Lissu: Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu ama rafiki wa kudumu na bora mara mia ya Magufuli kuliko majizi haya

Asante CCM

JF-Expert Member
Jun 22, 2023
346
1,301
" Siasa ni sayansi ya sanaa na huenendana na nyakati. Ndiyo maana kwenye siasa hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu vilevile.

" Magufuli pamoja na mabaya yake lakini hakuwa mwizi na mgawa rasimali zetu kama Mkapa, Kikwete na huyu mwizi wa sasa.

" Magufuli kamwe asingekubali kuuza bandari zetu!

" Kama tunavyoyasema mapungufu ya Magufuli hata mazuri yake mengi hasa ya kutokuuza rasimali zetu tutayasema waziwazi mchana kweupe. NA KAMA NI KUMSAMEHE MAGUFULI KWA KIGEZO HICHO, TUTAMSAMEHE."
 
Back
Top Bottom