kaburi

Kaburi is a Papuan language of the Bird's Head Peninsula of West Papua.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Yoweri Museven aenda kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

    Salaam Wakuu Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato. Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato, Pia atamtembelea Mjane wa Hayati Magufuli Hayati Magufuli alifariki siku ya Jumatano jioni...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwagomea TANU kususia uchaguzi ila Mbowe kawashawishi CHADEMA kususia!! Hili laweza kuwa kaburi la CHADEMA

    Kuna simulizi alikuwa anatoa mzee mmoja mstaafu, kwamba kwenye moja ya uchaguzi sikumbuki ni wa mwaka gani uliofanyika enzi za Serikali ya kikoloni, wajumbe wa halmashauri ya TANU walikuwa wamekubaliana kwamba wasusie uchaguzi kutokana na kutokubaliana na utaratibu mbovu wa kura tatu, ambao...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kule Tanzania wafukua Kaburi la Albino na Kutokomea na Mguu Mmoja wa Kulia

    Majirani mtaacha lini haya mambo, halafu dunia yote yapo kwenu tu, nyie pekee yenu ndio wenye sifa hizi za kusaka viungo vya albino. ========= Jeshi la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa madai ya kufukua mwili wa kijana mwenye ualibino, Heri Kijangwa (45)...
  4. MUSHEKY

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ilifanye kaburi la Hayati Dkt. Magufuli liwe kumbukumbu ya kitaifa

    Assallaam aleykum! Imepita siku moja toka siku ya kuzaliwa mwamba wa Africa mwendazake John Joseph Pombe Magufuli Pamoja na wasiompenda kuzungumza mengi sana juu yake, kwa upande wangu nimeona nimkumbuke kwa wema alioutendea umma wa watanzania hasa wasiokua na sauti. Katika kipindi chake nchi...
  5. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

    Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hizi bei mpya za vifurushi, hakika vinakwenda kuangusha Wasanii

    Ilikuwa ni kawaida msanii wa bongo kupata views milioni hata kwa wasanii wa level za kati tukiachana na zile lebo 3. Ilikuwa ni kawaida msanii akiweka video intagram basi hakosi kutazamwa walau na watu laki Ilikuwa kawaida msani kupata streams kibao huko boomplay, audio mack, n.k. Yote hii...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu yeyote leo kuweka Mashada kwenye kaburi la Magufuli?

    Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Lile kaburi limeshajengewa kwa heshima, halijazungukwa tena na mabati

  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe alijichimbia kaburi la kisiasa mwaka 2015

    Kitendo cha kufanya sarakasi za kisiasa na kumfanya Lowassa mgombea mwaka 2015 ni laana ambayo haitamuacha Mbowe. Watu tuliyoa uhai kwa ajili ya chama lakini tamaa ya pesa ikamfanya akaribishe uchafu Tuhuma lukuki za kifisadi kutafuna michango ya makamanda hii nayo ni laana. Hii laana...
  11. Uchumi wa Mifugo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimba za utotoni ni "kaburi" la ustawi wa Watoto wa Kike nchini

    Amina (siyo jina halisi)mwanafunzi wa kidato cha tatu katika mojawapo ya shule za sekondari wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kila siku anaamka saa 11 ili awahi kwenda shule,shule iliyopo umbali wa kilometa sita kutoka nyumbani kwao.Kila siku anaenda na kurudi kwa miguu, nyumbani hapati kifungua...
  12. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

    Friends and Enemies, Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti? Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hatua 8 za kuchimba kaburi kabla ya kuuhifadhi mwili

    Inajulikana toka enzi na enzi na tangu kuumbwa kwa mtu kwa kwanza kwamba, binadamu mwisho wake ni kifo na baada ya kifo ni kuuzika mwili wake katika Kaburi, wengi huamini hapo ndipo kwenye nyumba yake ya milele, japo zipo tamaduni nyingine, marehemu anachomwa moto. Hata hivyo, baadhi ya watu...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kaburi lako litachimbwa na wanywa gongo

    Acha dharau kwa watu wenye hadhi ya chini kumbuka hakuna boss atakuja kuchafuka na vumbi akuchimbie kaburi..hao unaowaona ni watu wa maana hawawezi kuja kukusalimia ukiwa umelazwa ila ukifa tu wanachangia hata ng'ombe kwenye msiba wako, binadamu Ni wanyama siku hizi.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

    Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif. Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Diamond Ushakosa Tuzo, Jua Nafasi yako. Achana na Washamba

    DIAMOND ACHANA NA WASHAMBA/MALIMBUKENI. TAMBUA NAFASI YAKO. Na, Robert Heriel Kitu ambacho kinakwamisha Watanzania tuliowengi ni USHAMBA/ULIMBUKENI. Ulimbukeni ni like kitendo cha mtu kupata kitu Kwa kizuri au cha thamani Kwa mara ya kwanza, kitu kile kikamfanya atende kinyume na desturi na...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, kocha wa Yanga Nasreddine Nabi anajichimbia kaburi

    Kama ni kweli basi Mwarabu wa watu anajichimbia kaburi historia ya kocha klabu zetu haswa yanga kuja na wachezaji wa nchini mwake siyo nzuri, kwanza wakiwa chini ya kiwango atalazimisha kuwapanga. Wenzao watawachukia. Wachezaji hao wataanza kulalamikia viwanja vibovu hapo itabidi wapangwe...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania TANZIA SSGT Reginald Ruta wa JWTZ amejiua kwenye Kaburi la marehemu Mkewe

    Kwa ambaye anamfahamu SSGT Ruta alikuwa Msata amejiua kwenye kaburi la mke wake ambaye alifariki siku ya Jumamosi huko Kilakala kaacha ujumbe kuwa alikuwa anampenda mke wake. ======== Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Reginald Ruta amekutwa amekufa huku mwili wake...
  19. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Chifu Usoro ajichimbia kaburi na kusherehekea mazishi yake kabla ya kifo chake

    Katika kile wengi wanaweza kuelezea kama jambo lisilokuwa la kawaida, mwanamume Mnigeria Clement Usoro, ameipa maisha na kifo taswira mpya baada ya kujijengea kaburi na hata kusherehekea hafla hiyo kabla ya kuondoka kwake. Mzee huyo mwenye umri wa miaka 73, katika mahojiano na BBC Pidgin...
  20. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli? Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia. Wahusika mjitathmini.
Back
Top Bottom