Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 740
- 855
Salaam wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Hivi kuna sheria iliyotungwa na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kulinda miradi mbali mbali iliyoanzishwa na Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli?
Maana miradi ni mingi imeanzishwa na Serilikali sasa cha kujiuliza kuna sheria ya kuilinda ili ata Raisi ajaye asiweze kuiua au ata kuivuruga kwa makusudi ya kutoiendeleza?
Maana kama kungekuwa na sheria naamini nisingeweza kusikia wana CCM wakisema tumchague tena awamu hii Rais ili aendeleze ile miradi aliyoianzisha.
Kama hakuna sheria basi tutengeneze mara moja maana tunaweza pata Rais mwingine miaka ijayo akauza ndege zote ata kuiua miradi ya SGR alafu tukaanza tena upya.
Mfano mzuri ni hapo juzi CHADEMA waliongeza beti katika wimbo wa taifa na alipoulizwa akasema hakuna Sheria ya kulinda Wimbo wa Taifa.