kali

  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

    Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha. Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali iitupie jicho kali MVIWATA na viongozi wake, tayari wamejibainisha kuwa na ajenda ya chinichini ya kisiasa

    Bila shaka MVIWATA Wana ajenda ya kisiasa, na Wana Wana Siasa wao ambao wanaitumia taasisi hiyo kwa malengo ya kisiasa ya kuharibu amani na utangamano. Taasisi hii inawatumia wakulima kama chambo tu, na inajifanya kwamba ni taasisi ya wakulima, kumbe ukiiondolea blanket(lifting the veil)...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

    Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi ametamaniwa sana, ametafutiwa sababu kwa kila namna na asipokua makini hii itamponza..... Kwa sasa hivi...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukijiona tu una hasira kali na yanayoendelea Tanzania ni kwako sikiliza nyimbo hizi za lucky dube ufarijike

    1. Children in the Street 2. Don't Cry 3. Feel Alright 4. House of Exile 5. Love Me the way I am 6. Mama Africa 7. Peace Perfect Peace 8. Prison 9. Puppet Master 10. Reap what you Sow 11. Reggae everywhere 12. Soul Taker 13. The way it is 14. I have got you Baby Ukizisikiliza hizi Nyimbo zangu...
  5. master of cities

    JamiiForums Tanzania Natafuta movie Kali za kijasusi

    Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe angalau zimechezwa kuanzia mwaka 2005-2022... Nikipata za kichina itapendeza zaidi mana wale jamaa...
  6. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe atoa onyo kali kwa Madereva walevi, Wananchi Wazo waomba Barabara itanuliwe

    Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Godwin Gondwe ametoa onyo kali kwa madereva wanaondesha magari huku wakiwa wamelewa. DC Gondwe ameyasema hayo wakati alipokuwa akiongea na wananchi wanaoishi eneo la Wazo Hill na Madale alipotembelea eneo hilo kutokana na ajali mbaya iliyotokea jana asubuhi na...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama bado hujasikiliza hili Rhumba Kali 'Se Yo' la Fally Ipupa Wewe siyo Rafiki yangu hapa Jamiiforums

    Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo. Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hili alilofanya Maulid Kitenge naiomba TFF ichukue hatua kali haraka kwa Maulid Kitenge na EFM

    Nauomba Uongozi wa Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) haraka sana umchukulie hatua kali za kinidhamu mtangazaji wa hovyo wa michezo nchini Maulid Kitenge kwa kitendo chake cha kumpa 'Airtime' Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara tena akimtaja kabisa kuwa Msemaji wa Yanga SC aliye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

    Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
  10. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
  11. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hii Champion ni ngoma kali sana, huyu dogo Kontawa anajua

    Hii ngoma ni kali kila sekta wakuu. Huyu dogo ni next big thing.
  12. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Natafuta Tv, budget yangu 1.5m, au 2m kwa Tv kali sana

    Iwe na hivi vitu -4K -120Hz(fps) -55'/65' -HDMI 2.1 Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kitenge na Shaffii huangalia mambo kwa jicho la Njaa Kali

    Original post and source Shaffii source yake ikiwa hiyo ya juu. My Take Naelewa tatizo sio lugha ila ni kufikiria mambo katika mlengo wa njaa. Yaani inaanza njaa baadae ndio unafikiria. Dauda na Kitenge nyie ni wazee sasa. Lindeni heshima kidogo mliyokuwa nao. Hizi nafasi kubwa wanazipata...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naombeni aina ya adhabu kali za kumpa Mtoto Mtukutu baada ya viboko kumfanya awe sugu kabisa

    Nazisubiri kutoka Kwenu Usiku huu ili ikiwezekana kwa Hasira za Liverpool FC yangu kutopata Matokeo kwa Westham United hadi sasa niamke nazo na nimnyooshe vizuri ili akae sawa.
  15. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Humu ni kali sana

    Watu wanaombwa kazi hawatoi ila wakiona mtu analalamika mapenzi anajibu fasta na kuanza kumsakama!
  16. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Wanawake pisi kali wana tofauti gani na hawa wengine kwenye mapenzi?

    Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

    Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022. Kuhusu kutishiwa Bastola Anaamini kuwa lilitokea kwa kusudi maalumu, na lilileta mafunzo makubwa kwake, waliopanga...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa dua kali na ya aina yake iliyofanywa Al Hilal asubuhi hii, wakifungwa nawapa hawara yangu mhangaike naye

    Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal. Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
  19. brave one

    JamiiForums Tanzania Mwijaku atoa onyo kwa atakayepita na mke wake

    Kupitia Instagram Mwijaku atoa pole kwa Masanja na kutoa onyo vijana atakayepita na mke wake.
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali yashauriwa kuchukua hatua kali kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi

    Mtandao wa Wadau wanaopambana na unywaji wa pombe kupita kiasi nchini Tanzania {TAAnet} umeishauri serikali kuchukuwa hatua kali ili kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi kwa kuridhia uwepo wa sera ya afya yenye kuweka katazo la matumizi mabaya ya pombe ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa muongozo...
Back
Top Bottom