Uchaguzi 2020 Namshauri Lissu asifanye kampeni, panakaribia kucha

Mimi nashauri Mamlaka zinazohusika na mchakato wa Uchaguzi Mkuu, 2020 zitumie busara katika utekelezaji wa MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI YA MWAKA 2020(Chini ya Kifungu cha 124.A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343)

Busara itaepusha mengi maovu ya wenye nia mbaya na Tanzania. Tanzania siyo kisiwa wala haina watu wenye umalaika. Yaliyotokea nchi zingine, wakati wa uchaguzi, yaweza kutokea pia hapa yakaathiri hata hatua kidogo ya maendeleo.

Rai nyingine ni kwa wagombea, ngazi zote, muda uliobaki wajikite katika kuwaeleza wapiga kura Tanzania ya kesho chini ya utawala wao. Waliyokwisha kusema kuhusu wagombea washindani yanatosha. Siyo tu watajijengea imani kwa wapiga kura, lakini wataepusha kubadilishana maneno yanayoweza kuchochea chuki baina ya wafuasi wao.

ENOUGH IS ENOUGH OF DEFAMATION
 
Ukimuona kifaranga kajaa chungu ujuwe kunamamayake lisu limama lake nilikubwa kama tembo sisi tutulie ukombozi umekaribia labda
Mabeberu! we unafikir watakuepo muda huoo???Ni Mimi,Dada ako,mama ako,wewe na wengine.

Hizi keyboard mnazokalia nyuma yake mnafikir muda huo mtaupata?Nataman hao matembo mnayoyanadi na kuyasema basi yaingize hicho wanachotaka ili tupate joto la machafuko mjue kutofautisha nyeupe na nyeusi.
 
Angalau wewe unanaoneka una mapenzi ya kweli, wengine wanamtumtumia Tundu kama msukulule tu, lkn mwisho wa siku hawajali chochote kuhusu Tundu, ...
 
Angalau wewe unanaoneka una mapenzi ya kweli, wengine wanamtumtumia tundu kama msukulule tu, lkn mwisho wa siku hawajali chochote kuhusu tundu, ...
Wewe nani atakusikiliza? Si ulisema Lissu hatorudi na kama akirudi ataufyata na hatoweza kuongea wala kufanya chochote????

Tuna rekodi zako humu Kwa iyo huna credibility yeyote ya kumuongelea Lissu
 
Mimi nashauri Mamlaka zinazohusika na mchakato wa Uchaguzi Mkuu, 2020 zitumie busara katika utekelezaji wa MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI YA MWAKA 2020(Chini ya Kifungu cha 124.A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343)...
Busara gani itumike kama mtu ana kesi mahakamani na ameruhusiwa kugombea tena urais?

Busara gani kama baadhi ya wagombea wanakashfu wenzao lakini wameachwa huru na kuendelea na kampeni?

Busara gani kama baadhi ya wagombea wanaua lakini upande wa pili wamekaa kimya?

Tuache ujinga wa kutaka kuheshimiwa halafu kuheahimu wengine hutaki.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu siku 7 nje ya kampeni ni siku nyingi sana hasa ukitilia maanani kwamba Nchi yetu ni kubwa na hizi ni dakika za lala salama. Achanje mbuga tu.

Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.

Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.

Kila mtu anaona injustice inayotokea.

Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
 
Busara gani itumike kama mtu ana kesi mahakamani na ameruhusiwa kugombea tena urais?

Busara gani kama baadhi ya wagombea wanakashfu wenzao lakini wameachwa huru na kuendelea na kampeni?

Busara gani kama baadhi ya wagombea wanaua lakini upande wa pili wamekaa kimya?

Tuache ujinga wa kutaka kuheshimiwa halafu kuheahimu wengine hutaki.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nasema kama Lissu ameamua liwalo na liwe tuko nyuma yake
 
Back
Top Bottom