jua

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tuchanje mvua au tuote jua? By Dr. Ally Mahadhy (PhD) - UDSM

    Wanabodi, Hii ni C&P, kwa msaada wa Classmate wangu ambaye ni dakitari, kanimegea toka group lao la madakitari. Karibu. Paskali TUCHANJE MVUA AU TUOTE JUA? Imeandikwa na Dr. Ally Mahadhy (PhD) - UDSM. Ugonjwa wa kirusi cha korona (COVID-19 au UVIKO-19), kwa mara nyengine tena unaku wa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Zijue nchi 6 ambazo hakuna usiku, jua halizami

    1. Alaska Hiki ni kipande cha ardhi kilichokuwa siku za nyuma chini ya himaya ya Urusi kabla hajakiuza kwa Marekani, lakini Marekani walikinunua na kuwa sehemu ya ardhi yake. Kisiwa hiki pia huitwa kisiwa cha vijito vizuei vya barafu . KWENYE kisiwa hiki, sehemu zake nyingi jua halizami...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi gari la umeme haliwezi kutumia umeme wa jua?

    Eti wakuu. Huku kwenye jua la kutosha, gari ya umeme haiwezi kutumia umeme wa jua? Inatembea na panels za solar juu.
  4. JamiiForums Tanzania Diamond Ushakosa Tuzo, Jua Nafasi yako. Achana na Washamba

    DIAMOND ACHANA NA WASHAMBA/MALIMBUKENI. TAMBUA NAFASI YAKO. Na, Robert Heriel Kitu ambacho kinakwamisha Watanzania tuliowengi ni USHAMBA/ULIMBUKENI. Ulimbukeni ni like kitendo cha mtu kupata kitu Kwa kizuri au cha thamani Kwa mara ya kwanza, kitu kile kikamfanya atende kinyume na desturi na...
  5. JamiiForums Tanzania TMDA: Ukitumia antibiotiki na usipokojoa mkojo wenye harufu, jua hiyo ni bandia

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba Nchini (TMDA), Bw. Adam Fimbo ametoa rai kwa jamii kutambua dawa zote za antibiotiki (Antibiotic) endapo watazitumia kwamba ni lazima iwe na matokeo ikiwemo harufu katika mkojo wa mtumiaji baada ya kutumia. Bw. Fimbo ametoa rai hiyo wakati wa...
  6. JamiiForums Tanzania Fanya haya ili biashara unayoianzisha isife

    1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo. 2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo. 3. Amua kujenga mahusiano...
  7. D

    JamiiForums Tanzania TARURA na halmashauri huu wakati wa jua utumieni kusawazisha barabara na stendi mbovu; msisubiri mvua

    Maeneo mengi sana Tarura na manispaa huwa wahangaika kutia na kusambaza vifusi wakati wa mvua jambo linalozalisha tope! Niwaombe sasa nia ileile ya kufukia mashimo msimu wa mvua, Tumieni wakati huu wa jua kusawazisha na kufukia mashimo korofi italeta maana kuliko kusubiri mvua zianze! Waziri...
  8. JamiiForums Tanzania Wizi wa magari umerudi kwa kasi, jua mbinu za wezi wa magari

    Kumekuwa na ongezeko la wimbi la wizi wa magari hasa jijini DAR ES SALAAM. Kwenye groups za WhatsApp hazipiti siku kadhaa linaletwa tangazo kuwa Kuna gari limeibiwa. Magari ambayo yamekuwa yakiibiwa zaidi Ni TOYOTA IST na mengine yenye injini za 1NZ na 2NZ. Hapa ni baadhi ya mbinu zitumiwazo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ota jua la asubuhi, kuepuka changamoto ya kukosa usingizi

    Jua ni muhimu katika uzalishaji wa Homoni ya Melatonin ambayo hudhibiti mzunguko wa usingizi. Inaelezwa kuwa jinsi mwili wako unavyoweza kuzalisha Melatonin za kutosha ndivyo mfumo wako wa usingizi unavyoimarika. Pia mwanga wa jua huchochea seli kwenye ngozi na kuzalisha Vitamin D...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga akutwa na COVID-19

    Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amekutwa na maambukizi ya #COVID19 lakini anaendelea vizuri katika hospitali ya Nairobi ambako amelazwa Odinga alilazwa tangu March 9 baada ya kuwa na uchovu mwingi na maumivu. Ambapo nduguze walisema hakuwa na dalili za shida za mapafu lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mke mkweli na muwazi anayejua kutunza upendo wa mume

    Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 Elimu yangu kidato cha nne Umbo la mwili wangu ni mwembamba na mrefu kiasi. Kabila langu Mnyamwezi naishi Dar. Kazi yangu Mjasiriamali/biashara Dini yangu mkristo. Mke nnaye muhitaji awe mweupe/ maji ya kunde Umri kuanzia miaka 23 Awe...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi itakuaje kama JUA ndio jehanamu / ziwa liwakalo moto?

