kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh Tundu Lissu Mkoani Mara, Serengeti

    Wakuu natanguliza salamu za ukombozi, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja. Ni siku nyingine tena ambapo Mh Tundu Lissu mgombea urais anayeongoza kwenye kura za maoni anaendelea na safari yake ya kuwaomba watanzania wenzake wampe ridhaa ya kuwaongoza, leo ikiwa bado yuko Mkoani...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi . Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kukiuka Maadili ya Uchaguzi kunaweza kupelekea mgombea kuzuiwa kufanya Kampeni hadi siku ya Uchaguzi au kuondolewa kabisa!

    Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu. Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye...
  4. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

    Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli. Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ilimzuia Julius Nyerere asiendelee kufanya kampeni za TANU

    Mwaka 1957 chama cha TANU kilishaonekana ni tishio kwa serikali. Serikali ikaanza kukabiliana nacho. Serikali ikasema kwamba Rais wa TANU yaani Julius Nyerere anatukana viongozi wa serikali. Hivyo chama cha TANU ni chama cha wakorofi kinachovunja amani ya nchi. Hivyo Serikali ikaanza kufunga...
  6. P

    JamiiForums Tanzania TRA na kampeni mpya ya ku-block Tansad za Walipa kodi

    Naona kuna policy mpya ya TRA imetokea takriban wiki 2 au 3 zilizopita za ku block Tansads za wananchi walipa kodi, ambao wanaingiza mizigo yao bandarini au kupitia airport. Hii sera kwanini ianze sasa wakati wa kampeni za uchaguzi? Kuna nini kilichojificha nyuma yake na TRA ya CCM? Kwanini...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Samia Suluhu azindua awamu ya tatu ya kampeni CCM

    Hakika CCM imejipanga kisayansi na inatumia rasilimali vyema. Leo Mama Samia amemkabidhi Ilani Mbunge mtarajiwa wa jimbo la Kongwa Ndugu Job Y Ndugai.
  8. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais Wa CCM Zanzibar Hussein Mwinyi Ashindwa Kutokea Kwenye Kampeni Bububu

    Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
  9. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku Tano mgombea Urais wa CCM hafanyi kampeni, Kulikoni?

    Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma anakutana wakurugenzi? Vipi jamani upepo unamuendeaje? Nasikia anaandaa timu mpya baada ya Polepole na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea, viongozi, watawala acheni kuuza taarifa kwenye WhatsApp mkiamini mpo peke yenu. Verify

    Mliopo katika nafasi ya kuwashauri Wazee na wadosi washaurini wajifunze kuilinda dhamana waliyopewa. Whatsapp imekuwa uchochoro wa kuvujisha Siri na mikakati mingi, naumia kuona baadhi ya magrouop ya wadosi yana members ambao siyo wahusika na wanafuatilia mijadala inayoendelea. Naumia pale...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mara

    Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio . Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika ========= UPDATES 1...
  12. Matope

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni meneja wa CCM 2020 ni nani? Nayaona makosa ya kiufundi mengi sana

    Habari wakuu, Kampeni meneja wa CCM uchaguzi huu ni nani? Nayaona makosa mengi mno kwenye uchaguzi kipindi hiki. Kwa maeneo waliyofanya kampeni mpaka sasa hivi, watu wameshasahau kilisemwa nini. CCM huwa wana mpangilio wa kampeni zake kwa miaka yote, huko nyuma imekuwa cha kushangaza kuna...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais kukutana na wasimamizi wa uchaguzi kipindi cha Kampeni inakubalika kisheria?

    Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii? Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu? Serikali imekanusha...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sheria inasemaje Mgombea akikiuka ratiba ya kampeni?

    Wagombea wa ccm kwa tiketi ya Urais na Ubunge wamekua wakienda kinyume na ratiba ya UCHAGUZI kwa kutokuwepo eneo la kampeni kwa siku tajwa. Je, kwa kufanya hivi wanavunja sheria au wanaweza kwenda maeneo hayo pale wanapojisikia?
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hizi picha zinatoa ujumbe gani wakati huu wa kampeni?

    Mara kadhaa nimesikia kwamba ili mambo yako yasikwame katika awamu hii na hasa kwenye kipindi hiki cha kampeni basi kazi ni ndogo tu , chukua sare za ccm hata kama hazikuenei wewe zivae halafu fanya lolote , iwe magendo au uharamu wowote hutaguswa na yeyote , si polisi wala mgambo wa jiji .
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alipongeza jeshi la polisi kwa kutenda haki katika mikutano yake ya kampeni

    Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu anasema jeshi la polisi limefanya kazi nzuri katika maeneo yote aliyopita na kufanya kampeni. Lisu anasema polisi wasisingiziwe kwa lolote kwa sababu wanafanya kazi yao vizuri. Source Ayo tv. Maendeleo hayana vyama!
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tetesi - Freeman Mbowe apangiwa njama ya kumchafua kuelekea mwisho wa kampeni

    Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017 Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shibuda alia ukata unamfelisha kufanya kampeni, amtaka Rais Magufuli awatumbue wasimamizi wa Uchaguzi waliovurunda!

    Mgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata. Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua wasimamizi wa uchaguzi waliovurunda wakati wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani. Chanzo: ITV...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zimebaki siku 31 za kupiga kampeni, sijamuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM

    Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli. Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nyumba za ibada zapigwa marufuku kufanyia kampeni za wagombea

    Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake. Wametoa agizo hilo leo Septemba...
Back
Top Bottom