jpm

  1. Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane. Iwe bhojo!
  2. Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti. Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi. Busara ya kawaida tu...
  3. Wajumbe wa kamati ya LAAC wafika Chato kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stanslaus Mabula wamefika Chato nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe na kufanya maombi mafupi katika kaburi lake.
  4. Hawa ndio wamebakia watiifu wakweli wa hayati JPM wako pamoja nae hata baada ya kifo

    Doto James, Ngusa Samike, Medard Kalemani wamebakia watiifu kwa hayati JPM hata baada ya kifo chake. Wengineo ni mamluki tu, hata yule wa Dodoma mzee wa “atake asitake tutamuongezea” sijamuona kwenye ibada ya swahiba wake!
  5. Uchambuzi wangu Meseji ya CDF Mabeyo kuhusu kifo cha Hayati Magufuli

    Nimeona maandiko kadhaa yenye kumsifu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya mahojiano yake ya video na Daily News Digital kuhusu namna alivyo-play role yake katika dakika za majeruhi za uhai wa Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli...
  6. Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    "Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo nilichobarikiwa kuhakikisha kazi za Chama na pia siyo mwisho, nitaendelea kuchangia zaidi na zaidi...
  7. M

    Mkumbukeni Hayati Magufuli

    Ndugu watanzania wenzangu, leo ni siku tulipotangaziwa kuzimika kwa nuru ya ukombozi wa watanzania. Tuunganane pamoja kuomba Mungu awaibue akina Hayati Magufuli wengi maelfu kwa mamilioni hasa tunapoelekea kufanya chaguzi za serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Kila mtanzania kwa sasa...
  8. R

    Kwanini Viongozi wengi wa kisiasa wanapost picha wakiwa na Hayati Magufuli lakini wanahofia kuposti hotuba zake, au zinawachoma?

    Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake. Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi...
  9. R

    Ni viongozi gani waliaminiwa na JPM na ndani ya miaka mitatu tayari wamemsaliti kwa kauli na matendo?

    Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake. Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki. Kiongozi mmoja wapo aliyewahi...
  10. Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  11. Nchi inaweza kusahau uwepo wa kina Membe na wenginewe wengi ila si kwa watu kama Magufuli n.k

    Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja...
  12. D

    Huwa nashangaa sana CHADEMA kumuona Putin shujaa halafu wanamkandia Magufuli!

    CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa. Ona anavyoua wapinzani wake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua. Anataka kufia madarakani...
  13. B

    Kauli za LATRA kuhusu namba za magari, kuelekea 17 Machi zimelenga kumhujumu Mama?

    Kumekuwa na matamko tata kutokea LATRA kuhusu magari yenye namba D na E kufanywa ndiyo yaliyo magari pekee. Hali hii si ya kuvumiliwa hata kidogo. Kesho itakuwa gari kuingia Dar na labda hata kuthubutu tu kuwapo Tanzania ni F na G peke yake. Nani ajuaye? Ni kawaida kwa wanaojidhania kuwa wako...
  14. R

    Rais Samia alijifunza wapi kuvumilia wanaomkosoa na kutweza utu wake? Uvumilivu wake una baraka kwa Taifa au aachana nao?

    Hayati Magufuli alikuwa ni mwafrika tena mwenye mfumo dume. Alikuwa baba ambaye amekuzwa katika kusema ukweli na kushinikiza kutendeka kila anachotaka yeye. Alikuwa mzazi asiyependa kukosolewa na kila aliye nyanyuka kumkosoa alichapwa na kuambiwa acha utovu wa nidhamu. Tuliokulia kwenye familia...
  15. J

    Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Naomba nisimuwekee maneno Makamba. Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
  16. Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Hivi mnataka tuamini kuwa Uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2020 mambo yakaharibika? Yaani, tuamini JPM na timu yake walivuruga uchaguzi ili washinde 2020? Kabla ya hapo mambo yalikuwa powa...
  17. Bora Taifa liwe na Rais kama Hayati Magufuli kuliko kuwa na Rais anayeruhusu maandamano ‘uchwara’ huku ufisadi ukitamalaki

    Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata? Kuingilia msafara wa Biteko? Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika. Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya...
  18. Mo Dewji afunguka kutekwa kwake kipindi cha Hayati Magufuli

    Mtangazaji : Tumeongelea vitu vingi sana kuhusu wewe. Watazamaji wengi watakaoangalia hii video wanajua kuwa kutekwa kwako ndio stori wanaihitaji kuisikia . Kuhusu kutekwa nyara naomba utuelezee A-Z ilikuwaje ? Mo Dewji: Kwa miaka mingi nimekuwa na ratiba ya kuamka na Kwenda Gym saa kumi na...
  19. Ni kweli mshahara Hayati Magufuli ulikuwa 9M?

    Kama mlipa Kodi ni vema kuangalia watumishi wetu tunawalipa kiasi gani hususan sasa hivi ugumu wa maisha umepanda huenda ni wakati wa kufunga mkanda... Ukizingatia Rais anapewa kila kitu (magari, nyumba n.k.) Sasa katika pita pita zangu nikaona hii.... Magufuli, who was elected president in...
  20. Z

    Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

    Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi. Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE. Leo sukari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…