kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nasubiri ile Kamati imkaripie Mchungaji Katunzi kwa kumpigia kampeni Magufuli

    Nasikiliza mahubili ya Mchungaji Katunzi muda huu hapa Upendo Radio kipindi ambacho kilirekodiwa siku ya ibada juzi. Anasema Magufuli aritoa sadaka Corona ikatoweka kwahiyo atasimama na Magufuli hata kwenye uchaguzi guu maana hakuna MTU muzuri kama Magu. Hii ni sehemu tu ya alichokiongea ila...
  2. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi huru na haki unaanzia kwenye kampeni, Polisi TZ pamoja na NEC, anzeni kumshughulikia mgombea urais kupitia CCM

    Uchaguzi huru na wa haki unaanzia kipindi cha kampeni, lakini tunaona uoendeleo wa wazi kwa CCM. Mgombea wake Magufuli kila anapopita anaomba kura kwa vitisho lakini hakuna anayehoji iwe ni NEC ama Polisi. CCM imeshirikiana na vyama vingine lakini hakuna aliyewakemea ila ikitokea upinzani...
  3. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kufanya kampeni mpaka usiku, hii sio hatari kwake?

    Jana akiwa njiani kuelekea Moshi Lissu alifanya kampeni gizani huku wananchi wakiwasha simu na tochi zao kupata mwanga sasa je haya si kwamba anafanya makusudi ili akidhurika ailaumu serikali. Kwanini hataki kufuata sheria zilizowekwa kuwa muda wa kumaliza kampeni ni saa 12 jioni. Nawasilisha
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, kufanya mkutano wa kampeni Tunduma leo huku kukiwa na mpasuko mkubwa kwa majimbo ya Momba na Tunduma

    Mgombea urais wa JMT ndugu John Magufuli muda mfupi ujao anatarajia kufanya mkutano wa kampeni hapa Tunduma. Pamoja na mambo mengine yanatatajiwa kutoka maneno makali yasiyo ya kawaida kabisa kutoka kwa mgombea huyo kufuatia mgogoro mkubwa uliopo baina ya wanaccm hapa Tunduma. Mgogoro huo...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haikuhitaji kuwa na bango hata moja la kampeni

    Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Gwajima zatingisha Jimbo la Kawe, aenda kupiga kampeni kwa watoto wa chekechea darasani

    Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali. Hebu tazama hiyo video akiwa na Luca Neghesti mgombea udiwani kata ya Msasani.
  7. Ngongo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Heshima sana wanajamvi. Tukubali tukatae CCM ni chama kikubwa, kikongwe, kina uzoefu katika medani ya siasa za Tanzania na wakati wa Mwl Nyerere kilikuwa na mitazamo iliyovuka mipaka ya Tanzania (Ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika) na pia masuala ya utangamano wa kikanda na hatimaye Afrika...
  8. Louis II

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: CHADEMA msitumie/mpunguze matumizi ya usafiri wa helicopter kwenye kampeni za Urais

    Salam Wakuu! Ninafahamu mna Jukumu kubwa sana mbele yenu kama chama kinachotafuta nafasi ya kuingia ikulu kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru. Mnaenda kupambana na Raisi Magufuli ambaye kwa hakika ana wafuasi wengi sana na kwa hakika wanakubali utendaji kazi wake. Hivyo, kama heading...
  9. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huu wimbo wa CCM wataisoma namba upigwe marufuku kwenye kampeni hizi

    Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano. Wepi mnataka waendelee kuisoma namba? Je, ni wananchi waliopigwa na maisha kutokana ugumu wa upatikanaji wa pesa kwenye utawala huu? Je, ni vijana waliokosa ajira...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutumia zulia jekundu kwenye kampeni ni kuwa ‘out of touch’

    Bandugu, Zulia jekundu ni zulia ambalo limezoeleka kutumika katika shughuli maalumu. Kwa shughuli za serikali, hili hutumika kwenye hafla za kitaifa na kunapokuwa na ugeni kutoka nje. Katika Uchaguzi Mkuu huu, kuna mgombea mmoja wa Urais ambaye katika majukwaa yake kunatandazwa zulia jekundu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

    Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui. Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani. ========= MAGUFULI: Mwaka 2015 tulipita hapa kuwaomba kura wana-Mbeya, mlitusikiliza...
  12. kurlzawa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu MC kwenye mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu ni nani?

    Habari za jioni wakuu Naomba kuuliza wajuzi huyo aliyesimama na Binamu anaitwa nani ? Na ana cheo gani uko CHADEMA? Anaonekana he is very smart Naomba kuwasilisha
  13. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri wangu kwa Magufuli na CCM: IKiwa Magufuli ataacha kupiga kampeni atapata kura nyingi kuliko anavyoendelea kupiga kampeni

    Huu ni ushauri wangu wa dhati na wa kweli kwa Rais Magufuli na CCM wote. Magufuli aache kupiga kampeni. Nasema hivyo kwa sababu naamini kuwa kadiri anavyozidi kupiga kampeni wapo wapiga kura lukuki anawapoteza kirahisi kabisa. Nasema ukweli na ndivyo ulivyo. Aidha kama atalazimika kuendelea...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kampeni ya Dkt. Magufuli kuwania Urais 2020-2025 mikoani Iringa na Njombe (Sept 29, 2020)

    Leo mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi yuko mkoani Njombe na kwa sasa anaongelea afya na Bima ya Afya. Ameeleza kuwa walianza na vituo vya afya na kinachofata ni bima ya afya, pia ameelezea walishaanza na wamejitahidi kutoa huduma za bure kwa wazee, watoto wenye umri chini ya miaka...
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku zilizobaki kampeni ielekezwe kujibu hoja za Lissu na nini kitafanyika kuboresha maisha

    Nimesikilza hoja nyingi za Mgombea wa Chadema kwenye kampeni zinashawishi kuwa Serikali iliyoko madarakani imeshindwa kujibu changamoto za watanzania kwa kuwapatia uhuru, haki na maendeleo yao kama binadamu. Hoja hizo zimejikita kwenye mambo yafuatayo: 1. kutokuwepo na uhuru wa kujieleza,uhuru...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akanusha taarifa ya kuahirishwa kwa kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, kupitia mtandao wa twitter,ametaka watu kupuuza tangazo linalodaiwa kutolewa na chama chake, tangazo linaodai kuwa kampeni za Mgombe Urais wa CHADEMA zimeahirishwa. Mnyika amesema tangazo hilo ni fake na kutaka lipuuzwe.
  17. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

    NEC: TIMU ZA KAMPENI Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3). Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli sera ni mali ya chama lakini si msaafu katika kampeni zako ongezea na yanayopendwa na Wananchi

    Kwanza nakupa pongezi kwa kazi kubwa uliyoifanya kwa miaka mitano ya kutujengea miundombinu ambayo itakapokamilika itakuwa nyenzo nzuri ya maisha kwa wananchi wa kawaida ambayo kwa sasa wengi wao wanajifanya hawaioni, mladi kama bwawa la mwalimu nyerere utakaopunguza gharama za...
  19. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Eblate Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAWIRI

  20. share

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwelekeo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu umedhihirisha umaskini mkubwa uliozalishwa nchini ndani ya miaka 5 ya utawala huu

    Mwezi mmoja umekatika tangu kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Hali halisi inaonesha dhahiri Taifa lilivyobugikwa na umaskini uliozalishwa ndani ya miaka 5 ya utawala huu wa awamu ya tano. Taifa limeshuhudia wagombea urais kushindwa kufanya kampeni kwa kukosa fedha, kushindwa kuandaa mabango kwa...
Back
Top Bottom