    Leo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh! Hivi wakuu jua mnalionaje?
  13. JamiiForums Tanzania Ulijuaje mpenzi uliyenaye sio wa kwako tena lakini bado mpo penzini?

    nakumbuka kuna manzi wangu mmoja miaka ya 2016 tulikuwa tunapendana sana ila nilivyoona 1.kila siku asubuhi mimi ndio naanzisha good morning na nisipoanzisha mpka inafika saa 5 mchana hajanicheki nilijua huyu sio wangu tena japo naitwa niliopo penzini 2.ikifika usiku najikausha mpaka inafika...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa anayejua bei ya mabelo ya viatu

    Habari zenu wana JF kwa muda mrefu sana nilikuwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza viatu, sasa wakati umeshafika. Mimi nipo Arusha ila nasikia Moshi kuna viatu vizuri kweli, sijawahi kwenda huko, mimi nilikuwa nataka kujua tu mabelo ya viatu pale Moshi yapo maeneo gani na kwa belo moja...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kama ni hivyo, susieni na Simu na Dreamliner maana huwezi jua wameweka nini!

    Hatuna imani na wazungu! Ni wauaji inavyoelekea. Basi kama ni hivyo tususie kila kitu. 1. Hizi simu almost 90%(stand to be corrected) watanzania tunazitumia. Si ajabu wameweka mionzi ya kuua brain after some yrs wote tunakuwa na kansa ya ubongo 2. Mandege yao yanawezekana yamewekwa mionzi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Basi mlilopanda mkiona anaendesha vibaya huku akiwaambia ataongeza Spidi zaidi hadi mkome jueni Maafa yanakuja

    "Katika miaka hii mitano nitakuwa mkali ninyi, kwa sababu sihitaji kupigiwa kura wala sigombei tena Urais. Katika miaka hii watakoma wasaidizi wangu. Ambao hawahitaji kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya ni afadhali waachie."- Rais Dkt. @MagufuliJP mkoani Kagera. Sasa All - Rounder...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiona maisha yako ni magumu basi jua kuwa kuna Mtu amekuchezea (amekuroga)

    Habari zenu, Waswahili husema wendawazu ni kufanya jambo ulilofeli awali kwa namna ileile lakini ukitegemea ushindi. Watu wengi Afrika wana bidii ya kutafuta fedha au maisha lakini maisha yenyewe hawayaoni. Afrika wananchi hurogana ili tu kuipa furaha mioyo yao ya wivu. Haijalishi umesoma au...
  18. JamiiForums Tanzania Mhubiri wa Kiroho Kanisa la Mwenge Mpakani: Ukiwa umelala na Ukaota unakula Chakula, jua Wachawi ( Wanga ) wanajisaida Haja Kubwa Mdomoni mwako

    Kama hiki alichokisema leo Jioni katika Redio huyu Mhubiri wa Kanisa la Kiroho la Bwana Richard Mwacha hapo Mwenge Mpakani ni cha Kweli kabisa basi kuna uwezekano mkubwa wengi Wetu tumeshameza sana tu Kinyesi ( Mimavi ) ya Wachawi Usiku tukiwa tumelala huku tukiota kuwa tunakula Michips, Mikuku...
  19. JamiiForums Tanzania Anayejua software ya ku-type kwa kuongea

    HELLO Habari wana jamvi mimi nimepata shida kidogo mahali nilikuwa nimepewa kazi moja ila kwa kweli ni kubwa mno. Nina makaratasi hapa kama yote na yameandikwa kwa lugha ya kingereza sasa nilikuwa nataka software nzuri kwa ajili ya kunisaidi kurahisisha kazi, mimi niwe naongea tu yenyewe iwe...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Jemedari kweli wa Vita ya Ufisadi na Rushwa-Jua fedha, majengo, na vitu vingine kibao vilivyorejeshwa Serikalini. Big up JPM

    Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa. Aidha kupitia Takukuru mashauri 2,256 yalifunguliwa ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…