Tundu Lissu: Rais Samia anaendeleza ukatili wa Hayati Magufuli kwa kukamata Wakosoaji wa Mkataba wa DP World

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
👇

1691871190691.png
---

Leo August 12, 2023 Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuhusu kukamatwa kwa Mdude Nyagali na Wakili Mwabukusi. Katika kutoa maoni yake kuhusu jambo hilo ameandika:

Bonnie Mwabukusi, lawyer & critic of President Samia's handover of all of Tanzania's ports to DP World, has been detained with two other critics.

They're being held incommunicado in Mbeya. Samia has reneged on her vow to ditch Magufuli's brutal legacy. She'd be held accountable!

Mdude Nyagali alifungwa & kuteswa kwenye magereza & mahabusu za Magufuli. Emmanuel Masonga naye alifungwa & kuteswa kwenye magereza ya Magufuli.

Sasa mashujaa hawa ni wafungwa kwenye mahabusu za Samia. Magufuli na ukatili wake alishindwa; na Samia na ukatili wake naye atashindwa!
 
Back
Top Bottom