jukwaa

Jukwaa, also known as Dwokwaa, is a town in the Central Region of Ghana. It is the traditional capital of the people of Denkyira and is located in the Twifo-Ati Mokwa District in the Central Region. The Jukwa Senior High School is found in this town.

View More On Wikipedia.org
  1. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Simba ikiondoka Mbeya na alama tatu naomba nifukuzwe rasmi Jukwaa la Michezo

    Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi. Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kazi yoyote ya kufanya ili niweze kupata angalau pesa ya kuanzia ukurasa wa maisha yangu

    Natafuta Nazi yoyote ya halali nipo dar.
  3. Execute

    JamiiForums Tanzania Huyu Mkwepu Jr ni nani? Anatoa likes kwenye mada na komenti za kila jukwaa

    Mbona kila komenti na kila jukwaa jamaa anagonga likes? Inawezekanaje mtu akawa amesambaa maeneo yote hayo?
  4. El Chapito

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya kimataifa yatumike kama jukwaa la biashara kwa vilabu vyetu

    MICHUANO YA KIMATAIFA KAMA JUKWAA LA FURSA YA KIBIASHARA KWA VILABU VYETU NCHINI Kuelekea kuanza kwa michuanao ya kimataifa ngazi ya vilabu barani Afrika mwishoni mwa juma hili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mashindano ya Klabu Bingwa tutakua tukiwakilishwa na vilabu vya Simba , Yanga na...
  5. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania MMU Leo tuongee watu wazima vijana wajifunze kutoka kwetu, maana jukwaa limejaa utoto mwingi.

    Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa. Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote. Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona hah Leo jumamosi kuna wedding somewhere natoka na first born wangu wa kiume baba atasubiri nyumbani...
  6. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  7. N

    JamiiForums Tanzania HESHIMA KUBWA: Jukwaa la uwanja kupewa jina la Okrah huko Ghana

    Klabu yake ya zamani ya Bechem imempa heshima kubwa sana, katika uwanja wao wanajenga jukwaa jipya kwa pesa zote walizopata za kumuuuza Okrah kwenda simba sc na jukwaa hilo litaitwa kwa jina lake, Augustine Okrah stand.
  8. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Kwa wote wanaotaka kushiriki shindano la Stories of Change Tafadhali someni kwa makini vigezo hivi. Hakikisha andiko lako limekidhi kabla ya kutaka kuchapisha. Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili: Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nikifanya kazi za kuzoa taka halmashauri sitapata hasara

    Kuna hizi kazi za tenda wanatangaza sana halmashauri, ya kufanya usafi na kuzoa taka ngumu na kwenda kutupa dampo. Kazi hii kiuhalisia sio ngumu lakini ugumu unakuja kwenye malipo yaani wanataka pia ukusanye ushuru wa taka na 30% ulipe halmashauri inayobaki ya kwako, issue ngumu hapa ni kudeli...
  10. abdulazizi4172

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa na ndoto za Udaktari tukawa Walimu, tukutane hapa

    Wale PCB's waliokuwa na ndoto za MD halafu tukajikuta ni walimu tukutane hapa kujadili kilichotufelisha wenzetu wajifunze
  11. jebs2002

    JamiiForums Tanzania Tufahamishane maneno ya lugha za kigeni yanayotumika katika lugha ya Kiswahili

    Ebu tuyaweke maneno mblimbali humu tunayoyajuwa na yanatumika kwenye Kiswahili. Mfano Rais la kiarabu Shukrani tena kiarabu Tuendelee...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Polepole washamjulia kelele zote ni njaa! Wakati wa jukwaa la Katiba akatupwa kwenye Bunge la Katiba, na Wakati wa kelele za "wahuni" katupwa Ubalozi

    Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke. Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba. Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna...
  13. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kimawazo wa kozi bora ya sayansi

    Habar yako usomaye Uzi huu matumaini uko sawa. Nirejee kwenye Uzi Niko na mdogo wangu wa kike Yuko good mno kiakili binafsi namkubali Sasa alifaulu form 6 pcb 2021 kwa 2.10 Sasa lengo lake lilikuwa MD Ila ikigoma sababu ya cutpoints kusababishwa hata kozi baadhi za afya alizoomba...
  14. Ofisho mlinzi

    JamiiForums Tanzania Ili niweze kuonesha michezo inahitajika mtaji wa Tsh ngapi?

    Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
  15. Ofisho mlinzi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mwongozo wa uvunaji maliasili

    Naomba kujua mwongozo wa uvunaji mali asili miti katika shamba ninalomiki kisheria (inapokua imepoteza sifa za utoaji mazao kama miembe na kadhalika)
  16. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Habari wana jukwaa nitangulize shukurani zangu za dhati

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi kijana wa kitanzania kupitia ukurasa huu nilipata mchumba aitwae _ _ jina naliweka kapuni maana ni maalum kwangu tu, hakika mwanzo sikuamini kama kupitia jukwaa hili unaweza kupta mchumba au marafiki Rakini leo naomba nithibitishe kuwa jukwaa hili...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing yawa jukwaa la kuonyesha uvumbuzi wa teknolojia ya China

    Tovuti ya gazeti la Marekani “Los Angeles Times” tarehe 19 mwezi huu iliripoti kuwa vifaa vya kisasa vya kiteknolojia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing vinawavutia watu wengi duniani, ikiwa ni pamoja na mgahawa unaotoa huduma wenyewe, roboti ya usimamizi kwenye hoteli na...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hili jukwaa ni lenu wanandugu, msitufiche vitu

    Kwa ufupi sana Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu, ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha. Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau wengi wakiandika matukio haya hujifanya kama ni tukio lisilomuhusu, yaani limemtokea jamaa yake au...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hili jukwaa ni lenu wanandugu, msitufiche vitu

    Kwa ufupi sana Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu,ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha. Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau wengi wakiandika matukio haya hujifanya kama ni tukio lisilomuhusu,yaani limemtokea jamaa yake au mtu...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tuchangamshe jukwaa kidogo,kwa hadithi za kichawi

    Endapo upo ndani ya chumba au nyumba yako,nyakati za usiku ukawa unahisi maluwe luwe as if kuna mtu kaingia ndani but you don't see anything lakini timbwili zinazidi Fanya hivi kesho yake,japo ni hatari sana endapo muhusika atakuwa ni ndg yako - Fagia chumba vizuri sana kila pembe kusanya taka...
Back
Top Bottom