Wilbroad Slaa kusema Rais Samia amejificha kana kwamba nchi haina kiongozi, ungethubutu kusema hivyo kwa Hayati Magufuli?

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and Enemies,

Kwa tuliomsikiliza Wilbroad Slaa juzi pindi akihojiwa na kituo kimoja Cha redio amesikika akitoa kaul nyingi sana za dhihaka na kejeli Kwa serikali,Slaa akafikia hadi hatua ya kusema kwamba Rais AMEJIFICHA,hatoi kaul kana kwamba nchi hii haina Kiongoz.

Slaa lazima atambue kwamba kama anatafuta coverage na attention Kwa Rais au Serikali kupitia suala hili la DP World basi atambue fika kuwa coverage hiyo hatoipata,hatoipata Kwa wapinzani, hatoipata Kwa wananchi na hatoipata Kwa serikali.

Na hiyo ni kutokana na Jins alivyo changudoa katika masuala haya ya siasa na kujali Zaid tumbo lake huku akiegemea kwenye kutetea maslahi ya nchi.

Padre huyo aliefelisha Iman Yake Kwa mungu wake ameendelea kupayuka kuwa huu sasa ni wakati wa kuungana kupigania katiba mpya ambayo itatengeneza Taasisi imara za serikali na kutengeneza checks and balances za vyombo vya dola,huo ni unafiki wa kiwango Cha juu kabisa,hoja ya katiba ilikuja kipindi Cha mwendazake na yeye hakutaka kumsikiliza Wala kuipa uzito badala yake akasema kwamba haina umuhim Kwa sasa Kisha akachukua ubalozi na kuondoka zake.

Leo ubalozi umeisha,Njaa imepiga hodi mlangoni kwake anakumbuka sasa kuwa katiba mpya ni muhimu,nani atapoteza muda kumzingatia Slaa.

Uhuru huu ambao sasa anao autumie vizur,tunajua ana Njaa sana,ila akae akitambua kuwa Rais Samia ni Kiongoz wa nchi,Hana muda wa kukaa eti aje amjibu yeye Slaa,who are you Wilbroad Slaa eti had Rais ajifiche kuja kukujibu wewe,masuala yote ya nchi na serikali yupo msemaj wa serikali ambae kazi yake ni kutoa clarifications za mambo mbali mbali pale inapohitajika,usitafute kiki Kwa kushindwa kuhimili hizo Njaa zako.

Lastly,Huu mdomo mrefu unaourefusha Kwa Kiongoz wa Nchi,ungeweza kuwa na ujasiri huo mbele ya JPM na kusema kwamba nchi ipo kama vile haina Kiongoz??

Shika adabu zako Wilbroad Slaa,piga kelele uwezavyo kama unavyosema lakini chunga mipaka ya kauli zako,hakuna teuzi yoyote ambayo utaipata this time siyo Kwa wapinzani Wala serikalini.

Zama zako umezimaliza mwenyew e Kwa kuendekeza maslahi ya tumbo na Njaa zako.
 
Ok,
1. Kwani rais katoa kauli?
2. Lini umekuwa askofu wa RC mpaka uuseme upadre wake?
3. Rais Samia aliposema .. nanukuu.. KULIKUWA NA SIMBA WA YUDA.. mwisho wa kunukuu. Ulielewa alimaanisha nini?

Rais hawez kutoa kauli kireja reja eti amjibu Slaa,msemaji wa serikali yupo ND ndiyo kaz yake.

Mimi na uaskofu wapi na wapi??kwani suala la Slaa kuzama kwenye dhambi ya uzinz had akakimbia upadre ni Siri??SI jambo ambalo liko wazi tuh.

Rais alipsema kulikuwa na Simba wa yuda Mimi siwez kumsemea yeye kuwa alikuwa ana maanisha nin,kwani wewe ulielewaje.
 
Mtoa hoja jibu hoja ya Dr.Slaa sio kunipa hapa vitisho, kwani huyo JPM aliishia wapi?,tatizo la kulelewa kwenye familia zilizojaa vitisho na bila upendo, hii ni debate nawe changing mawazo yako sio kuniletea vitisho hapa

Hoja ni kwamba,suala la katiba mpya kipindi Cha JPM lilikuja na yeye Slaa akasema halina umuhim,tujenge nchi kwanza,akapewa ubalozi na kwenda zake Canada.

Leo, ubalozi umeisha Njaa imepiga hodi mlangoni kwake anakumbuka sasa kuwa katiba mpya ni muhimu??
 
Mtoa hoja jibu hoja ya Dr.Slaa sio kunipa hapa vitisho, kwani huyo JPM aliishia wapi?,tatizo la kulelewa kwenye familia zilizojaa vitisho na bila upendo, hii ni debate nawe changing mawazo yako sio kuniletea vitisho hapa
Kuoshia wapi na kushikishwa adabu vinahusianaje? Msitumie vibaya uhuru Kuna siku mtalia..

Bagonza alisema hata mabubu naona wameanza kuongea.
 
Duh 🙄

Kweli Ujinga ni kipaji!

Kwamba Rais hatakiwi kuhojiwa, kwani rais ni mungu au ni mtumishi wa umma?

Huyo jpm unayesema, hukumuona alipopiga magoti akiomba kura kwa mabosi wake a.k.a wananchi?!

Hakuna Rais kama huyo ulimwengu wote huu eti ya kwamba Kila anachosema Raia wake yeye atoke amjibu,wasemaji wapo Rais ana mambo mengi, mwambie huyo Slaa Hana hadhi ya kujibiwa na RAIS.
 
Back
Top Bottom