Katika kile wengi wanaweza kuelezea kama jambo lisilokuwa la kawaida, mwanamume Mnigeria Clement Usoro, ameipa maisha na kifo taswira mpya baada ya kujijengea kaburi na hata kusherehekea hafla hiyo kabla ya kuondoka kwake.
Mzee huyo mwenye umri wa miaka 73, katika mahojiano na BBC Pidgin...
Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.
Wahusika mjitathmini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli.
Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe...
Aisee, Dunia ina mambo.
Wiki iliyopita Jumamosi mtaani kwetu mida ya saa 7 usiku, gari ya polisi ilisimama wakaweka roadblock kuwakamata wazururaji. Ukikamatwa unakaguliwa, unajieleza kama maelezo hayatoshelezi unapigwa pingu ukaeleze zaidi kituoni
Na mgambo wakawa wanazagaa sehem tofaut...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo amefika nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato mkoani Geita kuangalia kaburi lake na kumjulia hali Mama yake Mzazi Suzana Magufuli.
Waziri Mkuu Majaliwa amefika nyumbani kwa Hayati Dkt. Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.