Niliandika makala kadhaa hapa nikaonekana chizi, mara CCM, kumbe sina hata chama.
Mm niliacha siasa baada ya Lowassa kukubali matokeo, bila action wala tamko wakati 2015 Watanzania walikua tayari kwa lolote.
Miaka 5 imepita JPM kajitahidi kurudisha mioyo ya watu na kufanya mengi watu...