jpm

  1. JamiiForums Tanzania CONFIDENTIAL: Barua Pepe zaonesha Maafisa 62 wa Serikali ya Tanzania akiwemo IGP walihongwa Fedha na ACACIA (2008/2015)

    Acacia, kampuni ya uchimbaji madini iliyokuwa na shughuli zake nchini Tanzania kabla ya kuingia kwenye mgogoro mkubwa na Serikali, inadaiwa kutumia takriban Shilingi bilioni tatu (Dola za Kimarekani milioni 1.2) kwa mwaka kulipa maafisa waandamizi wa Serikali kati ya 2008 na 2015, uamuzi ambao...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tangu asubuhi hakuna umeme. TANESCO wanataka Hayati Magufuli akumbukwe

    Muda mwingine inafikia hatua mtu unawaza huenda ni hujuma za baadhi ya watengaji wakuu na wanasiasa wanaotaka wananchi waichukie serikali ya sasa na kumkumbuka Hayati Magufuli. Mama yetu Samia tunakupenda sana lakini Mwenyezi Mungu akujaalie kuwabaini watendaji na wanasiasa wenye HILA NA...
  3. JamiiForums Tanzania CCM kwa kauli hizi za Katambi, haileti maendeleo; ni dharau kwa watanganyika

    Waliomwambia JPM kuwa Katiba haileti maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba inaweza kuwepo na isifuatwe. Ni aibu kwa viongozi wa CCM walioapa kwa Katiba kutamka maneno haya hadharani. Kimsingi wanapswa kuitetea sana Katiba maana hata Urais wao umetokana na Katiba. CCM...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Mwabukusi ni Mbadala wa Hayati Magufuli

    Habari wana JF. Huyu wakili msomi Mwabukusi namwona kama mbadala wa Hayati JPM. Japo tofauti na Magufuli, Mwabukusi ni mkali zaidi halafu wakati huo huo ni mpole, mnyenyekevu na mwenye huruma zaidi kulinganisha na Hayati JPM! Ili tuendelee kama nchi, tunawahitaji sana viongozi wa Kaliba hii...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ina la kuwaambia wananchi juu ya kutokupatikana kwa mtandao kipindi cha Uchaguzi 2020?

    Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini serikali haijatoa ufafanuzi juu ya kupotea kwa internet kipindi cha uchaguzi mwaka 2020 kama serikali hivi...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia anaendeleza ukatili wa Hayati Magufuli kwa kukamata Wakosoaji wa Mkataba wa DP World

    👇 --- Leo August 12, 2023 Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuhusu kukamatwa kwa Mdude Nyagali na Wakili Mwabukusi. Katika kutoa maoni yake kuhusu jambo hilo ameandika: Bonnie Mwabukusi, lawyer & critic of President Samia's handover of all of Tanzania's ports to DP World, has...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Naomba picha za Tundu Lissu akihiji kaburi la marehemu Hayati Magufuli

    Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike. Baadae tukasikia UVCCM imepiga marufuku 'madange' hayo na kutoa tamko kwa chadema kuwa 'mdako' huo au 'kidali...
  8. JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo acha kuchukia juu ya ukweli anaousema Lissu, hayati JPM asingefanya huu uozo. Muache aende Chato kueleza ukweli

    Hii nini unaropoka kama mtoto bhana 👇
  9. JamiiForums Tanzania Lissu: Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu ama rafiki wa kudumu na bora mara mia ya Magufuli kuliko majizi haya

    " Siasa ni sayansi ya sanaa na huenendana na nyakati. Ndiyo maana kwenye siasa hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu vilevile. " Magufuli pamoja na mabaya yake lakini hakuwa mwizi na mgawa rasimali zetu kama Mkapa, Kikwete na huyu mwizi wa sasa. " Magufuli kamwe asingekubali kuuza bandari...
  10. JamiiForums Tanzania Familia ya Magufuli isikubali Chadema wakafanye Siasa kwenye kaburi la Magufuli, wawafukuze

