john

  1. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nasimama na Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM

    Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakati kampeni zikianza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa na mvuto zaidi ya mgombea wa CCM John Magufuli

    Wakati kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu zinaanza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mapambano huo utakuwa mkali sana, baina ya mgombea wa Chadema, Tundu Lissu na mgombea wa CCM John Pombe Magufuli. Kwanza niainishe ni kwanini naona Tundu Lissu atampiku Magufuli kwenye kampeni hizo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe nakupenda sana, nakuomba umuachie Tundu Lissu agombee tuiondoe CCM madarakani

    Kwa dhati ya moyo wangu napenda kukiri kuwa mimi ni admirer wako toka ukiwa Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania. Lakini kwa hali ya Siasa ilivyo nchini mwetu na kiu ya watanzania kuondokana na kivuli kizito kilichodumu kwa zaidi ya miaka 59 cha umasikini uliokithiri, ujinga, maradhi, ukiukwaji...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kuzindua kampeni Jumamosi, Agosti 29, 2020 uwanja wa Jamhuri, Dodoma

    CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum...
  5. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  6. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Sheria inayolinda miradi iliyoanzishwa na Rais John Magufuli?

    Salaam wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Hivi kuna sheria iliyotungwa na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kulinda miradi mbali mbali iliyoanzishwa na Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli? Maana miradi ni mingi imeanzishwa na Serilikali sasa cha...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

    Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan. M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
  8. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hekima na Busara za John Madale Shibuda: Kongamano la maombi na maridhiano ya amani leo Mjini Dodoma

    Kongamano la Maombi,Dua Na MARIDHIANO ya Amani Kuelekea Uchaguzi Wa Oktoba 2020. Hakika Alichokihubiri Mzee John Magalle Shibuda Akiwakilisha Vyama 19 vya siasa nchini,kitabaki kuwa Ni MANENO YA DHAHABU Leo,Kesho na Milele. Shibuda Anabaki Ni Alama Ya Kutukumbusha kuwa TAIFA Hili litabaki hata...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ni mtu wa kufikirisha

    Watu wanaacha umeneja, ukuu wa mkoa, ukatibu Mkuu Wizara, wamiliki wa makapuni, mtu Yuko radhi amtoe mtu kafara au achalaze mwenzie viboko ilimradi aende bungeni kwenye mahela ya kujichotea, kujizolea yani Tanzania hii sijawahi kusikia kijana umri wa mnyika anasema napunzika kugombea Ubunge ni...
  10. President of China

    JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    Nitakuwa nakupatia update. Wasanii wote Tanzania kwa moyo wa upendo walitunga nyimbo kuhusu serikali ya CCM. Wapo katika kufanya mazoezi ya nyimbo zitakazotumika kwenye kampeni ya chama kikubwa barani Afrika CCM.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Manyoni Magharibi Mkoani Singida 2005-2015, John Paul Lwanji?

    Habari Wana JF naombeni msaada wa yeyote anayefahamu huyo mzee Aliyekuwa Mbunge wa Manyoni Magharibi Mkoa Wa Singida. Sijamsikia muda mrefu kwenye ulingo wa kisiasa na Je Bado Mbunge? mwaka huu aligombea Tena Kura za Maoni? Nakumbuka tu hoja zake Bungeni na na Kusambaratisha Upinzani Jimboni...
  12. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

    This is very interesting, kwa kweli... Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo Tanzania nzima zitaanza trh 26/8/2020.... Lakini kampeni zisizo rasmi za MTU kwa MTU...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 2: Mgombea wa Chama cha Democratic Part (DP) Philipo John Fumbo achukua fomu NEC ya kugombea Urais wa Tanzania

    Mgombea wa Chama cha Democratic Part (DP) Philipo John Fumbo, amekuwa mgombea wa pili kuchukua fomu ya NEC, kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwaajili ya kugombea kiti cha Urais. Mgombea wake mwenza ni Zainabu Juma Khamis.
  14. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kuchukua fomu ya kuwania Urais wa JMT tarehe 8 Agosti jijini Dodoma

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa Tarehe 08 Agosti, saa tano kamili asubuhi mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, atakwenda kuchukua fomu DODOMA.
  15. Dam55

    JamiiForums Tanzania Mambo (10) kumi usiyo yajua kuhusu Rais John Pombe Magufuli

    NA MILADY AYO MAMBOKUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI. 1.Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani. 2.Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na nyingine Japani...
  16. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

    Ilibidi niende Dar es Salaam kwa kutumia Ndege kutokea Mtwara lakini nimepita hii Barabara (Mtwara- DSM) makusudi nione hali yake, hii Barabara imeharibika, 90 KM zote zimeharibika. magari yenye uzito mkubwa yameharibu hii Barabara Barabara hii ya Mtwara - Lindi-Dar es Salaam imeharibika sana...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Shibuda apitishwa kugombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha ADA-TADEA

    Chama cha ADA -TADEA kimempitisha John Shibuda kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 120 kati ya kura 130 zilizopigwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho huku mgombea mwenzake Mastadia Hilari akiambulia kura 10 Aidha, Chama hicho kimechangua Juma Ali...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

    Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962 Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Pengo la Capt. John Komba halijazibika, tayari wimbo ungekuwa hewani muda huu

    Captain John Komba alikuwa na kipaji chake Cha ajabu kabisa. Alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo mzuri sana, wenye ujumbe mzuri na wenye hekima za Hali ya juu Ndani ya dakika chache. Kwa Mara ya kwanza nilimsikia mwaka 1984 alipofariki Hayati Edward Moringe Sokoine. Ndani ya muda mfupi alitunga...
  20. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tafadhali mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee

    Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki. Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na...
Back
Top Bottom