Kama ' Mjeda ' kalipigia Magoti Jiwe Gumu je, ' Njagu ' ni nani nae baadae asiamue Kulamba Kingo za Jiwe hilo hilo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,795
Niliwahi kuambiwa kuwa ogopa sana Kujifanya Mjeuri na Mbabe hasa kwa Mtu ambaye si tu anakujua lakini pia anakumudu vilivyo hasa Kimkakati.
 
Meneno haya "nadhani", "labda" ukiyatumia wakati wa kutoa ushahidi au kuomba radhi, huleta shaka juu ya kile ulichokusudia kama kina ukweli kutoka moyoni.
 
Niliwahi kuambiwa kuwa ogopa sana Kujifanya Mjeuri na Mbabe hasa kwa Mtu ambaye si tu anakujua lakini pia anakumudu vilivyo hasa Kimkakati.
Lipopoma katika ubora wake na nyakati za giza bila nuru ndio maana kuna watu hawajaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom