera

    Kamapeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu zimeingia wiki ya tatu huku ikiwa inajulikana sasa ushindani mkubwa upo kwa vyama vya CCM na CHADEMA. Mwanzo wakati kampeni zinaanza kulikua na kutegeana ili kusikia mwenzako ameongea nini ili umkosoe na kumzodoa ila sasa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli anatakiwa ajue kuwa Kampeni ni kujishusha, sio kufokea na kuwatisha wapiga kura

    Ninachojua mimi kura ni siri ya mpiga kura, kura ni haki ya mpiga kura, kura sio haki ya mgombea kuwa ataidai kwa lazima, kuwa asipopigiwa atawaadhibu wapiga kura. Mgombea wa CCM anadhani kupigiwa kura ni haki yake analazimisha, anawafokea wapiga kura na kuwatisha. Naomba Magufuli ajifunze kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Choppa ya CCM yatua Urambo tayari kwa kampeni nchi nzima, sasa ni mashambulizi kotekote!

    Kwa mujibu wa Ayo tv ile Choppa ya CCM tayari imetua Urambo mkoani Tabora kwa ajili ya kutumika katika kampeni. Sasa ni mashambulizi kutoka kila kona ardhini, angani na majini, Tundu Lissu lazima akae. Maendeleo hayana vyama!
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wangu CCM Taifa, Rais Dkt. Magufuli tafadhali achana na Kauli kama hii katika 'Kampeni' zako kwani zinakuharibia na zinachanganya

    "Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga, mambo ndivyo yanavyokwenda...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

    Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urambo, Tabora: Dkt. Magufuli 'akandia' sera ya majimbo; asema inakaribisha mafarakano na umasikini kwa Watanzania

    Kampeni za urais zinaendelea na leo mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi, Dkt yuko Urambo. Kwa sasa aneongea ni Magreth Sitta na anawaombea kura madiwani, Rais na yeye mwenyewe kwenye nafasi ya ubunge kwa kupiga magoti mara tatu kwa kila nafasi. 3:28 Asubuhi: Dkt. Magufuli amewasili...
  15. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee Lukanga anaisambaratisha CCM Mwanza. Amekuwa kivutio cha kampeni, na msafisha njia kwa wagombea wa CHADEMA

    Mzee Lukanga anazungumza mambo magumu kwa njia na mifano rahisi kueleweka. Anafafanua masuala mazito kwa namna ambayo msikilizaji hawezi kusahau. Wakati mwingine kampeni za siasa hazihitaji watu maarufu wenye visomo vikubwa, bali watu wakaida kama Mzee Lukanga.
  17. Molleli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ningependa kuona wananchi tunapewa nafasi za kuwauliza maswali wagombea urais kwenye kampeni zao

    Hili Jambo la wagombea kutowapa wananchi nafasi walau tano za kuwauliza maswali katika kampeni zao ni uwoga wao au haipogo hi kitu kwa mujibu wa Sheria za kampeni?
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

    Wanabodi, Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, kwa sisi Anglophone Africa ni our colonial master, The British na shirika lao la habari la kibeberu la BBC London, na kwa Francophone Africa ni France na RFI na F24 TV. Sasa inapotokea chombo kama BBC London...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

    Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo. Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa" Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
Back
Top Bottom