jinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usuluhisho wa migogoro ya ndoa bora wapi, Baraza la Kata au Dawati la Jinsia?

    Katika pitapita zangu kwenye idara, vyombo au taasisi zenye dhamana ya upatanisho wa migogoro ya wana ndoa, kwa tathimini ya haraka haraka na baadhi ya shuhuda kama Tano (5), nimejiridhisha pasi na shaka wala tashwishi yoyote ya kwamba Bora uwe na mke ukiwa na ugomvi nae aende kushtaki Baraza la...
  2. JamiiForums Tanzania Wadau washauri Vyombo vya habari viwe na Dawati la Jinsia kukabili rushwa ya ngono

    Ili kukabiliana na rushwa ya ngono na mfumo dume katika vyumba vya habari, wadau wa habari wameshauri kwamba kila chombo cha habari kinapaswa kuwa na dawati la jinsia. Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari kwenye mkutano uliofanyika Desemba 16, 2022, jijini Dar es...
  3. JamiiForums Tanzania Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa Ndola huko Zambia amemuua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula. Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wenye jinsia mbili hawapewi uhuru wa kuchagua jinsi yao?

    Watoto wengi wanaozaliwa na jinsia mbili mara nyingi hufanyiwa upasuaji na wazazi kupanga wawe jinsi gani. Sasa kwanini wasiachwe wakue ili wao wenyewe waamue jinsia wanayoitaka? Hapa nazungumzia intersex ama watu wanaozaliwa na jinsi mbili.
  5. JamiiForums Tanzania Haki sawa kwa jinsia ya kike kama ilivyo ya kiume haimaanishi kwamba tupo sawa kijinsia

    Wanawake tushtuke, kwa asili ya mwanadamu kiimani, kisayansi na kwa desturi mwanaume ni msingi na nguzo ya familia. Wanawake tuendelee kupambana kuwa bora kama wanawake ila tusitamani kuwa wanaume, bali tuwasaidie wanaume kuwa bora zaidi na imara katika nafasi zao. Tukibeba vibaya maana ya...
  6. JamiiForums Tanzania Fikiria kesho unaamka jinsia tofauti na uliozaliwa nayo

    Yaani mwanaume umekuwa mwanamke na kinyume chake, utafanya nini? Mimi cha kwanza naenda kukojoa, halafu natafuta mbususu nione inafeel vipi. Hamna period wala kuzaa yayyy! Wewe je?
  7. JamiiForums Tanzania Iker Casillas ajitangaza kuwa yeye ni mshiriki wa mapenzi ya jinsia mmoja

    ALIJIUNGA na Real Madrid akiwa na Umri wa miaka tisa. Akaweza kuichezea Klabu hiyo Kwa miaka 25 huku akifanya Makubwa na kuweza kubeba Makombe 19,Baba wa watoto wanne,IKER FERNANDEZ CASILASS amejitangaza rasmi kuwa anajihusisha na Mapenzi ya Jinsia Moja ikiwa ni Mwaka Mmoja tangu aachane na...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsia ya mtoto isiwe sababu ya kumnyimwa malezi makini

    Chaguo la kupata mtoto wa kike au wa kiume imekuwa ikiwatesa wazazi wengi kwa muda mrefu sana, hasa baada ya kupata mtoto tofauti na jinsia waliyoitarajia, yaani mzazi alipenda apate mtoto wa kike lakini akapata mtoto wa kiume, au wa kiume akapata wa kike. Wazazi hawa baada ya kupata mtoto nje...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

    Habari wadau! Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao! Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi! Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi mkasa huu utakavyobadilisha Taifa la leo!

    Machozi yakimbubujika Zakia (KE: Sio jina halisi) kamavile mpira wa maji ya kumwagilia bustani, yakidondoka mpaka kwenye kona ya kidevu! jicho jekunduu...akashusha simu kutoka sikioni kwa haraka nakutaka kuitupa ukutani! lakini kwa kuishiwa nguvu aliishia kuigonga gonga kwenye mapaja yake akiwa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Tushikamane katika suala la kukuza usawa kwa jinsia ya kike

    Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa kati ya jinsia zote, kutokana na dhuluma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine. Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa haki za wanawake na maendeleo ya kiuchumi. Waathirika wakubwa katika suala la usawa wa kijinsia...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa jinsia ya kike mpo wapi hapa? Au hili ndilo mnalolitaka?

    Mpo wapi kutetea usawa au udhalilishaji wa kijinsia...? https://www.jamiiforums.com/attachments/screenshot_20220717-142338-png.2294154/?hash=9d3296f54684a35f03edc143af85da70 Muangalie hapo Billnas alivyotupia kavaa kwa heshima na stara nzuri... Vazi ambalo akiingia popote atapokelewa kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine imejikuta katika wakati mgumu wa kulazimika kuzikubali ndoa za jinsia moja. Misaada ya mabeberu ni sumu

    Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja wa nchi za Ulaya EU, na iendelee kupata misaada ya kijeshi katika vita yake na Urusi, kuibana ukraine...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku viwatilifu vyenye "Atrazine"

    Wanajamii mambo sio mambo, leo nitawapasha habari juu ya sumu ya kuulia magugu Atrazine. Hii sumu inatumiwa sana na wakulima katika kuua magugu katika mashamba makubwa ya mazao mbalimbali: miwa, mahindi. Sasa kwa nini hii sumu ni Nongwa? Mwaka 2010, Dr. Tyrone Hayes alifanya utafiti kwa Vyura...
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Shule yawavalisha wanafunzi sketi bila kuzingatia jinsia

    Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926. Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mlinda amani wa Zimbabwe kupokea Tuzo ya Mtetezi wa Jinsia wa Kijeshi ya UM kwa mwaka 2021

    Idara ya Operesheni za Amani imesema mlinda amani wa Zimbabwe atapokea Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Mtetezi wa Jinsia wa Kijeshi ya mwaka 2021. Mwangalizi wa Kijeshi Meja Winnet Zharare mwenye umri wa miaka 39, alifanyakazi Bentiu, Sudan Kusini hadi mwaka 2022 na atapokea tuzo hiyo kutoka kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Huisha (update) taarifa za Jinsia katika kuomba kazi za Sensa

    Ndugu waombaji wa ajira za muda SENSA 2022, tunapaswa kuhuuisha (update) taarifa zetu za Jinsia. Naona ni kipengele kipya kimeongezwa hivi karibuni. Login ili ku-update kila la kheri.
  18. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kila Mmoja Bado Inahitajika ili Kufikia Lengo la Ustawi Usiobagua Jinsia Katika Kila Nyanja

    Mazungumzo yanayohusu ukosefu wa usawa wa kijinsia katika sehemu kubwa ya dunia ni ngumu kuepukika. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuwa wakipambana zaidi kuliko hapo awali ili haki yao ya kuonekana na kutendewa kwa usawa izingatiwe na kutekelezwa. Ukosefu wa usawa wa...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi siku Hizi Jinsia gani wana Aibu!!

    Hivi Siku Hizi bado kuna Jinsia au Rika lina Hulka ya kuwa na Aibu kweli au Ndio Ule Mshipa ushakosa kazi,Siku Hizi Mi binafsi mpaka Naogopa navyokodolewa huko kitaa!!
  20. JamiiForums Tanzania Mwimbaji wa Sauti Sol, Chimano hayupo tayari kupata mtoto

    Mwanamuziki wa bendi ya Sauti Sol, Willis Austin Chimano ameweka wazi kwamba kwa sasa hayupo tayari kupata mtoto. Chimano ambaye takriban miezi mitatu iliyopita alikiri kuwa shoga amesema kwamba kupata mtoto ni jukumu kubwa ambalo bado hayuko tayari kulichukua. "Kwa sasa bado nakua. Kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…