Uchaguzi 2020 Wabobezi/Manguli wa 'Political Science', aina hii ya kampeni ya 'Kutegeana' kwa 'wapinzani' wawili mnaiitaje?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Kuna Mtu Mmoja naanza kuona anatuonyesha pia Watanzania jinsi gani pamoja na 'Usomi' wake mkubwa ila kuna uwezekano alipokuwa Shuleni na Chuoni (Chuo Kikuu) pia alikuwa ni Mpiga 'Chabo' wa 'Kutukuka' kabisa kwa jinsi ambavyo sasa katika Kipindi hiki cha 'Kampeni' anaacha Kusema yake aliyoyapanga na badala yake sasa 'anazivia' tu 'Sera' zilizoenda 'Shule' za Mpinzani wake.

Mpinzani wake alianza na 'Sera' ya 'Bima' ambayo Yeye wala hakuwa nayo katika 'Mipango' yake na 'akaidakia' nae 'Kuiimba' vile vile. Kama haitoshi Mpinzani wake kaja tena na 'Sera' za 'Wamachinga' ambayo kaielezea na kuichambua vizuri sana kama kawaida yake Mzee wa Chabo /Mizola nae 'Kaidakia' ila katika Kuielezea na Kuichambua vyema ieleweke Kumemshinda na kabaki 'Kubung'aa' tu.

Sasa nina 'Hofu' Siku Mpinzani wake akifanya kama 'Utani' kwa Kusema atawanunulia Wananchi wote 'Toilet Papers' na Kuwasambazia' hadi 'Majumbani' mwao Yeye Mzee wa Chabo / Mizola na Kukurupuka nae anaweza kusema Wananchi wote wanaruhusiwa Kujisaidia 'Haja Kubwa' popote pale watakapojisikia na 'ataajiri' Watu 'Maalum' wa kwenda 'Kuyazoa' yote yote.

Kwa mbali mno GENTAMYCINE naanza Kuona kuna Watu 'Pumzi' zao za Kuelezea 'Sera' zao zimeshakata na sasa 'Wamepaniki' na 'Watadata' upesi.
 
Huyu bwana alikuwa anasoma kwa kuimba kama kasuku ndio maana bichwa lake lina uvimbe

Na huku mtaani kuna daktari wake katuvushia za chini chini kuwa alipatwa na ile kitu wanaita Permanent Head Damage(phD)ndio maana mnamuona anabehave vyenye anabehave
 
Leo huyo mgombea mmoja amepita Tura anasema amejenga barabara hapo Tula ili mabinti zao wazuri waweze kuonwa na madereva wanaotumia hiyo barabara ikiwezekana waolewe.

Kazi ipo mwaka huu 'hakyanani' Mkuu. Halafu huyo Mtu inaonyesha anapenda sana 'Kungonoka' kwani amaekuwa na Kauli kama hizi nyingi nyingi.
 
Hana mbinu mmbadala za kupambana na Mpinzani wake /hana ushawishi wakati wote ni kufoka tu hata pasipotakiwa hayo /hakujipanga na alipitiwa kwa Mafuta aliyokuwa akipakwa na wasaidizi wake.Alifikiri Madaraja/Mandege/flyover/Madaraja yooote haya yatambeba na kwenda mwendo wa Drone matokeo yake Mpinzani wake kapindua Meza kibabe na ana mkong'ota kwa Hoja kwel kwel..
 
kuna uwezekano alipokuwa Shuleni na Chuoni ( Chuo Kikuu ) pia alikuwa ni Mpiga 'Chabo' wa 'Kutukuka' kabisa
Umenikumbusha kuna chali shule alikopi mpaka jina la alie mpiga chabo.🤣🤣. Lakini mwaka 2015 huyu muheshimiwa alikopi mpaka M4C kama ilikuwa yake vile.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom