jukwaa

Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoto wa nzi

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira za mkataba Halmashauri ya wilaya ya Kwimba

    Wataalamu wanahitajika ..ni vita mwenye uwezo pambaneni ...
  2. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa mwaka 2021?

    Leo ni Desemba Mosi, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
  3. G

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la walimu wanaofanya kwazi mkoa wa kilimanjaro

    habari, nimewaza nikaona uhitaji mkubwa wa walimu wa nje ya mkoa wa kilimanjaro wanaotaka wa kubadilishana nao ndani ya mkoa wa kilimanjaro, na waliopo ndani ya mkoa wa kilimanjaro wanataka kutoka nje ya mkoa wa kilimanjaro. . Kama wewe ni mwalimu au unaukaribu na mwalimu aliepo mkoani...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nafurahi Sana kuwa miongoni mwa wanafamilia wa hili jukwaa!

    Wasalaam wanajukwaa! Nimekuwa msomaji mkubwa katika hili jukwaa, Ila nimeona ni vema nikawa Mwanafamilia mwenzenu Rasmi. Naombeni ushirikiano. Natanguliza shukurani!!
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  6. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Uyanga na Usimba umepoteza ladha ya hili jukwaa

    Habarini Wadau! Hili jukwaa limevamiwa, uyanga na usimba umetawala na kupoteza ladha ya jukwaa la sport. Kila siku yanga na simba, mara oh Manara, gsm, mo n.k. Ukiingia tu jukwaa la (Sport) lazima ukutane na matapishi ya UYA na USI, mwanzo mwisho, ni nadra muno kukutana na International sports...
  7. SOCIOLOGISTTZ

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wakubwa liko wapi?

    Nimekaa muda bila kuingia huku JF, Nauliza lile jukwaa LA Wakubwa liko wapi??
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Katiba lalaani kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA huko Mwanza

    Huu hapa ndio ujumbe wao
  9. osmaney

    JamiiForums Tanzania Tangu Ujiunge JamiiForums ni Jukwaa Gani Mpaka Leo Hujawai Kuingia?

    Habari wanaJf.. Poleni na harakati za kutafuta maisha na hongereni sana kwa utafutaji. MUNGU azidi kubariki juhudi zenu mnazoonesha. Kama mada inavyojieleza pale juu, naomba nisizunguke saana. nisije nikawachosha. Unataja jukwaa na sababu zipi zinakufanya usiingie. karibuni sana[emoji116]
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri ni sawa na Bunge au Mahakama?

    Kitendo cha Balile kulifananisha Jukwaa la Wahariri na Bunge au Mahakama linafikirisha sana. Yaani kweli Bunge tukufu ndio la kufananishwa na Jukwaa la Wahariri? Yaani kwa sababu bunge linapewa fedha na serikali za kujiendesha? Kwamba kwa sababu bunge halina vyanzo vyake vya mapato basi nao...
  11. luangalila

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri Tanzania linajadili Budget 2021/2022

    Wadau ni takribani miaka sita sikusikia hili jukwaa likitia neno u kujadili ISSUES ndani ya TZ, ila leo naona ITV wamewapa nafasi jukwaa hili katika kujadili bajeti ya Serikali ya Awamu ya 6. Embu tupieni jicho muwaone akina Majura, Meena, n.k
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aliposema atateua vijana naona amewaibua vijana wa CCM kila kona wanashambulia jukwaa waonekane

    Tumejenga Taifa la watu wa ajabu sana. Ni siku tatu toka vijana waahidiwe ajira za DC, DAS na DED zilizotangazwa na Mhe. Rais. Baada tu ya tangazo lile vijana wa chama Cha mapinduzi wameibuka kila Kona ya nchi kutoa matamko na kukemea baadhi ya vitu Jambo ambalo awali kabla ya kauli ya Rais...
  13. Lolen 2

    JamiiForums Tanzania Hodi wana jukwaa

    Hodi Wana JamiiForums
  14. J

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarak Jukwaa la Siasa!

    Nawatakia Sikukuu ya Eid El Fitr yenye baraka na furaha wanajukwaa wote wa hapa Siasani. Eid Mubarak!
  15. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Trump afungua jukwaa lake la mawasiliano

    Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ameanzisha tovuti yake ya mawasiliano kwa lengo la kuchapisha taarifa “moja kwa moja kutoka mezani kwake.” Trump, ambaye alifungiwa katika mitandao ya kijamii kwa kudaiwa kuchochea vurugu katika Jengo la Bunge la Marekani Januari 6 mwaka huu, anatumia...
  16. Invisible

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF. Tunafahamu kuna ambao...
Back
Top Bottom