Familia ya Magufuli isikubali Chadema wakafanye Siasa kwenye kaburi la Magufuli, wawafukuze

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,662
Nawashauri familia ya JPM wasimruhusu Lissu na genge lake lisiende katika kaburi la JPM kufanya Siasa. Japo Mimi sio mnazi wa JPM, lakini inaonekana wamejipanga kisiasa katika kuzuru kaburi Hilo, na wanaweza hata kutoa matusi mazito, hasa Lissu, wakati wakijifanya kumuombea.

Pia baadhi wamesema ziara hiyo katika kaburi, inaweza kuwa na sababu za kishirikina, na Kuna habari kwamba wanajipanga kwenda na wataalamu wao katika eneo hilo.
 
Wanaenda kuhiji, wanaruhusiwa!

Mbona mnaogopa sana si mlisema Wazuri hawafi?

Umeona uoga kwenye comment yang?Mwenye akili timamu haezi shabikia huu upuuzi unless uwe mwanasiasa maana ndio mshazoea kupelekshwa
 
Pumba.. ..kwa hiyo unafikiri akiamka ataendelea kuwa rais...hata akiamka hawezi tena kuwa Rais kwa maana tayari rais mwingine keshaapishwa na Yuko madarakani atabaki kama kina kikwete na mwinyi....

We ni takataka mtu aliekufa ataamka vip?kila kitu mnasapoti tuh yaani bure kabisa nyie
 
Yaani uyo magu akitokea akiamka sizani kama kuna mwanasiasa wa upinzani atafurai huyo lisu atarudi ubelgiji kwa boda boda
Wenzake werejea mchini mwambie naye arejee duniani. Unakaa kwa kunyanyasa watu ukidhani utaishi milele?
 
Raisi sio Mali ya familia , kaburi la aliyekuwa Raisi linabaki kuwa Mali ya nchi na sio familia

Acha kujipendekeza mali ya nchi c angezikwa ikulu bhc..kila rais anazikwa eneo lake alipozaliwa
 
Back
Top Bottom