jpm

  1. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kwa ufupi Hayati Magufuli aliwachukia watumishi wa umma

    Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja...
  2. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu bado anamlinganisha Hayati Magufuli na Marais wa nchi yetu tangu Tanganyika na sasa Tanzania?

    Ukweli ni kwamba Hayati Magufuli alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Bado tunahitaji Rais kama Magufuli. Mungu ibariki Tanzania.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ndiye mtu pekee ambaye hakuweza kuvumilia mateso ya wananchi yanayosababishwa na upigaji

    DC Mstaafu Simon Odunga anaandika Endelea kutabasamu CHUMA, mpaka sasa bado hakuna wa kulinganisha na wewe. Najua hayupo aliyekamilika 100% lakini najua hata miaka 50 ijayo bado itakuwa vigumu kumpata Rais wa watu kama wewe. Ulijitoa Mhanga kwa ajili ya Taifa hili, "Legacy" yako itaishi hata...
  4. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Nimeitazama hii video kwa makini hakika Uongozi ni jalala

    Nyerere,JPM na Sasa Ruto
  5. T

    JamiiForums Tanzania Baba JPM hajafa ila amelala ufunguzi wa ikulu leo alikuwepo japo hakuongea😭🤐

    Moyo umesinjaa kwa kile nimekiona leo ktk ufunguzi wa Majengo ya ikulu Dodoma. Nawaza najiuliza na sipati majibu. Nimeenda mbali zaidi nikasema hata kama hatuamini juu ya uwepo wa Dunia nyingine tusio iyona watu wa siri mlishimdwa hata wauliza Mashekh juu ya elimu Dunia? Mh nadhani Kuna jambo...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Lissu umeondoka na JPM? Kwa sasa umeshuka mpaka kufikia asilimia 25, namuona Heche akichukua kijiti

    Ni dhahiri Lissu ni mwanasiasa wa matukio, na huwa anapata nguvu panapokuwa na misuguano kati yake na viongozi wa juu. Na yeye amegundua hilo, kwamba ana thrive kisiasa katika mazingira ya ugomvi na kutukanana. Ndio maana anaona kwamba wenzake wanapoenda katika maridhiano, ni kama "wanamchimbia...
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni nitakuja na kisa cha kusisimua kuhusu JPM, Kasesera na Mchungaji Msigwa

    Ulishawahi kujiuliza, kwa nini JPM alibaki na Kasesera ambaye ni mwandani lia lia wa Benard Membe?! Utaamini kwamba pamoja na mbwembwe zote Mchungaji Msigwa alikuwa mlisha habari wa JPM kutoka upande ule?! Kwa nini JPM alimrejesha RAS yule kuwa DG....?! Simulizi hiyo ifuatayo itakufanya...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda informer wa Benard Membe katika ya Utawala Magufuli

    Ipo habari msisimko isiyofahamika na wengi kumhusu Aliyewahi kuwa W NJ ndugu Benard Membe aliyetangulia mbele za haki na ndugu Paul Makonda aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Nyuma ya pazia, wawili hao wana hadithi nzuri na yenye fundisho ndaniye. Kwa sababu wahusika wakuu hatunao...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wazi kuna Mgawanyiko, Kundi la Hayati Magufuli na kundi la Walamba Asali

    Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG. Kundi la Hayati Magufuli linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya...
  10. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Kikwete Vs Hayati Magufuli: Magufuli yuko sahihi kuhusu Katiba Mpya

    Salam! Wote tunajua mchakato wa kuandika Katiba mpya Tanzania wakati wa Kikwete na hadi kukwama kwake. Wote tunajua msimamo wa Magufuli wa kutokutaka kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Sasa Rais Hassan ameanzisha mchakato wa Katiba Mpya. Mimi ni Realist. Na napenda tuwe realist katika...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mpina atakiwa apeleke Ushahidi wa Madai yake kwamba Maagizo ya Waziri Mkuu Majaliwa hayatekelezwi na Watendaji wa Serikali!

    Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia Hata hivyo hoja zake zilipingwa na Waziri Jennista Mhagama akidai ya kuwa hazina ukweli kwamba maagizo yanafanyiwa kazi na...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chato wajiapiza 2025/2030 watamchagua Katwale. Kalemani hajaleta mradi wowote tangu Dkt. Magufuli afariki dunia

    Wana Chato wamejiapiza kwamba uchaguzi wa ubunge unaokuja, wanakwenda na Katwale. Wanachato wanasema kwamba Katwale alikuwa chaguo lao lakini JPM alimpandikiza Kalemani. Gumzo kubwa wilayani Chato ni kwamba miradi yote wanayoiona Chato ni kazi ya JPM. Mbunge wao Kalemani hajafanikisha mradi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Video: Wananchi wakimlilia Hayati Magufuli baada ya kuchoshwa na uonevu

  14. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mtaandika vitabu na vitabu, ila hamtaweza kubadili chochote juu ya Hayati Magufuli

    Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa Kila Mtanzania kwa sasa, hahitaji kuuliza kwa mwenzake kuhusu ufisadi ulivyokithili sasa, watu wako bize kuiba kiasi hata Mh Rais...
  16. misasa

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kumhusisha hayati Magufuli ripoti ya CAG

  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wenje: Magufuli angekuwa hai, asingekubali"ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG

    Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita "ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG. Nimeshangazwa sana na kauli hii ya Wenje na nimejiuliza...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hizi ripoti mbili za CAG zinaonyesha madhaifu ya utawala wa Magufuli. Je, zinazofuata zitaruhusiwa kuonesha madhaifu ya Rais Samia?

    Kashfa nyingi za ripoti ya CAG kwa mwaka jana na mwaka huu zimetendwa wakati wa Magufuli; ndege, nishati, mashirika ya umma ikiwemo TTCL yanatuhimiwa kuiba au kusababisha upotevu wakati wa Magufuli. Hii nikutokana na ukweli kwamba maelekezo yalikuwa mengi kuliko utaratibu. Maelekezo na speed ya...
  19. USSR

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje: Magufuli asingekubali ufisadi huu wa awamu ya sita (Ripoti ya CAG)

    Mbunge wa zamani wa nyamagana (chadema) EZEKIEL WENJE amesema kama Magufuli angekuwa hai asingekubali ufisadi huu ulio tajwa kwenye report ya CAG. Wenje aliyekuwa waziri kivuli wa mambo ya nje ameosesha kubwa kwa sasa Chadema wanaona kubwa Magufuli alikuwa bora sana kwenye kupambana na rushwa...
Back
Top Bottom