john

  1. JamiiForums Tanzania Mk-ultra: Mkakati wa uchunguzi wa CIA na kifo cha John Lenon (Mwanamuziki kikundi cha The Beatles)

    KIFO CHA JOHN LENON 8 December 1980 Watu waliotumika kufanya mauwaji ya watu wakubwa , wengi wao ukiwafuatilia wanakua walipata mafunzo ya kijeshi. Au mafunzo na kufanyiwa unyama huu wa Mk-ultra. Kama umetazama movie za James Bond au Jason Bourne USIDHANI yameisha kwenye movie tu, haya mambo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya ishirini na moja (21) yanayoisukuma zaidi TLP kumuunga Mkono Mhe Dkt. John Magufuli kuelekea Okt 2020

    " HAYA NDIO MAMBO MATANO( 5 ) KATI YA ISHIRINI NA MOJA ( 21 ) YANAYOISUKUSUMA ZAIDI LABOUR PARTY YA TANZANIA KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " 1. Watumishi 32,555 wenye dosari serikalini, Nyote Mtakumbuka March 2016 Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli...
  3. JamiiForums Tanzania Huu ndiyo muda wa kumjadili,'kumsema' na kumkosoa Dr. John Pombe Magufuli

    Amechukua fomu za kuomba kugombea tena Urais kupitia CCM. Ameingia tena kwenye mchakato wa ndani ya CCM wa kumpata Mgombea wetu na baadaye kupeperusha bendera ya CCM kwa ngazi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba, kama atapitishwa. Huu ndiyo muda muafaka wa kumjadili, kumsema na kumkosoa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  5. JamiiForums Tanzania John Pambalu: Ufafanuzi juu ya kusitishwa kwa kipindi cha agenda, kinachorushwa na kituo cha Star TV

    JOHN PAMBALU, UFAFANUZI JUU YA KUSITISHWA KWA KIPINDI CHA AGENDA, KINACHORUSHWA NA KITUO CHA STAR TV, AMBAPO JANA KILIKUWA NA MAADA ISEMAYO UCHAMBUZI WA MIAKA 5 YA BUNGE LA 11 Ndugu zangu wapenzi wa demokrasia na Uhuru wa habari, salamu. Kufuatia kukatwa kwa matangazo yaliyokuwa yakirushwa...
  6. JamiiForums Tanzania Faru John hufai kabisa doh

    Hilo jina lilipewa kwa heshima kabisa kwa faru aliekuwa na miaka mingi hapa nchini. Nadhani moja ya sifa kuu ni kukomaa kwenye shida na raha huku wenzake wakifa. Naona jina hili limehamia kwa konyagi yetu tukufu ya bk 10"000 aka faru john. Faru john amekuwa akisaidia masikini mbali mbali...
  7. S

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

    Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi walipokea toka 14 Mei 2020 Chanzo:John Mnyika on twitter. Zaidi soma: Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Story ya Niwa na Mwl. John

    Weekend tulivu, Mwalimu John kapozi zake Huku akifuafua vijisarawili vyake viwili vitatu kuisindikiza. Akiwa bize kufua na kule simu inaita, kuitazama Namba ngeni. Anaipokea taratibu sauti inaongea kwa mbaaali, haisikiii vizuri. MWANAFUNZI: Hallow Sir MWALIMU : Habari hujambo? MWANAFUNZI ...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa jamaa kaota usingizini kasema “John una uume mnene” halafu kashtuka

    Usingizini mbaya sana hasa unaoambatana na ndoto za kuongea. Mke wa jamaa yangu hapa Kiwira, Tukuyu Mbeya ameota kwa sauti akisema "John uume wako mnene" huku jamaa haitwi John anaitwa Nsangalufu tumezoea kumuita Nsakaisi jina la utani. Alipoota hivyo akashtuka akaamka akaenda kukojoa kwenye...
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwandishi John Marwa wa Dar24 akamatwa kwa kumkashifu Naibu Waziri Mwita Waitara

    Mwandishi John Marwa akamatwa na kunyimwa dhamana ya polisi kwa kumchafua naibu waziri Mwita Waitara - Ni katika malumbano ya kisiasa katika kundi la whatsapp la jambo Tarime - *Mpelelezi wake adai hawezi kumpa dhamana hadi amkamate mshitakiwa mwenzake ajulikanae kwa jina la David Gichogo...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, ndani ya CCM kuna watu wamegeuka mashetani katika maumbo ya kibinadamu?

