Hii ni Kali au fashion eh 😡😡😡

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,892
Mwaka Jana wandoa wanaume wanadai wamama wabaya Wakaenda Kwa michepuko,

Mwaka huu wamama na shida zao na comments zao na michepuko .

At least mna watoto bwana hebu shukeni mtuambie shida nini ?mbona mama zenu , baba zenu walikuwa wanavumiliana aisee acheni hizo .

Vumilieni aisee maana mlikubaliana kanisani . Kila kukicha mnatuita Malaya tukiwa karibu na wanaume zenu , nyie ndio mnawaponza wanaume single kuoa mnawashauri wakatae ndoa Kisa mmeshindwa kutulia kwenye ndoa mlizoziamulia hamtaki kutengenezaga makwenu mnataka tu kusumbua wachumba za watu jinsi mnavyodai tunawasumbua wanaume zenu hata nyie mnasumbua wachumba zetu na mnawafanya tuwe kwenye wakati mgumu kama nyie mlivyo kwenye wakati mgumu humu duniani hakuna mwanaume single Kuna wadada wameweka nguvu ukawaona wakaka wazuri wanapendeza .

Unaelewa ??? Komeni mliwachagua mkawaona wanawafaa .

KWA WANAUME WENYE NDOA ZENU
Kuweni na aibu basi hao michepuko ni wachumba za watu eti mnaboa wanagharamiwa kaeni mbali nao, wanagharamiwa acheni ujinga . Mnavurugia wenzenu maisha ya watu wasiwe wanandoa .

Ulimchagua mke mwenyewe ulimchuja ukaona unaweza kuishi naye Sasa shida yanini kutwa kuhangaika na wanawake za watu eti mnawaambia nitakufungulia duka aliyekuambia nani anataka offer zenu nani kaeni na wake zenu tafadhali .. good night tumechoshwa kuhusishwa kwenye ujinga wenu basi
 
.
20230601_215742.jpg
 
Me tusiochepuka tuweke hapa kambi kumshukuru Mungu na kupongezana au tukaushe?
 
Tatizo wengi wa vijana wenzangu wakiume walioa kwa shinikizo la kutotaka kudharauliwa na wanajamii hata katika familia walizokuzwa pia..Jambo lingine ni tabia/ hulka ambazo ni sehemu ya chembechembe zinazoambatana na ukoo au kabila🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom