kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hizi picha zinatoa ujumbe gani wakati huu wa kampeni?

    Mara kadhaa nimesikia kwamba ili mambo yako yasikwame katika awamu hii na hasa kwenye kipindi hiki cha kampeni basi kazi ni ndogo tu , chukua sare za ccm hata kama hazikuenei wewe zivae halafu fanya lolote , iwe magendo au uharamu wowote hutaguswa na yeyote , si polisi wala mgambo wa jiji .
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alipongeza jeshi la polisi kwa kutenda haki katika mikutano yake ya kampeni

    Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu anasema jeshi la polisi limefanya kazi nzuri katika maeneo yote aliyopita na kufanya kampeni. Lisu anasema polisi wasisingiziwe kwa lolote kwa sababu wanafanya kazi yao vizuri. Source Ayo tv. Maendeleo hayana vyama!
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tetesi - Freeman Mbowe apangiwa njama ya kumchafua kuelekea mwisho wa kampeni

    Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017 Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shibuda alia ukata unamfelisha kufanya kampeni, amtaka Rais Magufuli awatumbue wasimamizi wa Uchaguzi waliovurunda!

    Mgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata. Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua wasimamizi wa uchaguzi waliovurunda wakati wa uteuzi wa wagombea ubunge na udiwani. Chanzo: ITV...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zimebaki siku 31 za kupiga kampeni, sijamuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM

    Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli. Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nyumba za ibada zapigwa marufuku kufanyia kampeni za wagombea

    Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake. Wametoa agizo hilo leo Septemba...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mwanza na Mara

    Yule Mgombea wa Urais anayeongoza kura za maoni Mh Tundu Lissu leo tena anaendelea kukutana na wananchi kwa lengo la kuwaomba kura , ambapo leo atahutubia baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza na baadaye ataingia mkoani Mara Kama kawaida yetu leo tena tutaendelea kuwaletea yote yanayojiri kote...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Meya Boniface Jacob asimamishwa kufanya kampeni kwa siku 7 baada ya kuzidisha dk 5 kwenye mkutano wa kampeni

    MGOMBEA ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amesimamishwa kuendelea na kampeni, akidaiwa kukiuka kanuni za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Mgombea huyo, kwa mujibu wa Msimamizi wa Jimbo la Uchaguzi Ubungo, Beatrice Dominic, amesimamishwa...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu mgombea Urais wa Mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio Vijijini

    Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini. Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji...
  10. scatter

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nini maana CCM kuwashirikisha Wasanii katika Kampeni? Je, ni uzalendo?

    Habari zenu wadau, Kipindi kampeni zikiendelea kushika kasi kuna kitu kusema ukweli sisi kama Watanzania tuna tafakari mara mbili mbili hasa aina ya kampeni zinazofanyika na chama cha CCM. Kumekuwa na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wasanii wa maigizo ambao wameshirikishwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jery Slaa, unaweza kufanya zaidi ya kusugua miguu ya wanawake kwenye kampeni?

    Yapo Mambo yanafanywa na wagombea wa Chama cha Mapinduzi wakiwemo vijana yanatia najisi jamii wanayotaka kuiongoza. Jery Slaa kumnawisha mwanamke miguu kama njia ya kuomba kura ni fedhea na ulaghai usiokubalika. Siasa ni hoja, tunategemea kuwa na viongozi wajenga hoja siyo viongozi wanafiki...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

    Wakuu natanguliza salamu , kama mjuavyo kampeni za uchaguzi mkuu bado zinaendelea , sasa basi leo tena yule mgombea urais anayeongoza kura za maoni atakuwa Mkoa wa Mwanza kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio. Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa za uhakika ========...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze, CCM tu ndio inanadi Sera na Chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi

    Kampeni ni kunadi Sera na chama ili chama kishike dola. Leo ni mwezi mmoja kamili toka kampeni zianze CCM tu ndio inanadi sera na chama wengine wanajinadi wao binafsi kuwa nichague mimi. Kampeni kwao zimejikita zaidi kwenye u imimi sio chama ndio maana tunaona hata vyama vingine kama Chadema...
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Dkt. Magufuli atema cheche

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa: Hata hivyo barabara hii ilikuwapo pia katika ahadi za 2015. Si haba, "chelewa ufike" japo waswahili pia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna Mgombea wa Ubunge kafanyia Kampeni Kanisani

    Ni Ramadhan Ighondu wa Singida Kaskazini. Alifanya hivyo jana katika kijiji cha Mangida kata ya Msange katika kanisa la FPCT. Je, hii inaruhusiwa na sheria za uchaguzi?
  16. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Mwigulu naye acharuka

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma. Kampeni nazo haiishi viroja. Mwendo ni bandika bandua. Mmoja baada ya mwingine. Sikia mheshimiwa huyu Ninawasilisha.
  17. K

    JamiiForums Tanzania AZAM TV mjitathimini kwa upendeleo wa wazi wa kubagua katika kuonesha habari za Kampeni za Wagombea Urais

    Hawa jamaa nimejaribu kuwafuatilia saana tokea kampeni za Urais zianze wamekuwa wakitoa upendeleo wa wazi kwa mgombea wa chama tawala kwa kupamba mno taarifa zake huku wakikatakata habari za wagombea wa upinzani hasa za mpizani number moja wa Jiwe (Tundu Lissu) . Na pale siku Jiwe anapokuwa...
  18. lembu

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje akifariki mgombea?

    Hivi akifariki mgombea wakati wa kampeni sheria inasemaje wadau? Chama kina ruksa ya kumuweka mwingine au ndio imetoka? Akifariki mgombea urais? Akifariki mgombea ubunge? Akifariki mgombea udiwani?
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii 'Mikopo' ya aina hii kwanini huwa 'inatolewa' tu Kipindi hiki cha 'Kampeni' halafu haina hata 'Riba' yoyote ile?

    Kuna Mjumbe wangu wa Nyumba Kumi Kumi muda si mrefu kaniambia kuwa niende Ofisi za Serikali ya Mitaa ili nikajiandikishe nisubirie Mkopo. Nilipoenda kweli nikapokelewa kwa 'Bashasha' zote na kuambiwa tuwe 'Njemba' Kumi ( 10 ) kisha twende na tutapewa Tsh 500,000/= ( Shilingi Laki Tano ) ambapo...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Meneja Kampeni CUF: Adui wa CUF ni adui wa CHADEMA na adui wa CHADEMA ni adui wa CUF hivyo hakuna sababu ya kuhitilafiana

    Akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano, Meneja Kampeni wa CUF, Miraji Mtibwiriko katika viwanja vya viwanja vya Fatuma Mkoani Kagera aliwataka wanachama kuwa watulivu kwa kuwa bado wanahitaji kuwa kitu kimoja. Meneja kampeni huyo alitumia nafasi hiyo kuwaeleza wafuasi hao kuwa adui wa CUF ni...
Back
Top Bottom