jumuiya ya afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania DR Congo yatishia kujiondoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Je, DRC imeona ni bora kuwa na marafiki wachache wenye tija kuliko kuwa na marafiki wengi wasio na tija, au ipoje? Habari kamili. ========== Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imetishia kujiondoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iwapo jumuiya hiyo itashindwa kuiwajibisha Rwanda kwa madai...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Mawaziri wa Afya wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Afrika Kusini, na Misri

    Rejea kichwa cha habari. Harafu baadae tutaenda kutengua na kubadilisha Waziri tena. Ndiyo maana hakuna ufanisi. Sijui vetting huwa inafanyikaje huko jikoni? Pia soma: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika ==== Dr. Liduine Baradahana -...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea mwaliko wa Rais Samia kushiriki Jukwaa la FOCAC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amepokea mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8. Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kilimo na viwandani kwenda katika nchi...
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto adai Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakubaliana kumuunga mkono Odinga kuwa Mwenyekiti wa AU

    KENYA: Rais William Ruto amependekeza Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC). Akihutubia kikao cha EALA, Rais Ruto amesema Viongozi Wakuu wa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

    Leo, Februari 28, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Christine Grau, pamoja na Thomas Terstegen, ambaye ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Ujumbe wa Mabalozi hao umepata nafasi ya kukutana na Watendaji wa JF na...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto, Arusha 24 Novemba, 2023.

    Matukio mbalimbali katika Mkutano wa Ndani Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 24 Novemba, 2023.
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ethiopia na Djibouti zaomba kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    EAC inaenda kuwa Jumuiya kubwa na yenye Nguvu zaidi hapa Afrika. Tukifita pass za kusafiria,tukaruhusu free movements of people and goods nadhani tutaendelea zaidi kuliko kuweka mamipaka yasiyo na msingi. Somalia tayari inasubikiwa kutangazwa tuu.Bila Shaka Sudan nayo itaunga trailer sio mda...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vikwazo 10 vya Kibiashara Visivyo vya Kiforodha (NTBs) Kuondolewa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    VIKWAZO 10 VYA KIBIASHARA KUONDOLEWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekubaliana kuondoa vikwazo kumi vya kibiashara visivyo vya kiforodha (NTBs), huku vikwazo nane vikiendelea kushughulikiwa, na vikwazo vingine vipya vinne vimewasilishwa ili...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Odinga anataka Kuharibu amani ya Kenya na ya Ukanda mpo kimya ila yule wa Rwanda mlipaza sauti na kumshutumu Rais Kagame

    Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa na Wazungu ili Kenya inayoenda Kuneemeka na Rais Ruto isitawalike. Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa Raila Odinga anatumiwa (anasaidiwa na Nchi moja jirani) yenye Vita ya chini chini ya Kiuchumi na Kenya ili Machafuko yakitokea yenyewe ifaidike...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Michezo mashuleni ina nafasi kubwa ya kudumisha Jumuiya ya Afrika Mashariki

    MICHEZO MASHULENI INA NAFASI KUBWA YA KUDUMISHA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI - BASHUNGWA Na OR TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwekeza kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki-3: Ujue Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili 18/09/2022 Kazi inaendelea Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea kuhusu Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo nikijikita kwenye Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, nikiwapeleka sura kwa sura. Sura ya kwanza ni tafsiri tuu maneno, hii nimeiruka na kuanza na sura ya...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano

    Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake. Ambapo mtangamano ukikamilika, unakwenda kuunda Taifa kubwa kabisa Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na...
  15. MURUSI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa 2020 ziko wapi Ripoti za waangalizi EAC, SADC, AU na Commonwealth?

    Ukitoa waangalizi wa EU na Marekani, hawa wengine huwa ni wanafuata posho kwenye chaguzi wanazo enda kuwa watazamaji, sijawahi ona report zao, na EAC mfano hata kule Uganda uchaguzi ulivurugwa hawajahi onyesha kusikitishwa achilia mbali Tanzania. SADC kule Zimbabwe awe kati wa Mugabe report zao...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uganda yapinga Benki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Makao Makuu Tanzania

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Uganda ambaye pia ni waziri wa EAC Bi. Rebecca Kadaga apinga wazo hilo kwani Tanzania tayari ni makao makuu ya taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Uganda ina Taasisi 3 za Jumuiya ya Afrika Mashariki zenye makao yake makuu Uganda. Jumuiya ya Afrika...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika Mkutano wa Kawaida wa 22 wa wakuu wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) Arusha, leo tarehe 21 Julai, 2022
  18. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania Hii EAC ya sasa ipo siku watu watagawana Mbao

    Hii jumuia ni ya ajabu sana kwa sababu moja ya sifa za Jumui ni kwa wanachama kuwa na umoja na upendo pia, ila sasa kwa EAC ni full kutafutana. Uganda ana bifu na Kenya kuhusu Biashara, bado ana bifu na Rwanda ya mambo ya usalama. Pia Burundi na Rwanda sio kihivyo sana zina bifu ya hapa na...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki yaongeza muda wa matumizi ya pasi za kusafiria za kielektroniki

    Baraza la Jumuiya ya Afrika Mashariki limeongeza muda wa kusitishwa kwa matumizi ya pasi za kusafiria za zamani. Katika wakati wa mkutano wao wa 41 wa Jumuiya hiyo uliofanyika Jijini Arusha, Tanzania ilipitishwa kuwa tarehe ya mwisho ilikuwa 4 Aprili 2022, lakini sasa Novemba 2022 ndio tarehe...
  20. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Ole Mushi: Watanzania tumejipangaje kuipokea Congo kwenye EAC?

    DRC imeingia kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Imekuja na vitu vifuatavyo:-. 1. Imekuja na Population ya Watu Milioni 92. Idadi hii ya watu itaifanya Jumuiya yetu sasa kuwa na Population ya watu milioni 289. Congo pekee inachangia zaidi ya Robo ya Population yote ya EAC. Inaingiza Asilimia...
Back
Top Bottom