kaburi

Kaburi is a Papuan language of the Bird's Head Peninsula of West Papua.

View More On Wikipedia.org
  1. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kaburi lafukuliwa Mbeya, mwili wanyofolewa viungo

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawasaka watu waliohusika kufukua kaburi na kunyofoa baadhi ya viungo vya mwili wa Neema Enock (24) uliozikwa kwenye kaburi hilo wilayani Rungwe. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Novemba 8, 2022 Kamanda wa Polis Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema tukio...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Malawi yabaini kaburi walipozikwa watu 25 ya raia wa Ethiopia

    Mamlaka za Malawi zimeeleza miili hiyo inakisiwa kuwa ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia ambao wamezikwa katika Kijiji cha Mzimba kilichopo kilometa 250 kutoka Mji Mkuu wa Lilongwe. Polisi wamesema inaaminika walikuwa wakisafirishwa kuelekea Afrika Kusini kupitia Malawi, waliofariki...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

    Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu? J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara kijana aandaa kaburi lake baada ya kukiuka masharti ya Mganga

    Mfanyabiashara Kijana wa Nakonde nchini Zambia mwenye umri wa miaka 29 ameanza kuandaa kaburi lake baada ya kuambiwa na Mganga wake wa Sumbawanga kuwa atakufa hivi karibuni kwa kukiuka masharti ya utajiri wake. Grigory Siame ambaye alikuwa maskini sana hadi alipoenda kuonana na mganga miaka 8...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Waliouza kaburi la Bi Hapi Lupigila kwa TZS 30M wakubali TZS 500K

    HATIMAYE KABURI KATIKATI YA BARABARA BARIADI LAONDOLEWA.. FAMILIA YARIDHIA YAKUBALI YAISHE Zoezi la kuhamisha kaburi likiendelea === WIKI Moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kuagiza kuondolowa kwa Kaburi lililokuwa katikati ya Barabara ya Nkindwabiye-Halawa, Familia ya Saguda...
  6. Codeboy Breezy

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mwanangu Juu ya Kaburi la Mke Wangu

    Mtunzi: Iddi Makengo BABA JOAN; MIMI NA MWANANGU JUU YA KABURI LA MKE WANGU!—SEHEMU YA KWANZA “Baba kwani na Mimi ni mchawi kama Mama?” Joan aliniuliza tena, wakati huo tulikua tunaweka mchanga juu ya jeneza la mke wangu. “Hapana mwanangu, wewe si mchawi, hata Mama yako hakuwa mchawi.”...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

    Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kusisimua: Kaburi la Mwanamuziki

    Simulizi: Kaburi la Mwanamuziki Mtunzi: Robert Heriel WhatsApp 0693322300 Sehemu ya 1 “Kazi yangu bila shaka kila mmoja wenu atakuwa ameifanya vizuri, nilifurahishwa na Richard, yeye aliimaliza tangu jana akaniletea Daftari lake, amefanya vizuri sana. Richard! Tafadhali njoo uchukue Daftari...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ukraine yazika watu kwenye kaburi moja

    Kutokana na mzozo unaoendelea, Naibu Meya wa #Mariupol, Sergei Orlov amesema hawawezi kujua idadi halisi ya waliofariki kutokana na mashambulizi japo idadi inakadiriwa kuwa 1,300 Ili kupunguza maiti mtaani, uongozi wa jiji umechimba mfereji wa urefu wa mita 22 na kuzika maiti kwa pamoja zikiwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake: Wanawake Wajasiriamali waenda Chato kufagia kaburi la hayati Magufuli

    Nichukue fursa hii kuwatakia Wanawake wote sikukuu yenye baraka. Pili, niwapongeze akina mama Wajasiriamali waliofunga safari kutoka Dar es salaam wakielekea Chato kusafisha kaburi la hayati Magufuli wakikumbuka jinsi alivyowapambania. Mungu wa mbinguni awabariki Wanawake wote. Kwaresma njema!
  11. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Kufa ni nini? Kufa ni hali ya roho kuepukana na kiwiliwili, au kufa ni kukatika matumizi ya roho kwa kiwiliwili na kukosa kiwiliwili ambayo ndio ala yake na kumuepusha mtu na mali yake na watoto wake na mke wake. Kufa kunakata utamu wa maisha ya kiulimwengu na kwenda ulimwengu mwingine. Mtu...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kujinunulia majeneza na kujijengea kaburi?

    Hii dhana ya kujinunulia majenezo au kujijengea makaburi kabla ya kifo chako, kwa kisingizio eti ukifa usije kusumbua watu katika michango. Hii imekaaje wakuu? Ni sawa kufanya hivyo?
  13. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

    RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli. Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote...
  14. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wachaga, huu utaratibu wa kujenga kaburi kabla ya kufa umeanza lini?

    Nimeshtushwa kidogo kutoka kwa huyu ndugu Kimaro. Mkoa wa Kilimanjaro, katika kijiji cha Mbosho, wilayani Machame, kutana na Patrick Kimaro, mwenye umri wa miaka 59, ambaye amejingea kaburi lake. Kimaro amesema ni sehemu tu ya kujiandaa na maisha ya baadae na kuongeza kusema amefanya hivyo...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mkuchika ni Mzee kuliko wote bungeni na Baraza jipya, kulikoni wadogo zake Lukuvi na Kabudi?

    Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana. Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya? Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Chunya: Radi yaua wanne wakichimba kaburi

    Watu wanne wamefariki dunia papo hapo na mwingine kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakichimba kaburi katika Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Watu hao walipigwa na radi Jumapili Januari 9, 2022 wakichimba kaburi kwa ajili ya kumzika ndugu yao aliyefariki Januari 7. Mkuu wa Wilaya ya...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kaburi la Dossa Aziz Mtoni Kwa Aziz Ally

    Hapo chini ni picha ya kaburi la Dossa Aziz lililopo kwenye hodhi ya familia yao Mtoni Kwa Aziz Ally. Kuna kisa cha kusikitisha sana na siku hii ya mkasa wa Dossa na kwa hakika ni mkasa wa wazalendo wote. Naikumbuka siku hii kwa kuwa ilitangazwa kuwa Mwalimu Nyerere atatoa nishani kwa...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam.
  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Museveni hajaenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli Chato?

    Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Yoweri Museven aenda kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

    Salaam Wakuu Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato. Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato, Pia atamtembelea Mjane wa Hayati Magufuli Hayati Magufuli alifariki siku ya Jumatano jioni...
Back
Top Bottom