    Nawashauri familia ya JPM wasimruhusu Lissu na genge lake lisiende katika kaburi la JPM kufanya Siasa. Japo Mimi sio mnazi wa JPM, lakini inaonekana wamejipanga kisiasa katika kuzuru kaburi Hilo, na wanaweza hata kutoa matusi mazito, hasa Lissu, wakati wakijifanya kumuombea. Pia baadhi wamesema...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwenye spotlight: Unaikumbuka kesi ya Rais Magufuli? Clip yake haitaji "Rais Samia". Inataja "Rais" na "mama" tu

    Ukisikiliza ile clip inayodaiwa na Nape kuwa Tundu Lissu kamtukana Rais na ghafla kwa kufikiri ni kosa, DCI Kingai kamwita Tundu Lissu ili amhoji na bila shaka ikiwezekana afungulie mashitaka, basi utagundua mambo kadhaa kuonesha kuwa walioindaa wana akili sana na kina Nape na Kingai bila...
  12. JamiiForums Tanzania Mikataba yote iliyovunjwa na kuingiwa makubaliano mapya na JPM, wawekezaji wataendelea kulipwa kwa sababu ni wakati wa ulaji kwa wanasheria wa serikal

    Je, huu ni wakati wa wanasheria wa serikali kulamba asali kupitia kesi za kimikataba na kimataifa? Mikataba mingi iliyovunjwa na JPM, ilivunjwa kwa negotiation ya win win stuation ili kuanza upya! Tokea miaka ya 2018 huko miaka mitano nyuma, mwekezaji kampuni ya Nickel ambaye haijulikani...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliona bora awavalie miwani ya mbao afanye kazi, wapinzani wakamuita ni dikteta, Rais Samia piga kazi tusizidi kuchelewa

    Friends and Enemies, JPM Marehem, alikuwa ana Msemo wake pendwa ''Turichereweshwa Sana'' na hawa wanaojiita wanademokrasia na watetezi wa Haki za binadamu,nakumbuka pia katika suala la mradi wa bwawa la Nyerere alizungumza pia kuwananga wale waliokawa wanampinga katika mradi ule Kwa hoja ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari Mungu ni Mwema wakati wote!
  15. JamiiForums Tanzania Madhumuni ya Rais yalikuwa kuifanya bandari ya DSM kuwa ya Mwendo kasi ya kisasa kama SGR. Watekelezaji wamechemsha kwa kuanza na International Treaty

    1. Madhumuni (vision) na malengo (objectives) mazuri ya Rais wetu, ambayo aliyatangaza wazi hadharani, yalikuwa ni kuifanya bandari ya DSM kuwa ya kiwango cha mwendo kasi, cha kisasa na cha viwango vya kimataifa (international standards) kama zilivyo bandari hususani zile za Singapore na Taiwan...
  16. JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

    Nukuu:- Kaka, issue kama hii kwanza tulikuwa hatulali! Pili, usijidanganye eti utampa mwamba karatasi zenye kurasa nyingi asizisome-hahaha! Niwe mkweli wa nafsi, binafsi huwa nadhani mwamba alikuwa anapenda sana issue za migogoro ili aweze ku solve. Jiulize, mtu ambaye akiletewa jambo kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wilbroad Slaa kusema Rais Samia amejificha kana kwamba nchi haina kiongozi, ungethubutu kusema hivyo kwa Hayati Magufuli?

    Friends and Enemies, Kwa tuliomsikiliza Wilbroad Slaa juzi pindi akihojiwa na kituo kimoja Cha redio amesikika akitoa kaul nyingi sana za dhihaka na kejeli Kwa serikali,Slaa akafikia hadi hatua ya kusema kwamba Rais AMEJIFICHA,hatoi kaul kana kwamba nchi hii haina Kiongoz. Slaa lazima atambue...
  18. JamiiForums Tanzania Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

    Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro. Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani...
  19. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipozuia chakula kisiuzwe nje mlikebehi, sasa mmeonja joto ya jiwe na kusalimu amri

    Bashe fungua mipaka. Bashe wewe ni jembe. Mama amekupa rungu ili wakulima wapate pesa. Hii nini sasa? ==== Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Tamasha la Utamaduni la Bulabo Mkoani Mwanza leo June 13,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kuwaomba...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

    Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote! Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha! Nyaya zimeshagusana, moto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…