    Awali ya yote, mtakaokwazika mtanisamehe tu. Kwa sababu kichwa kikuu cha mada hii imebebwa na maneno magumu na makali kidogo. Imebidi iwe hivi kwa sababu nimetafuta maneno mbadala ili ujumbe ama maudhui ya ujumbe ninaotaka kila mtu apate, nikakosa. Pokeeni na twendeni hivyo hivyo kwa sababu ni...
  12. JamiiForums Tanzania Alipotutoa Rais John Pombe MagufulI na anapotupeleka,kwa hakika sasa watanzania tunajua tunapoelekea

    ALIPOTUTOA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA ANAPOTUPELEKA,KWA HAKIKA SASA WATANZANIA TUNAJUA TUNAPOELEKEA. Leo 13:30pm 06/06/2020 Rais John Pombe Magufuli ametutoa kwenye giza totoro lililoleta kashfa kubwa ya Ufisadi wa Richmond na Escrow na kutupeleka kwenye nuru na mwanga kwa kutujengea Bwawa...
  13. JamiiForums Tanzania John Mnyika, Sio rahisi CHADEMA kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani na kinachochochea maendeleo bila kuzingatia haya

    Huu ni waraka wazi kwa John Mnyika Kama katibu mkuu mpya wa CHADEMA, Katika mazingira yaliyopo kunakitu Chadema kimekosa na kinaitaji marekebisho kadhaa ili kwa uwazi kionekane ni chama Cha kuwasemea watu na sio kukosoa tu na hivyo kuonekana ni chama adui kwa jicho la usalama na ustawi wa nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Star Wars actor John Boyega slams racist white people and police brutality in America

    Star Wars actor John Boyega slams racist white people and police brutality in America
  15. JamiiForums Tanzania Narudia tena na tena kwako Rais John Pombe Magufuli

    IKUTI MBEYA RUNGWE ni sehemu ambayo binadamu na wanyama wanashea sehemu kunywea maji katika mto rumbe. Kila uchao wanasiasa wanawalaghai wananchi watawaletea mabomba ya maji ili wapite bila kupingwa. Lakini hawaleti. Je, wewe nawe hii sehemu ya siasa zako? MJOMBA WA HAPA KAZI TU? Mhe. Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

    Gazeti la pili kwa uuzaji nchini Hispania El País limechapisha habari isemayo "John Magufuli the African Bolsonaro" kutokana na njia anayotumia kupambana na janga la virusi vya corona. Gazeti hilo limetaja viongozi kama Donald Trump (Rais wa Marekani) na Jair Bolsonaro (Rais wa Brazil) kama...
  17. JamiiForums Tanzania Tuna imani na rais wetu Magufuli

    Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa siri nyingi zimefichwa kwenye maandishi ndio maana tunavitu vingi tunavyo lakini tunashindwa kuvitumia na waliotangulia kuyafunua hayo maandishi ndio silaha yao wanayoitumia kututumia. Tukiwa kwenye group moja la mitandao ya kijamii, Mchangiaji...
  18. JamiiForums Tanzania An open letter to my President, Dr. John Magufuli of Tanzania

    OFISI YA RAIS, IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA, 11400 DAR ES SALAAM, TANZANIA Dear Mr. President, First of all I would like to thank the god for the life he has given us. Allow me to congratulate you personally and on behalf of the citizens from Tanga Region and Tanzanian as whole on your...
  19. JamiiForums Tanzania John Heche amwambia Ndugai kesho anaingia bungeni na hakuna wa kumzuia

    Baadhi ya Wabunge wa Chama Kikuu cha Upinzani (CHADEMA) wamepinga vikali maamuzi ya Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai ya kuwataka Wabunge hao kutorejea bungeni hadi pale watakapopimwa na kuthibitika kuwa hawana Corona. Aidha, inaelezwa kuwa Wabunge hao wa Chadema wamejiweka Karantini ya hiyari kwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

    Nimetafakari sana na nimewaza sana huu mlima tumeujenga na sasa unageuka kuwa maporomoko au kizingiti chetu na dunia ya kwanza. Tulianza kama masihara na abiria kiukweli tulimsifia dereva anajuwa kuendesha kilimani gari ila pamoja na yote sasa huu mlima unataka kitufunika na safari yetu kuingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…