#COVID19 Raila Odinga akutwa na COVID-19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,729
8,992
Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amekutwa na maambukizi ya #COVID19 lakini anaendelea vizuri katika hospitali ya Nairobi ambako amelazwa

Odinga alilazwa tangu March 9 baada ya kuwa na uchovu mwingi na maumivu. Ambapo nduguze walisema hakuwa na dalili za shida za mapafu lakini walikuwa wanasubiri majibu

Majibu ya Raila Odinga yametoka Alhamis, Machi 11, Japo Odinga mwenyewe aliwatoa hofu watu mchana kuwa anaendelea vizuri

====
ODM leader Raila Odinga has tested positive for COVID-19, a statement from his doctor revealed on Thursday night.

Consultant neurosurgeon David Oluoch-Olunya said he is responding well to treatment at the Nairobi Hospital.

“Following my letter of the 10th of March 2021 we have confirmed that Rt. Hon. Odinga has SARS-2 COVID 19. We are continuing to monitor his progress,” the statement reads.
The ODM leader was admitted to hospital on March 9 after he complained of general fatigue and body aches.

In a telephone interview with Citizen Digital on Wednesday, Oburu Odinga who is the former Prime Minister’s elder brother said there was no need for alarm.

He allayed fears of his brother contracting COVID-19 saying he had not exhibited any symptoms that pointed to a respiratory disease.
 
  • Thanks
Reactions: cmp

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
3,886
7,421
Ukiangalia Habari za Kenya mida hii ni kwamba Raila Odinga umepatikana na Covid-19.

Nilicho jifunza wao wako wazi kabisa, sielewi kwa nini Tanzania huu ugonjwa unachukuliwa kama Gonorrhoea.

Huu ugonjwa ni ugonjwa wa aibu kwa Tanzania.
===
1615488878176.png

ODM leader Raila Odinga has tested positive for COVID-19, a statement from his doctor revealed on Thursday night.

Consultant neurosurgeon David Oluoch-Olunya said he is responding well to treatment at the Nairobi Hospital.

“Following my letter of the 10th of March 2021 we have confirmed that Rt. Hon. Odinga has SARS-2 COVID 19. We are continuing to monitor his progress,” the statement reads.

The ODM leader was admitted to hospital on March 9 after he complained of general fatigue and body aches.

Source: Citizen
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
7,443
5,960
Ukiangalia Habari za Kenya mida hii ni kwamba Raila Odinga umepatikana na Covid-19.

Nilicho jifunza wao wako wazi kabisa, sielewi kwa nini Tanzania huu ugonjwa unachukuliwa kama Gonorrhoea.

Huu ugonjwa ni ugonjwa wa aibu kwa Tanzania.
Hawa wanataka wapewe mikopo na wazungu. Sisi malaria ndiyo ugonjwa unaotusumbua siyo mafua ya wazungu!
 
Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
3,053
4,421
Ukiangalia Habari za Kenya mida hii ni kwamba Raila Odinga umepatikana na Covid-19.

Nilicho jifunza wao wako wazi kabisa, sielewi kwa nini Tanzania huu ugonjwa unachukuliwa kama Gonorrhoea.

Huu ugonjwa ni ugonjwa wa aibu kwa Tanzania.
Ugonjwa ni kama Mimba,haiwezi kuficha. Hapa kwetu ni kwamba Uhuru wa vyombo vya habari haupo kwa manufaa ya Meko.

Hakuna chombo kitatangaza kuwa Meko anaumwa, hata Waziri Mkuu hawezi kusema Bosi wake anaumwa. Anaogopa akipona anaweza kumfukuza kazi.

Ndiyo maana social media inachukua nafasi kwa sababu ya ombwe la taarifa rasmi. Anyway MUNGU HADHIHAKIWI, tumuache atende kadri ya mapenzi yake.
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
13,359
13,257
Ukiangalia Habari za Kenya mida hii ni kwamba Raila Odinga umepatikana na Covid-19.

Nilicho jifunza wao wako wazi kabisa, sielewi kwa nini Tanzania huu ugonjwa unachukuliwa kama Gonorrhoea.

Huu ugonjwa ni ugonjwa wa aibu kwa Tanzania.

Ni Kaswende??
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom