Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuchukua fomu ya kuwania Urais wa JMT tarehe 8 Agosti jijini Dodoma

Kazi imeanza.
Chadema ngazi ya taifa ifanye juhudi tuweze kuwa na chombo cha matangazo kilichopo chini ya Chama, Kama upande ccm ili wakereketwa wake waweze kufuatilia Kila kinachoendelea Katika ulimwengu huu wa siasa ziusuzo Tanzania, Vyombo vingi vya habari haviko huru linapokuja suala linalohusu Chadema.
 
... sijaelewa! 08/08 (Nane Nane) si siku ya mapumziko? NEC watakuwa ofisini kutoa fomu? Sina hakika. Kuweni makini msijepigwa TKO mapema asubuhi! Shetani anawawinda kwa kila hali; kosa dogo sana ni sherehe kwake! Tayari kuna madai eti mume-edit wimbo wa taifa!
Chadema utawaweza? Ni kweli wameedit wimbo wa taifa na Happ usikute wanafanya hivo makusudi I'll badae watangaze tume imefunga ofisi ili wasipate fomu
 
Kazi imeanza.
Chadema ngazi ya taifa ifanye juhudi tuweze kuwa na chombo cha matangazo kilichopo chini ya Chama, Kama upande ccm ili wakereketwa wake waweze kufuatilia Kila kinachoendelea Katika ulimwengu huu wa siasa ziusuzo Tanzania, Vyombo vingi vya habari haviko huru linapokuja suala linalohusu Chadema.
Magazetu tu! yamefungiwa vuta subira muda ukifika utahabarishwa
 
Unaunga mkono ujinga hizo umeziona huyo mjinga mwenzio alichoandika rudia kusoma heading na angalia ndani alichoandika vitu viwili tofauti
Itakuwa Mods wamebadilisha heading. Pia hata content wameiedit.

Ila kuwa na lugha nzuri. Kutofautiana kusikufanye awaite wenzio isivyofaa.
 
Kazi imeanza.
Chadema ngazi ya taifa ifanye juhudi tuweze kuwa na chombo cha matangazo kilichopo chini ya Chama, Kama upande ccm ili wakereketwa wake waweze kufuatilia Kila kinachoendelea Katika ulimwengu huu wa siasa ziusuzo Tanzania, Vyombo vingi vya habari haviko huru linapokuja suala linalohusu Chadema.
Hawatakisajiri
 
Back
Top Bottom