kali

  1. M

    Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

    Popoma enzi hizo ndo amegraduate SAUT mwanza mass communication. Akawa anaandika threads na michango humu kwa kuweka rangi tofauti blue, nyekundu, njano, pink kwenye maandishi. Huyu GENTAMYCINE popoma mtutsi uchwara kama sikosei kwaanzia mwishoni 2013 akaanza bifu kali na mwanadada...
  2. DC Kilosa aagiza polisi kuwachukulia hatua kali madereva wa IT wanaobeba abiria

    Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Alhaji Majid Mwanga ameliagiza jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani humo kuweka utaratibu wa kuyakagua magari yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi maarifu kama IT na kuwachukulia hatua madereva wanaobeba abiria katika magari hayo. Mwanga ambaye ni...
  3. Anayeweza kuandika bussiness Loan Proposal kali anione

    Kichwa cha habari chajieleza inahitajika anayeweza andaa loan proposal kali amcheki muhusika whatsapp 0658285874 na ofa yake.
  4. Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

    Leo niko hovyo sana akili haijatulia kabisa, nimekutana na pisa moja chuo fulani, sura, ipo, shepu ipo, kagawika vizuri, trackoo very standard hana mtrakoo ila trackoo ipo. Katikati ya tracko mstari uko mzuri umegawika, nundu ipo, imevaa blauzi kijani na suruali nyeusi ya kitambaa mrefu 1.68...
  5. Kama mpenzi wako hatongozwi nje, huyo siyo pisi kali na siyo mtanashati

    Siku zote, kitu kizuri huvutia nje; hata ardhi nzuri yenye rutuba huvutia wawekezaji. Sasa wewe upo kwenye mahusiano miaka na miaka, na hujawahi kusikia mwenzako anatongozwa huko nje. Hii inamaanisha, uliyenaye si pisi kali na pia sio mtanashati.
  6. Mbinu kali za kibaharia za kumuumiza adui au mbaya wako

    Usikubali kushindwa kirahisi, Maisha ni vita nianze namna hii. Katika harakati zangu za kupigana vita mbalimbali hasa katika jamii nyingi za kuonewa na kudhulumiwa, ilinifanya nifikirie sana namna ya kulipa visasi kwa namna mbalimbali mfano nimeshaitumia mbinu hii mtambuka. 1. Kutoka kimapenzi...
  7. Pombe kali zinaongeza sana uzito, ajabu wengi wanafikiri kinyume chake

    Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini? Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga. Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
  8. Jinsi kiatu cha mtu kilivyo ndivyo jinsi alivyo usoni, yaani huakisi uzuri wa sura yake

    Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo. Both kwa ladies and gentlemen. Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho . Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya. Hata kama kiatu ni cha bei chee...
  9. Wadau Pemba washauri Sheria Kali kwa WABAKAJI. "Anayebaka Ahasiwe"

    PEMBA, ZANZIBAR JAMII imeshauriwa kuacha muhali na badala yake waripoti kwa wakati matukio ya udhalilishaji yanapotokea kwa lengo la kutoa fursa kwa vyombo vya sheria kutekeleza wajibu wake na kuchukua hatua za haraka dhidi ya watuhumiwa wa vitendo hivyo. Hayo yametolewa na wadau wa kupinga...
  10. INAUZWA Pata suti kali kwa bei ofa

    Suti_mikoani ni wauzaji wa suti za kiume Kwa ajili ya sherehe za harusi, ofisini, vikao na matukio maalumu. Tunatuma mikoani kwa uhakika na haraka zaidi na wateja wetu wa Dar es Salaam tunafanya free delivery. Wateja wetu karibuni dukani kwetu. Tucheki kupitia namba hii; call/WhatsApp...
  11. Jinsi maombi yanavyoshusha Imani yako kwa Mungu

    Tumezoea kudhani kuwa maombi yanakuza Imani. Ni kweli tumesisitizwa kuomba, lakini asilimia karibu 99 ya Sala zako hazipaswi kuwa Maombi Bali Shukrani. Kuombaomba na mbaya Zaidi kuombewa kunapumbaza na kushusha Imani. NINI KITAONGEZA IMANI YAKO? SHUKRANI. Unatakiwa kushukuru Muda mwingi Kwa...
  12. Zingekuwa ni Enzi zangu au za akina Kizota, Magoso na Pawasa huyu Mayele angeogopa kabisa Kufunga kwa Rafu zetu Kali

    Natamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka. Kila Siku nikikutana na hii Mibeki yenu ya NBC Premier League huwa naiambia kuwa Mayele ana shida...
  13. 'Wasimamizi wa ndoa ni 'Pisi Kali' kuliko Mabibi Harusi'

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Amon Mpanju amesema siku hizi wasimamizi wa ndoa wamekuwa ni fasheni na siyo wale wenye sifa ya kufanya kazi hiyo katika ndoa. Sambamba na hilo amesema wakati mwingine wanakuwa ‘pisi kali’ kuliko bibi...
  14. Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

    Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini. 1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia...
  15. Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

    Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha. Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo...
  16. Serikali iitupie jicho kali MVIWATA na viongozi wake, tayari wamejibainisha kuwa na ajenda ya chinichini ya kisiasa

    Bila shaka MVIWATA Wana ajenda ya kisiasa, na Wana Wana Siasa wao ambao wanaitumia taasisi hiyo kwa malengo ya kisiasa ya kuharibu amani na utangamano. Taasisi hii inawatumia wakulima kama chambo tu, na inajifanya kwamba ni taasisi ya wakulima, kumbe ukiiondolea blanket(lifting the veil)...
  17. Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

    Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi ametamaniwa sana, ametafutiwa sababu kwa kila namna na asipokua makini hii itamponza..... Kwa sasa hivi...
  18. Ukijiona tu una hasira kali na yanayoendelea Tanzania ni kwako sikiliza nyimbo hizi za lucky dube ufarijike

    1. Children in the Street 2. Don't Cry 3. Feel Alright 4. House of Exile 5. Love Me the way I am 6. Mama Africa 7. Peace Perfect Peace 8. Prison 9. Puppet Master 10. Reap what you Sow 11. Reggae everywhere 12. Soul Taker 13. The way it is 14. I have got you Baby Ukizisikiliza hizi Nyimbo zangu...
  19. Natafuta movie Kali za kijasusi

    Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe angalau zimechezwa kuanzia mwaka 2005-2022... Nikipata za kichina itapendeza zaidi mana wale jamaa...
  20. DC Gondwe atoa onyo kali kwa Madereva walevi, Wananchi Wazo waomba Barabara itanuliwe

    Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Godwin Gondwe ametoa onyo kali kwa madereva wanaondesha magari huku wakiwa wamelewa. DC Gondwe ameyasema hayo wakati alipokuwa akiongea na wananchi wanaoishi eneo la Wazo Hill na Madale alipotembelea eneo hilo kutokana na ajali mbaya iliyotokea jana asubuhi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…