Uchaguzi 2020 Nani anafahamu wasifu wa Amani Golugwa meneja kampeni wa Tundu A. Lissu?

Elisha Sarikiel

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
889
1,515
Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa.

Kwenye uchaguzi wa Malawi alishiriki kama mwangalizi chini ya European Union. Yupo very trained kwenye issue hizo za kisasa.

Ni Mzanzibar hapo awali aliwahi kuwa katibu Mkuu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini.

Nani anayemjua zaidi sifa zake kwa maana ya taaluma au mafunzo yoyote aliyonayo. Namuona Kama ana kitu cha ziada ndio maana naomba kujifunza.

Ole Mushi
0712702602


FB_IMG_1602177449722.jpg
FB_IMG_1602177542225.jpg
FB_IMG_1602177442589.jpg
FB_IMG_1602177725530.jpg
 
Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa....
Sikuwa namfahamu huyu mtu. Ila kwa nilivyoziona kampeni za Lissu ni dhahiri huyu jamaa ndo mrithi wa Kanali Abdulahaman Kinana kama Meneja Kampeni Bora zaidi kwa Siasa za Tanzania.
 
Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa...
0712702602
Nimfahamuvyo kwa taaluma alisomea shahada ya kwanza ya uhasibu, alifanya kazi muda mrefu kwenye NGOs kabla ya kuingia mazima kwenye siasa akiwa kiongozi mwandamizi wa mkoa wa Arusha na baadaye Kanda ya Kaskazini. Ni Mchungaji wa Anglicana na namfahamu kama mwenyeji wa Singida
 
Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa...
0712702602
Huyu ni Chali wa ARusha,Mtoto wa Peter Golugwa (Nafikiri ) Amekulia Arusha Maeneo ya OLmatejoo,Amefanya kazi katika kampuni mbalimbali.Baba yake ni Mchungaji katika Kanisa la PEFA (Sina hakika). Binafsi nafikiri ana utulivu wa kiakili wa kuweza kusimamia kampeni ya Tundu Lissu.Mungu ampe Nguvu.
 
Back
Top Bottom