kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu siku kadhaa tangu alipogundulika kuwa na Covid 19

    Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mkutano wa kwanza jimboni Florida siku kadhaa tangu alipogundulika na maambukizi ya Virusi vya Corona. Rais Trump aliwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la wazi huko Sanford; Florida bila ya...
  2. Ngalikivembu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi ina 'double standards' kwenye kusimamia ratiba ya kampeni kwa wagombea

    Ratiba rasmi ya NEC toleo la 5 la Octoba 2 mwaka huu, inaonesha namna wagombea wa vyama vyote sehemu wanazotakiwa kuwepo kwenye mikutano rasmi ya kampeni. Lakini kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa ratiba hiyo kwa upande wa CCM na mgombea wake. NEC inaonesha kuigwaya CCM na mgombea wake. Mara...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kinyerezi, Segerea: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Magufuli leo anaendelea na kampeni zake katika jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na ilani za Chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, 28, 2020 ========= Hotuba ya Dkt Magufuli...
  4. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga

    Wakuu bado tunaendelea kuwaletea taarifa za Mh Tundu Lissu kutoka popote anapopita kuomba kura. Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika. ========= Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu, akiambatana na mkewe, Bi. Alicia Magabe, akimjulia hali Ndugu...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ki inzi: wanasiasa wanavyo watumia wasanii wakati wa kampeni

  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya leo na kibonzo cha mgombea aliyefungiwa kufanya kampeni kwa siku saba

  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tulikemee hili la Wanafunzi kuachishwa masomo kwa ajili ya kampeni za CCM

    Mdau najua wewe ni shahidi.Kila makao makuu ya mkoa anapopita Mgombea wa CCM na mgombea mwenza kumekuwa na tabia ya kuachisha masomo wanafunzi na kusombwa kuhudhulia mkutano. Hii sio haki kwani hii ni mikutano ya kichama na inavuruga mwenendo wa masomo yao. Mwalimu mmoja jana akanitaka kama...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

    Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja ikifungwa....tunafungua nyingine.- H Mdee. ----- Kamati ya Maadili NEC imemfungia kuendesha...
  9. Shark

    JamiiForums Tanzania CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

    Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara na zile ni nyasi halisi, kuota tena ni majaaliwa. Uwanja sasa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

    Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana. Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani. Kama...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CHADEMA Kikanda ni mbadala wa TV na redio, ujumbe unafika hadi vijijini kwa muda mmoja

    Tulishuhudia kampeni za uchaguzi wa 2015 Lowassa akizunguka na timu nzima ya viongozi wakuu wa CHADEMA na karibu wabunge wote kila alipokuwa anakwenda kufanya kampeni. Mwaka huu ni tofauti kidogo, tunaona kila Kanda ikijitegemea inatumia ratiba yake siyo kupangiwa na Makao Makuu, ndio maana ni...
  12. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mrema (TLP), Mbatia (NCCR), Kimei (CCM) na Kiwelu (CHADEMA) wafanya kampeni za ubunge Vunjo (K'Njaro) kuwa zenye ushindani mkali kuwahi kutokea

    Mwaka 2020 utakumbukwa kama mwaka ulioshuhudia kampeni zenye ushindani mkubwa na msisimko wa aina yake katika jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Jimbo la Vunjo limekuwa kama jimbo la North East London huko Uingereza ambalo kila mwaka wa uchaguzi linabadilisha chama. Kinyang'anyiro hiki ambacho...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini IGP Sirro na Jeshi la Polisi hawawashughulikii Wasimamizi wanaokiuka Sheria na kuvuruga Kampeni na Uchaguzi?

    ..IGP Sirro na jeshi la Polisi wamekuwa mstari wa mbele kukemea wanasiasa wanatoa kauli ambazo ameziita za kichochezi, na za shari. ..Kauli ambazo IGP amekuwa akizikemea mara nyingi huelekezwa kwa Nec na Wasimamizi wa uchaguzi. ..Je, tatizo ni wanasiasa wakorofi na washari, au tatizo ni...
  14. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Lugha rasmi kwenye kampeni ni Kiswahili

    Nimemsikiliza Katibu ya Tume ya Uchaguzi NEC Mr. Kawishe akihojiwa na Channel 10. Huyu jamaa anazijua Sheria za NEC na moja ya sheria hizo ni kutumia lugha ya Kiswahili kama official language kwene Kampeni na mtu akitumia lugha zingine kama KABILA FULANI anakuwa amekiuka Maadili na anatakiwa...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi: Ratiba ijayo ya Mikutano ya Kampeni za Tundu Lissu iangazie Wilaya za Rungwe na Kyela

    Nafahamu wazi kwamba muda hautoshi kwa Mh Tundu Lissu kuweza kupita kila mahali kuomba kura , lakini kuna maeneo ambayo umuhimu wa Tundu Lissu kupita ni mkubwa sana , hii ni kutokana na mvuto wake wa kisiasa na hamasa waliyonayo wananchi wa kule . Kyela ndio njia panda ya Malawi , nchi ambayo...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye

    Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye. Leo tarehe 08/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amefanya mkutano wa hadhara kwa kuwakutanisha...
  17. The Boss

    JamiiForums Tanzania Hawa wasanii wana enjoy kweli kuwepo kwenye kampeni?

    Saa Saba mchana eneo kama uwanja wa Taifa ..mnakusanywa kama wanafunzi mshiriki kampeni ya chama .. Hivi kweli hawa wasanii wetu wakubwa Wana enjoy?Wanafurahia?..wangeweza kukataa bila kutishiwa kushughulikiwa Wangeshiriki??.. Sioni how msanii mkubwa ulazimike Ku perform kwenye jua Kali saa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

    Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa. HOTUBA YA DKT. MAGUFULI ....Gonjwa hili la Corona na kilio cha Wanakenya wakiongozwa na Rais Uhuru...
  19. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani ana jukumu la kulinda bendera na picha za Wagombea zisiharibiwe kipindi cha kampeni?

    Kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi- ni nani mwenye dhamana ya kulinda picha za wagombea na bendera za vyama vya siasa zisiharibiwe? Je, ipo sheria inayotamka kua kuharibu picha au bendera ni kosa? Au kila mwananchi ana Uhuru wakuondoa picha ya Mgombea na bendera asiyoitaka?
  20. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani anafahamu wasifu wa Amani Golugwa meneja kampeni wa Tundu A. Lissu?

    Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa. Kwenye uchaguzi wa Malawi alishiriki kama mwangalizi chini ya European Union. Yupo very trained kwenye issue hizo za kisasa. Ni...
Back
Top Bottom