kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Amani Abeid Karume huwa hatumiki kwenye kampeni za CCM Zanzibar?

    Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?
  2. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naomba kujua ratiba ya kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kesho tarehe 4/10/2020

    Tunajua ratiba ya kampeni zake ina-resume kesho tarehe 4/10/2020.... Aidha kuna hizi "tetesi" kuwa, kampeni zake ziko suspended kwa siku 7 hadi tarehe 9/10/2020 kama adhabu ya "kikiuka sheria za mchezo".... Upande wa pili, amekataa kuutambua uamuzi huo kwa sababu ni " batili kisheria" na kwa...
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

    Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji. Wengine wanapiga dua, Polepole yuko busy na simu
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni: Kama una hofu ya Mungu na kama umechoshwa na dhuluma tarehe 28 Oktoba chagua wagombea wa CHADEMA na washirika wao

    Ikiwa kama umechoshwa na unyama unaotendwa dhidi ya binadamu nchini Tanzania ( RIP Lwajabe , pole Lissu ) , na ikiwa kama unakerwa na dhuluma dhidi ya wakulima , ikiwa unakerwa na rushwa na ikiwa kweli wewe ni mcha Mungu basi wakati wako wa kutenda kwa kadri ya maandiko Matakatifu umefika ...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Live - Mkutano wa Kampeni za Urais wa Dk. Magufuli akiwa Unguja leo

    TV zote zinaonyesha pia angalia hapa
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 MAHOJIANO: Tundu Lissu na VOA ya kusimamishwa kampeni na NEC, anakubaliana na Magufuli kuhusu COVID19

    Mambo aliyoyaongea Amesema anaendelea vizuri na kampeni zake, wanasema anakosea kwa kuwa anaongea ukweli lakini kwa sababu anayoyaongea ni ya ukweli anashindwa kuitwa kwenye maeneo ya kumuuliza kuhusu anayoyaongea Aidha mtangazaji aliuliza kuhusu uchaguzi kuwa huru na haki kutokana na mfumo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimefurahi sana Mke wa Lissu yuko vizuri mno kunadi CHADEMA kuliko mumewe Lisu, Chadema mpeni aongoze kampeni

    Nimemsikiliza mke wa Lisu kila anapopewa nafasi kwenye mikutano ya kampeni yuko vizuri mno kwenye kunadi Sera. Kwanza katulia hasa HIGHLY COMPOSED. Hana jazba na ana pointi Huyu ndie CHADEMA wangemchagua ugombea uraisi. Ni vizuri wampe kazi ya kuongoza kampeni kwenye kuhutubia yeye ndie awe...
  9. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namshauri Lissu asifanye kampeni, panakaribia kucha

    Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona. Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia. Kila mtu anaona injustice inayotokea. Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

    Salaam Wakuu, Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta. Nitawaletea kila kinachojiri Kutokea hapa Tegeta. Agenda kubwa ni kusimamishwa kufanya Kampeni ====== UPDATES: 16:54HRS...
  11. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi. ============ Leo tarehe 02 Oktoba 2020 kamati ya maadili ya Kitaifa imesikiliza malalamiko dhidi ya Mgombea wa kiti cha Rais...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli awasili Zanzibar kwa kampeni za kishindo, aahidi kuwanadi wagombea wote wa CCM

    Dkt. Magufuli amewasili Zanzibar na kuwashukuru wananchi kwa mapokezi mazuri aliyoyapata. Baada ya kuwasili Dkt. Magufuli aliwatembelea waathirika wa kukatwa mapanga huko Pemba wakati wanatoka msikitini. Dkt. Magufuli amesema atawafanyia kampeni wagombea wote wa CCM huko Zanzibar. Source...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Urais: Mgombea wa CCM Dkt. John Magufuli kwenda mapumziko ya siku nane kuanzia Jumapili tarehe 04 Oktoba 2020

    Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku inayofuata atakuwa na mkutano Kinondoni, Dar es Salaam viwanja vya Biafra.
  14. Bill

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini CHADEMA hawakemei na kulaani vurugu na mauaji kipindi hiki cha kampeni?

    Mauaji yametokea Njombe kijana Mlelwa kauawa Chadema hawajalaani au kutolea kauli kuwataka wanachama wao kuheshimu sheria za nchi na kanuni za uchaguzi ili kudumisha amani. Mauaji pia yametokea Tunduma kijana akipigwa tofali hakuna tamko la Chadema. Watu wamekatwa mapanga msikitini Zanzibar...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nasubiri ile Kamati imkaripie Mchungaji Katunzi kwa kumpigia kampeni Magufuli

    Nasikiliza mahubili ya Mchungaji Katunzi muda huu hapa Upendo Radio kipindi ambacho kilirekodiwa siku ya ibada juzi. Anasema Magufuli aritoa sadaka Corona ikatoweka kwahiyo atasimama na Magufuli hata kwenye uchaguzi guu maana hakuna MTU muzuri kama Magu. Hii ni sehemu tu ya alichokiongea ila...
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi huru na haki unaanzia kwenye kampeni, Polisi TZ pamoja na NEC, anzeni kumshughulikia mgombea urais kupitia CCM

    Uchaguzi huru na wa haki unaanzia kipindi cha kampeni, lakini tunaona uoendeleo wa wazi kwa CCM. Mgombea wake Magufuli kila anapopita anaomba kura kwa vitisho lakini hakuna anayehoji iwe ni NEC ama Polisi. CCM imeshirikiana na vyama vingine lakini hakuna aliyewakemea ila ikitokea upinzani...
  17. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kufanya kampeni mpaka usiku, hii sio hatari kwake?

    Jana akiwa njiani kuelekea Moshi Lissu alifanya kampeni gizani huku wananchi wakiwasha simu na tochi zao kupata mwanga sasa je haya si kwamba anafanya makusudi ili akidhurika ailaumu serikali. Kwanini hataki kufuata sheria zilizowekwa kuwa muda wa kumaliza kampeni ni saa 12 jioni. Nawasilisha
  18. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, kufanya mkutano wa kampeni Tunduma leo huku kukiwa na mpasuko mkubwa kwa majimbo ya Momba na Tunduma

    Mgombea urais wa JMT ndugu John Magufuli muda mfupi ujao anatarajia kufanya mkutano wa kampeni hapa Tunduma. Pamoja na mambo mengine yanatatajiwa kutoka maneno makali yasiyo ya kawaida kabisa kutoka kwa mgombea huyo kufuatia mgogoro mkubwa uliopo baina ya wanaccm hapa Tunduma. Mgogoro huo...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haikuhitaji kuwa na bango hata moja la kampeni

    Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Gwajima zatingisha Jimbo la Kawe, aenda kupiga kampeni kwa watoto wa chekechea darasani

    Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali. Hebu tazama hiyo video akiwa na Luca Neghesti mgombea udiwani kata ya Msasani.
Back
Top Bottom