Ulijuaje mpenzi uliyenaye sio wa kwako tena lakini bado mpo penzini?

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
nakumbuka kuna manzi wangu mmoja miaka ya 2016 tulikuwa tunapendana sana ila nilivyoona

1.kila siku asubuhi mimi ndio naanzisha good morning na nisipoanzisha mpka inafika saa 5 mchana hajanicheki nilijua huyu sio wangu tena japo naitwa niliopo penzini

2.ikifika usiku najikausha mpaka inafika saa 4 na nusu usiku hajanitafuta kila siku mpka mimi nimtafute ndo tuzungumze nilijua huyu sio wangu tena japo naitwa mpenzi

3.nilivyoona mpenzi wangu hana story na mimi kama ilivyokuwa zamani tukizungumza kidogo anahitaji kupumzika nilijua huyu sio wangu tena japo naitwa mpenzi

4.nikiona ananitafuta alafu baada dakika kadhaa ananipiga mzinga wa vocha basi nilijua huyu sio wangu tena japo ananiita mpenzi

haya endeleaaaaaa
 
Nilivyomcheki na nikamchora, nikasikaliza anavyoongea ha nikajua tu wengi ametupa tutafikiri nyanya,, nikasepa mdogo mdogo
 
Tulikuwa kwenye relationship yapata mwaka mmoja. Siku hiyo aliniambia anakuja geto, toka saa 2 asubuhi, kila nikimuuliza anasema nakuja....hadi saa 2 usiku akaniandikia meseji..'My dear nimeshindwa kuja, nilimsindikiza rafiki yangu kariakoo kufanya shopping". Siku jibu meseji wala kupokea simu yake hadi.leo sijui hata yuko wapi.
 
nakumbuka kuna manzi wangu mmoja miaka ya 2016 tulikuwa tunapendana sana ila nilivyoona

1.kila siku asubuhi mimi ndio naanzisha good morning na nisipoanzisha mpka inafika saa 5 mchana hajanicheki nilijua huyu sio wangu tena japo naitwa niliopo penzini

2.ikifika usiku najikausha mpaka inafika saa 4 na nusu usiku hajanitafuta kila siku mpka mimi nimtafute ndo tuzungumze nilijua huyu sio wangu tena japo naitwa mpenzi

3.nilivyoona mpenzi wangu hana story na mimi kama ilivyokuwa zamani tukizungumza kidogo anahitaji kupumzika nilijua huyu sio wangu tena japo naitwa mpenzi

4.nikiona ananitafuta alafu baada dakika kadhaa ananipiga mzinga wa vocha basi nilijua huyu sio wangu tena japo ananiita mpenzi

haya endeleaaaaaa
Nibaada ya kukuta sio bikra
 
Alikuwa ananipa gem siku akitaka ila nikiwa na ugwadu wangu chenga kama zote shida alijiona mungu mtu

Mwingine alienda kwao kijijini kukaa mda mrefu kutokana na stress za mjini thou kwake anapoishi sio mbali sana ni mda wa dakika 45 nikimpigia simu hapokei siku zaidi ya tatu afu akinitafuta ananilalamikia kwanini nipo kimya hali ilikuwa endelevu kwa wiki 3 nikaona hola
 
Hii hata mimi ndio imekua ticket ya kumaliza mahusiano na mtu nlokua nae kwa mwaka mmoja

Game zake za manati sana mpaka ajisikie au umchunie hata wiki,nikaona huu ni utoto
 
Nilipoona anazidisha mazoea na dada mmoja..ile wanataniana na kujiachia kinomanoma..nikimtext jibu Mkato au asijibu kabisa..mengine sitaki yaelezea yanaumiza mno.

Ila yote kheri ..wajitahidi waoane.
Kwa hiyo sasa hivi kuna vacant orbital tuingize electrons 😊😊😊😊
 
Nilipoona anazidisha mazoea na dada mmoja..ile wanataniana na kujiachia kinomanoma..nikimtext jibu Mkato au asijibu kabisa..mengine sitaki yaelezea yanaumiza mno.

Ila yote kheri ..wajitahidi waoane.
Minikanza kuandika nitatonesha Donda...
 
Ila kipengele Cha mapenzi kwa sisi BINADAMU natamani Mungu akirekebishe, tuwe Kama mamalia wengine
 
Kaja napiga mzigo mtt analia,kutoa nakuta abdalah ana kitu ka unga unga nkajua kashachukua ma PID kwa wahuni huko,cku nmemtxt msg akawa hajibu na vocha nmemuwekea bac ikawa kama ndi gear ya kuamshia kumbe nlikuwa namtafutia sababu nimzingue tu
 
Alikuwa anamegwa na kibabu furani kilichokuwa kinagari kari na kina duka jirani na office niliyokuwa nikifanyia kazi, kila nikimuomba tuonane demu analeta visababu vingi na kusema hatoweza kutoka,nikaona sina changu hapa, siku wanaenda kwenye guest ambayo caunt ni rafik yangu akanitonya nikathibitisha kwa macho yangu mwenyewe, ilibidi nimuache kimnya kimnya tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom