Kwa pisi hizi kali, naenda Rwanda kuishabikia Yanga

Kichuchunge

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
338
891
Nimejikuta tu nashawishika kwenda Rwanda kuishabikia Yanga itakapocheza na Al Merreikh katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kinachonivutia si mpira wa akina Maxi Nzengeli, hapana. Ni kwenda kuziona 'live' hizi pisi kali za PAUL KAGAME. Wangapi wanataka kuungana nami? Tujuane mapemaaa!

Rwa 7.jpg
Rwa 6.jpg
Rwa 4.jpg
RWA 3.jpg
Rwa 2.jpg
Rwa 1.jpg
 
Kuendekeza ngono Vijana wa bongo hamjambo. Kuweni makini Rwanda mtabaki rumande mkileta umalaya wa kishamba. Soko la wanawake Rwanda liko tofauti na bongo na sheria za hoteli zao ni tofauti pia tembea na pass book yako kila pahali ukienda. Police ya Rwanda sio ya Mulilo nawaonya tuu.
 
Kuendekeza ngono Vijana wa bongo hamjambo.Kuweni makini Rwanda mtabaki rumande mkileta umalaya wa kishamba.Soko la wanawake Rwanda liko tofauti na bongo na sheria za hoteli zao ni tofauti pia tembea na pass book yako kila pahari ukienda .Police ya Rwanda sio ya Mulilo nawaonya tuu.
Kwa hiyo nikipendwa tu na pisi kali nakamatwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom