Natafuta mke mkweli na muwazi anayejua kutunza upendo wa mume

Digital base

Senior Member
Jul 19, 2020
126
189
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29
Elimu yangu kidato cha nne
Umbo la mwili wangu ni mwembamba na mrefu kiasi.
Kabila langu Mnyamwezi naishi Dar.
Kazi yangu Mjasiriamali/biashara
Dini yangu mkristo.

Mke nnaye muhitaji awe mweupe/ maji ya kunde
Umri kuanzia miaka 23
Awe anajua kutunza upendo wa mume asiwe ni mtu anaye taka kuwa juu/zarau kwa mumewe kwa kigezo chochote kile.

Awe na bidii ya kufanya kazi maana tunaweza kushirikiana katika kazi zangu kukuza uchumi wetu zaidi labda Kama ni miajiriwa nta fanya mwenyewe nna malengo ya kujenga nwaka huu hivyo nimuhimu tuka fanya kazi kwa pamoja na kwa bidii ili kutimiza malengo hayo

Awe na uchungu wa kukuza pato la familia kuliko ubinafsi wa kuweka matumizi yake binafsi mbele kuliko ya pamoja.

Mengine ni ziada tu kikubwa uwe na uchungu wa maisha na ujue maisha na ndoa ni nini.

Asante

Unaweza kunitafuta kwa number 0684601370/WhatsApp 0676091570
 
Duuuuuuhhh.
Inamaana wewe ni domo zege?
Hivi unadhani kuna mwanamke duniani aanajitambua kuwa hafai kuwa mke bora?
 
Ungetafuta nyuzi za ladies uzame PM, naona wapo wengi wanatafuta wenza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom