kali

  1. Jay One

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunakuomba utupie jicho kali Utumishi

    Rais wetu, Mama Samia, kwanza tukupe hongera sana kwa kazi kubwa na inayoonekana kwa Taifa letu, hakika kazi unaimudu na unaiweza kisawa sawa. Rais tunakuomba pamoja na juhudi zako kubwa za kujenga nchi na kuwa hudumia wananchi wote ikiwemo wafanya kazi wa umma, nikupe siri, tupia jicho kali...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuna foleni kali sana Ubungo flyover mida huu, saa nzima gari hazitembei

    Mimi nipo nyuma sana kwenye foleni, mliopo mbele huko kuna nini jamani?
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa nyimbo tatu kali za Bongo Fleva tulizofunga nazo mwaka

    1 : kontawa - champion 2: Dulla makabila - Pita huku 3: Mbosso - Shetani
  4. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TCRA yatoa onyo kali kwa makampuni na watu binafsi wanaosambaza visimbuzi vya CANAL PLUS

    TCRA imetoa onyo kali kwa Makampuni na Watu binafsi wanaoingiza nchini vifaa vya mawasiliano vikiwemo visimbuzi vya CANAL PLUS na kufanya biashara ya kutoa huduma za Televisheni kupitia satelaiti bila kuwa na leseni, imesema visimbuzi hivyo havijaidhinishwa.
  5. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baby soma huu Uzi

    Ili penzi la ukweli baby nipe tu Na ukinikuta nimelala unakuja juu Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu Kazi njema baby 💕💕💕🥰
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Uzi wa book covers kali

    Book covers huwa zina mvuto wa pekee sana. Tupia book cover uliyokuvutia.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

    Popoma enzi hizo ndo amegraduate SAUT mwanza mass communication. Akawa anaandika threads na michango humu kwa kuweka rangi tofauti blue, nyekundu, njano, pink kwenye maandishi. Huyu GENTAMYCINE popoma mtutsi uchwara kama sikosei kwaanzia mwishoni 2013 akaanza bifu kali na mwanadada...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DC Kilosa aagiza polisi kuwachukulia hatua kali madereva wa IT wanaobeba abiria

    Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Alhaji Majid Mwanga ameliagiza jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani humo kuweka utaratibu wa kuyakagua magari yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi maarifu kama IT na kuwachukulia hatua madereva wanaobeba abiria katika magari hayo. Mwanga ambaye ni...
  9. Chura

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kuandika bussiness Loan Proposal kali anione

    Kichwa cha habari chajieleza inahitajika anayeweza andaa loan proposal kali amcheki muhusika whatsapp 0658285874 na ofa yake.
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute pesa pisi kali zimejaa, tuache lawama

    Leo niko hovyo sana akili haijatulia kabisa, nimekutana na pisa moja chuo fulani, sura, ipo, shepu ipo, kagawika vizuri, trackoo very standard hana mtrakoo ila trackoo ipo. Katikati ya tracko mstari uko mzuri umegawika, nundu ipo, imevaa blauzi kijani na suruali nyeusi ya kitambaa mrefu 1.68...
  11. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mpenzi wako hatongozwi nje, huyo siyo pisi kali na siyo mtanashati

    Siku zote, kitu kizuri huvutia nje; hata ardhi nzuri yenye rutuba huvutia wawekezaji. Sasa wewe upo kwenye mahusiano miaka na miaka, na hujawahi kusikia mwenzako anatongozwa huko nje. Hii inamaanisha, uliyenaye si pisi kali na pia sio mtanashati.
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mbinu kali za kibaharia za kumuumiza adui au mbaya wako

    Usikubali kushindwa kirahisi, Maisha ni vita nianze namna hii. Katika harakati zangu za kupigana vita mbalimbali hasa katika jamii nyingi za kuonewa na kudhulumiwa, ilinifanya nifikirie sana namna ya kulipa visasi kwa namna mbalimbali mfano nimeshaitumia mbinu hii mtambuka. 1. Kutoka kimapenzi...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Pombe kali zinaongeza sana uzito, ajabu wengi wanafikiri kinyume chake

    Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini? Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga. Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Jinsi kiatu cha mtu kilivyo ndivyo jinsi alivyo usoni, yaani huakisi uzuri wa sura yake

    Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo. Both kwa ladies and gentlemen. Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho . Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya. Hata kama kiatu ni cha bei chee...
  15. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wadau Pemba washauri Sheria Kali kwa WABAKAJI. "Anayebaka Ahasiwe"

    PEMBA, ZANZIBAR JAMII imeshauriwa kuacha muhali na badala yake waripoti kwa wakati matukio ya udhalilishaji yanapotokea kwa lengo la kutoa fursa kwa vyombo vya sheria kutekeleza wajibu wake na kuchukua hatua za haraka dhidi ya watuhumiwa wa vitendo hivyo. Hayo yametolewa na wadau wa kupinga...
  16. Sutimikoani

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata suti kali kwa bei ofa

    Suti_mikoani ni wauzaji wa suti za kiume Kwa ajili ya sherehe za harusi, ofisini, vikao na matukio maalumu. Tunatuma mikoani kwa uhakika na haraka zaidi na wateja wetu wa Dar es Salaam tunafanya free delivery. Wateja wetu karibuni dukani kwetu. Tucheki kupitia namba hii; call/WhatsApp...
  17. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Jinsi maombi yanavyoshusha Imani yako kwa Mungu

    Tumezoea kudhani kuwa maombi yanakuza Imani. Ni kweli tumesisitizwa kuomba, lakini asilimia karibu 99 ya Sala zako hazipaswi kuwa Maombi Bali Shukrani. Kuombaomba na mbaya Zaidi kuombewa kunapumbaza na kushusha Imani. NINI KITAONGEZA IMANI YAKO? SHUKRANI. Unatakiwa kushukuru Muda mwingi Kwa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Zingekuwa ni Enzi zangu au za akina Kizota, Magoso na Pawasa huyu Mayele angeogopa kabisa Kufunga kwa Rafu zetu Kali

    Natamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka. Kila Siku nikikutana na hii Mibeki yenu ya NBC Premier League huwa naiambia kuwa Mayele ana shida...
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 'Wasimamizi wa ndoa ni 'Pisi Kali' kuliko Mabibi Harusi'

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Amon Mpanju amesema siku hizi wasimamizi wa ndoa wamekuwa ni fasheni na siyo wale wenye sifa ya kufanya kazi hiyo katika ndoa. Sambamba na hilo amesema wakati mwingine wanakuwa ‘pisi kali’ kuliko bibi...
  20. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini

    Mambo usiyoyajua kuhusu Korea Kaskazini. 1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia...
Back
Top Bottom